HECHE: Nape sio saizi ya Dr. Slaa

ni bora kunyamaza kulikokuandika historia usiyoijua. Dr slaa alishinda ila mkamwengua kwa mizengwe yenu, wazee wakakasirika na kumwomba atafute chama kingine watamuunga mkono ndipo slaa akahamia chadema na kuikomboa karatu.

Upo hapo wewe vuvuzela mdogo.

Sijui kama mnafahamu mnachoongea ila utaratibu wa kumpata mgombea ubunge katika CCM hauishii kwa kura za maoni, kuna ngazi lukuki baada ya kula maoni kuanzia wilaya, mkoa hadi taifa. Sasa kama mnaongelea utaratibu wa NGO yenu ambapo mgombea anaweza kuchaguliwa kwenye vitoti vya mbege sawa ila kwa utaratibu wa CCM, Slaa alikuwa na alama D kuanzia kwenye kata yake na taifa akapigwa chini.
 
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.

Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.

Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.

Nani kamchafua Zitto kama si ninyi CCM kwa kumhusisha na rushwa kupitia waziri muhongo, CHADEMA ni chama kimoja, chenye dhamira moja, hamtakigawa kwa maneno yenu, siku ikifika tutampata mgombea urais kupitia taratibu tulizojiwekea kwenye katiba yetu! Nape ni mwana CCJ na hajarudisha kadi, na kweli hajawahi kushinda nafasi ya kugombea, Dr slaa amekuwa mbunge wa karatu wa kuchaguliwa kwa miaka 15 kwa kuwashinda wagombea wa CCM! Unawezaje kumlinganisha na vuvuzela Nape ambaye analipwa ili kupwayuka jama mlevi wa WANZUKI?
 
Sijui kama mnafahamu mnachoongea ila utaratibu wa kumpata mgombea ubunge katika CCM hauishii kwa kura za maoni, kuna ngazi lukuki baada ya kula maoni kuanzia wilaya, mkoa hadi taifa. Sasa kama mnaongelea utaratibu wa NGO yenu ambapo mgombea anaweza kuchaguliwa kwenye vitoti vya mbege sawa ila kwa utaratibu wa CCM, Slaa alikuwa na alama D kuanzia kwenye kata yake na taifa akapigwa chini.
:)
Wewe vuvuzela, kama alikuwa na alama D ilitokeaje akamshinda mgombea mwenye alama A CCM? Alama A za CCM zinanunuliwa nani asiyejua? Ndo maana amekuwa akiwabwaga wagombea wa CCM kwa miaka 15 mfululizo pale karatu, na akambwaga mgombea wa URAIS 2010 wa CCM mkachakachua!
 
- Sure ungeanza na elimu ya Viongozi wako huko Chadema, kwanza ya Mwenyekiti wako, Katibu wako and then yako sasa hapo ndio utakuwa na authority ya kuuliza elimu za wengine, au?

Es!
bado unathibitisha ujinga wako,unajuaje kama mimi viongozi wangu ni wa cdm? Huo ndo uzezeta! Kweli kama ni msomi basi ukada umekujaa, ina maana kabla ya uchaguzi ccm walikuwa na kata ngapi? Na baada ya uchaguzi hicho chama unachoshabikia kilibaki na ngapi? Haitaji level ya sekondari kujua!
 
Sijui kama mnafahamu mnachoongea ila utaratibu wa kumpata mgombea ubunge katika CCM hauishii kwa kura za maoni, kuna ngazi lukuki baada ya kula maoni kuanzia wilaya, mkoa hadi taifa. Sasa kama mnaongelea utaratibu wa NGO yenu ambapo mgombea anaweza kuchaguliwa kwenye vitoti vya mbege sawa ila kwa utaratibu wa CCM, Slaa alikuwa na alama D kuanzia kwenye kata yake na taifa akapigwa chini.
mfumo huo wa ccm umewekwa kuwalinda wafalme katika chama pamoja na mafisadi, ndo maana tunasema ccm imekumbatiwa na mifumo ya kifisadi na inayolea wafanyabiasha mafisadi kama wale waarabu koko wa moro!
 
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.

Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.

Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.

ZITO KABWE ameingiaje hapo kwenye huu uzi,Hoja ni Slaa na Nape. au unalitaka kukiri zitto ni ccm.mbona uchangiaji wa aina hii kama unamatatizo fulani .
 
Dr slaa ktk kura za maoni akiwa ccm alishinda ila jina lake kwenye nec halikurudi wananchi wa karatu walimuomba atafute
 
bado unathibitisha ujinga wako,unajuaje kama mimi viongozi wangu ni wa cdm? Huo ndo uzezeta! Kweli kama ni msomi basi ukada umekujaa, ina maana kabla ya uchaguzi ccm walikuwa na kata ngapi? Na baada ya uchaguzi hicho chama unachoshabikia kilibaki na ngapi? Haitaji level ya sekondari kujua!

- Well, umesema unataka kujua level ya elimu kwanza ya unaojadiliana nao, nimekwambia anza na elimu ya Viongozi wako kuanzia Mwenyekiti wako mpaka Katibu, and then useme yako, badala yake una mapovu mengi hoja ipo wapi mtu?

- I mean elimu ipi unayohitaji kuwa nayo kujua kwamba Mwanza, Slaa na Nape wamepambana, Slaa akakimbia kabla ya matokeo kutangazwa! Sasa wanakuwaje one size ndio sielewi, Nape ni Katibu wa Chama Tawala for the last 51 years, unamlinganishaje na Katibu wa Chama ambacho toka kianzishwe kinashindwa tu? I don't get it!1

ES!
 
tofauti zako ni very shallow, mimi najua nape ni mtoto wa mozes nnauye basi, na la ziada kapewa vyeo kwa mfumo wa huyu ni mtoto wa mwenzetu na si vinginevyo. Maana hakuna popote nape alipochaguliwa na wananchi zaidi ya kuteuliwa. Labda unijuze! Dk slaa sifa zake wazijua sema tu ulevi wa ukada. Siwezi kukulazimisha maana binadamu ni wachache ila watu ni wengi.
 
ZITO KABWE ameingiaje hapo kwenye huu uzi,Hoja ni Slaa na Nape. au unalitaka kukiri zitto ni ccm.mbona uchangiaji wa aina hii kama unamatatizo fulani .

Nilitaka kukutukana, lakini nimeona labda uwezo wako wa kuelewa ndio umefikia hapo sasa nina jukumu la kukusaidia. Ili kulinganisha nguvu ya hawa wawili inatubidi pia kuangalia nafasi na nguvu zao katika vyama vyao. Mtu pekee anayeweza ku demonstrate nguvu ya kukubalika ndani ya chama cha Slaa ni Zitto. Hapo ndipo Zitto anapoingia, kuonesha kuwa hata ndani ya chama chenu bado Slaa hana nguvu kiasi hicho hata ukimlinganisha na naibu katibu mkuu wenu.
 
Dr Slaa hakushindwa kwenye kura za maoni za CCM alishinda, kama watu kama wewe ndio wametumwa kuitetea CCM(MFU) umu basi mazishi yake yamekaribia.
mkuu hiyo inaitwa nichane live!ccm ni kama maiti inayosubiri siku ya mazishi
!
 
Nilitaka kukutukana, lakini nimeona labda uwezo wako wa kuelewa ndio umefikia hapo sasa nina jukumu la kukusaidia. Ili kulinganisha nguvu ya hawa wawili inatubidi pia kuangalia nafasi na nguvu zao katika vyama vyao. Mtu pekee anayeweza ku demonstrate nguvu ya kukubalika ndani ya chama cha Slaa ni Zitto. Hapo ndipo Zitto anapoingia, kuonesha kuwa hata ndani ya chama chenu bado Slaa hana nguvu kiasi hicho hata ukimlinganisha na naibu katibu mkuu wenu.

kumbe naongea na mtu mwenye matatizo! bado hujachelewa kupata tiba.CCM mnatumiaje kivuli cha zito kujibia hoja za viongozi wenu? kama una ubongo mzito ulioganda niskufafanulie hivi N Vs S ≠ N Vs Z. HataKichwa cha habari na maelezo yake ni kinawahusu Nape na Slaa.
 
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.

Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.

Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.

Huna kumbukumbo Qurro alishindwa kura za maoni lakini majina yalipopelekwa Dodoma la Dr Slaa likakatwa wananchi wakamwambia hamia Dodoma ushindani wa kijambazi wa CCM ukaaumbuka
 
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.

Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.

Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.

Kama unataka kuujua muziki wa Slaa muulize kikwete na kinana wanaufahamu vizuri na watakujuza. Acha kutoa hoja dhaifu kama mtoto wa chekechea.
 
Kumbe ZZK chiboko ana mabibi wengi huku JF au ndiyo sababu haoi?
 
Mh! Nyie magamba ya kijani ya Sisiem! Mwapenda mipasho! Aisee! Kama viongozi wenu walivyo mmewaambukiza sasa roho za mipasho wanachama wenu hadi humu jf! Jaribuni kilakitu baada ya sec ni mipasho after com, break njooni na blues ,mkimaliza ,2015 majaribio yenu yatakuwa hivi *-&% ,so get ready to move out from magogoni,
 
Kama unataka kuujua muziki wa Slaa muulize kikwete na kinana wanaufahamu vizuri na watakujuza. Acha kutoa hoja dhaifu kama mtoto wa chekechea.

Na matumizi ya nyumba za Mungu, babu kaishiwa kuwa chizi tu, nadhani laana ya kutumia kanisa la Mungu kwa manufaa ya Mtei na Mtoto wake na mkwewe.
 
tofauti zako ni very shallow, mimi najua nape ni mtoto wa mozes nnauye basi, na la ziada kapewa vyeo kwa mfumo wa huyu ni mtoto wa mwenzetu na si vinginevyo. Maana hakuna popote nape alipochaguliwa na wananchi zaidi ya kuteuliwa. Labda unijuze! Dk slaa sifa zake wazijua sema tu ulevi wa ukada. Siwezi kukulazimisha maana binadamu ni wachache ila watu ni wengi.

- Duh! nashangaa kwamba ulikuw aunauliza elimu ya watu na hii ndio elimu yako? ha! ha1 ha! ha! halafu unategemea niendelee kubishana na wewe? ha! ha! ha!

Es!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom