HECHE: Nape sio saizi ya Dr. Slaa

Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.

Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.

Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.

Tumia akili kidogo.
 
tumia kichwa kufikiri issue ni Dr slaa na Nape na sio Zito. Dr slaa kachagiliwa mara tatu karatu ubunge nape kachaguliwa wapi na sikupewa uongozi kwa fadhila za babake tu.Dr alikimbia ufisadi na si ushindani.tunajua wewe ni wale wale ila kumbuka mtanzania wa leo sio wale kuburuzwa .
 
kwa hiyo we unashabikia padri wako kuchukua wake za kondoo wake?kwani uliambiwa jamaa alimtelekeza?na vipi kuhusu dr kuitelekeza familia yake?au yupo sawa?:majani7:
Count down to 2015,Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki CDM,
 
haha Nape kawashika sehemu nyeti....hv hiyo kadi angekuwa yuko nayo ZZK huyu Heche angesema hayo? WATANZANIA WA JANA SIO WA LEO
 
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.

Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.

Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.

hivi huwa zzk anafikiri ccm wanampenda? au anajua wanamtumia tu kum-bomoa dr.s halafu wakifanikiwa na yeye itakuwaje? atapata anachoahidiwa? mi nafikiri anajua kabisa anatumiwa , ila sina uhakika kama anajua kuwa akishatumika na yeye hatakuwa na maana kwa ccm. ila ningemshauri tu kwamba, bora iwe kweli anautaka urais tu kama nia yake ya dhati. lakini kama anaungana na ccm kumhusuju dr. basi ajue kuwa wakishakamilisha mission hiyo, lazima kutakuwa na kugeukana. hiyo ndiyo principle ya urafiki wa uovu.
 
[h=3][/h]
MWENYEKITI wa BAVICHA taifa ndugu John Heche ametoa wito na kuwaomba wanahabari kuchuja mambo ya kuandika yenye TIJA na maendeleo ya TAIFA tofauti na ilivyo sasa ambapo wanahabari wanaandika kitu chochote hata vingine visivyokuwa na msingi bali kujielekeza katika watu binafsi kujitafutia umaaarufu kupitia majina ya viongozi wakubwa ameyasema hayo akichambua hoja ya NAPE KUSEMA kuwa DR SLAA ANA KADI YA CCM, HECHE ameyasema hayo jana akiwa katika mazungumzo hapa eneo la KWEMBE ambako alikuwa na mualiko wa vijana jana alisema
KUHUSU HOJA YA KADI KUTOKUWA NA MASHIKO.......
ndugu zangu unaposikia mtu anaanzisha maada ya katibu mkuu kuwa na kadi ya CCM hii inatusaidia nini sisi wananchi kutatua matatizo ya kukoswa maji?,elimu,huduma za afya , miundombinu, ardhi kuporwa,raslimali kuuzwa? hivi dr slaa akiwa na kadi ya CCM ndio maendeleo ya nchi yanazorota? au amewazuia ccm kutekeleza mambo ya msingi kwa sababu ya yeye kuwa na kadi ya ccm?
kadi ya CCM aliyokuwa nayo dr slaa alinunua au alichukua bure?
kama dr slaa angerudisha kadi hiyo ndio ingepata mtu mbadala na shupavu wa kuokoa nchi katika wale walio CCM ambaye sasa anakosa umakini kwa kukoswa kadi hiyo?
KATIBA ya chama( CCM) inasema ukijiunga na chama kingine unajifuta uanachama wa ccm auotomatically`mimi namshangaa Nape ndugu zangu ukiwa hauna akili kichwani ukipata uongozi haikusaidii kuongeza akili bali inakuanika zaidi jinsi usivyokua na upeo au ulivyomtupu, Dr slaa amegombea mara 3 ubunge kwa tiketi ya CHADEMA na amegombea urais na kuibiwa hapa alikuwa anagombea akiwa mwanaCCM?
AMUONYA NAPE ,,,,.....natoa wito rasmi na hili ntalitangaza kwenye vyombo vyote vya habari na kuwaeleza wananchi waelewe kuwa
NAPE hajawahi na haitatokea afikie level ya katibu mkuu wa CHADEMA kwa sababu
1 SIFA KUU iliyompatia Nape hata nafasi aliyonayo kwa sasa ni kulipwa FADHILA ya baba yake mzee Mosses Nnauye aliyekuwa Kampeini Meneja wa Kikwete kura za Maoni za CCM mwaka 1995
2nape huyu hajawahi hata kushinda cheo chochote cha kuchaguliwa na wananchi au hata na wana CCM wenzake
vyeo vyote alivyonavyo kapata kwa upenyo wa jina la baba yake huyu alikuwa mtoto wa mzee mosses ndio wale wale!sasa iweje ajifananishe au apate wapi uhalali wa kumjibu ama kumuattack DR! (SLAA!)sio kweli maana DR cv yake ni ya kushinda tena vyeo vya kugombe tunafahamu kuwa
Dr amekuwa mbunge miaka 15!jimbo la KARATU
Dr amekuwa makamu mwenyekiti wa chama
Dr amekuwa katibu mkuu wa chama
namtaka nape agombee hata uenyekiti wa mtaa ndio tuone kama atatoboa maana hata fomu ya wagombea nadhani hajui ilivyo asijifananishe na wanasiasa
mimi nadhani hawa watu wa kuteuliwa ama VYEO VYA KUBAMBIKWA WANAOSEMA OVYO KAMA CHIRIKU TUWAPUUZE KABISA NDUGU ZANGU
NASISITIZA PIA KUWA NAPE NI VUVUZELA KAMA ATAONA SI KWELI TUKUTANE NITAMUANIKA
 
mbona hata yeye heche sio size ya yule makamu wake juliana shonza.
heche ni vuvuzela,mwenye akili za kushikiwa ,mpenda cheap popularity bila kusahau sifa yake kubwa ya ukilaza.
jamaa ni kilaza mzuri sanaa ndo maana aliumbuliwa na makamu wake kwa tabia yake ya umwinyi na ubwanyenye.
 
Defend? CCM existence does depend on a stupid post on any stupid forum, it was put in power through people's voice and with people's will it shall go down...[/QUOTE existence of ccm has been facilitated by other state organs support. It cannot stand alone! Thats why it survives by using cheap propaganda! this forum wont be stupid , but there are stupid people in the forum who can stand and defend impossibles! its very unfortunate to have such kind of cheap people!
 
images


Huyu ndiye Nape Nnauye, kiongozi pekee tena wa juu ndani ya chama tawala CCM ambaye katika maisha yake hajaweza kuambulia cheo cha siasa kwa kupigiwa kura hata mara moja. Vyeo vyake vyote ndani na nje ya CCM ni vya kuteuliwa na hao wanaompenda, kulikoni? Ni uzuri wa sura? Uvuvuzela? Ushikaji? au vipi! Je jeuri yake ya kutaka kujipima nguvu na waliopanda ulingoni na kupambana kiume badala ya kusubiri vyeo kwa upendeleo maalum, anaitoa wapi?
 
mimi nauliza nani kaleta hoja hii hapa? ANAYEACHA KUWAZIA MAMBO YA MAANA ANWAZIA KUCHUNGUZA MAISHA YA WATU? WABONGO BWANA"
 
Na matumizi ya nyumba za Mungu, babu kaishiwa kuwa chizi tu, nadhani laana ya kutumia kanisa la Mungu kwa manufaa ya Mtei na Mtoto wake na mkwewe.
Wanaotumia makanisa ni hao mafisi wenu wanaotafuta kujisafisha kwa hali na mali ili tu watimize matakwa yao ya kuwa viongozi wakuu wa nchi hii. Subiri utaona matokeo yake 2015 watakavyoumbuka. Mungu huwa hachezewi.
 
Back
Top Bottom