HECHE: Nape sio saizi ya Dr. Slaa

HECHE: Nape sio saizi ya Dr. Slaa

Defend? CCM existence does depend on a stupid post on any stupid forum, it was put in power through people's voice and with people's will it shall go down...

cut the act!!!the elections were rigged in broad daylight,you know it and the self proclaimed president does too.
i love the blue bolded statement,..come 2015 your wish will be granted
 
Ben na madogo wengi wa huko CDM ni majobless na wanna be, hawana jeuri ya kusema chochote kwa sababu mwisho wa siku wanalazimika kurudi miguuni kwa Mbowe kuomba nauli. Umasikini ndio adui mkubwa wa demokrasia.
Ni kweli kama ukiwa ndani ccm hauhitaji kuwa na ujuzi wowote katika taaluma unayoajiria kwa ccm huwa nafasi ya kazi inatafuta mtu,
na pia ndani ya ccm wapo wanaokula chakula na wapo wanakula makombo, tatizo lipo kwa hawa wanaokula makombo wanakelele balaa
 
cut the act!!!the elections were rigged in broad daylight,you know it and the self proclaimed president does too

Where are you, 2010? wake up it is 2013(already) and neither you or any of your stupid colleagues have manage to come up with even a made up story to substantiate your stupid claims. By the way this is old and silly excuse for an over 20 years old political party.
 
Mtu kama Heche eti ndio tegemeo la Chadema...kawekwa na Mbowe hapo.
 
- I mean I am reading this right Nape, anakuwaje size ya Slaa wakati Nape ni Kiongozi wa Chama tawala for the last 51 years na Slaa ni kiongozi wa Chama ambacho katika uhai wake toka kuzaliwa mpeke leo hakijashinda anything?

- Majuzi wamekutana Mwanza kwenye Udiwani, Slaa amepigwa akakimbia kabla ya matokeo kutangazwa, wamekutana tena kwenye Udiwani, Nape viti 22 Slaa viti 5 tu, sasa hawa wanakuwaje one size? Unless I am missing something hapa!!

ES!
 
Where are you, 2010? wake up it is 2013(already) and neither you or any of your stupid colleagues have manage to come up with even a made up story to substantiate your stupid claims. By the way this is old and silly excuse for an over 20 years old political party.

The few the proud the marines !! ahh aha you know how to shut them down there number does not mean anything!!!! Go boy!!
 
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.

Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.

Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.

Nduka mtaanza lini tena kuchoma makanisa?
 
Kila siku zinavyokwenda na umaarufu wa CDM unazidi kupotea.
 
kwa hiyo mkuu,inawezekana kijana wetu nae akawa na huu uchafu wa padri wa chadema?

Padiri Slaa ni mzinifu; uchafu wake hauna shaka yoyote machoni pa waungwana nina wasiwasi na vijana wa altare waliokuwa karibu na padiri Slaa; inawezekana kabisa mambo ndiyo vile tena!
 
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama mbao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.

Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.

Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
Anaweza kushindwa ndani ya chama kama CCm kwa sababu ya mizengwe na rushwa ambayo hata m/kiti wenu amekiri imetamalaki,lakini akienda kwa wananchi wanamchagua,mtu akishinda kwa haki kwenye chama anaangushwaje na mtu aliyemshinda mbele ya wananchi wenye ubunge wao?ukitaka kuamini niyasemayo jiulize,mnawezaje kuwa na makamu mwenyekiti taifa kama Mangula aliyeshindwa uwenyekiti wa mkoa?Kuhusu Zitto,huwezi kumfananisha na Slaa hata kidogo,kivuli cha Slaa waweza kuwauliza wale mafisadi 11,pia pitia kura za maoni kati yake na Slaa humu jamvini!
 
Where are you, 2010? wake up it is 2013(already) and neither you or any of your stupid colleagues have manage to come up with even a made up story to substantiate your stupid claims. By the way this is old and silly excuse for an over 20 years old political party.

didn't i tell you to clean up your stinking mouth?

[h=1]Tanzania: Local Electoral Commissions Under Fire Over Handling of Poll[/h] By Mike Mande, Joseph Mwamunyange, Doris Ndeketela and John Mbalamwezi, 8 November 2010 Nairobi — Controversy over the two Tanzanian electoral commissions and alleged Special Branch involvement on the side of the ruling party in the just ended general election, deepened last week with international observers and local political parties calling for a review of the commissions.

The Civic United Front (CUF), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) and EU election observers are calling for an official inquiry into the involvement of the Tanzania Electoral Commission, the Zanzibar Electoral Commission and the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) in helping Chama cha Mapinduzi win the election.
 
Dk nae anajiaibisha sana atajibishanaje na kichaa kama nape, lile ni vuvuzela amwache alopoke tu
kweli mkuu dr.hakupaswa kufungua kinywa chake kumjibu mtu ambae kazi yake ndo hiyo uchakunuzi,hivi nape angekua demu ingekuaje?
 
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.

Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.

Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
au silaa tumkabidhi mzee wassira?
 
- I mean I am reading this right Nape, anakuwaje size ya Slaa wakati Nape ni Kiongozi wa Chama tawala for the last 51 years na Slaa ni kiongozi wa Chama ambacho katika uhai wake toka kuzaliwa mpeke leo hakijashinda anything?

- Majuzi wamekutana Mwanza kwenye Udiwani, Slaa amepigwa akakimbia kabla ya matokeo kutangazwa, wamekutana tena kwenye Udiwani, Nape viti 22 Slaa viti 5 tu, sasa hawa wanakuwaje one size? Unless I am missing something hapa!!

ES!
kuna umuhimu wa kujua level za elimu hapa jf, hivi kweli mkuu unaijua analysis? Ccm is a national disaster!
 
heche, kilichomkimbiza slaa ccm ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa slaa, nape ndio size haswa ya slaa.

Hata ndani ya cdm (ukiondoa hapa jf na kubebwa na wazee) slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki slaa hawezi kumshinda zitto kwa kura.

Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba slaa na kumchafua zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.

ni bora kunyamaza kulikokuandika historia usiyoijua. Dr slaa alishinda ila mkamwengua kwa mizengwe yenu, wazee wakakasirika na kumwomba atafute chama kingine watamuunga mkono ndipo slaa akahamia chadema na kuikomboa karatu.

Upo hapo wewe vuvuzela mdogo.
 
Padiri Slaa ni mzinifu; uchafu wake hauna shaka yoyote machoni pa waungwana nina wasiwasi na vijana wa altare waliokuwa karibu na padiri Slaa; inawezekana kabisa mambo ndiyo vile tena!
nitajie mmoja wa wanasiasa wa hapa tanzania ambaye sio mzinifu mkuu tumjue!
 
Nape v/s Slaa?acheni mizaha jamani!yaani yule mwanamama mbabe wa Nape kwenye kura za maoni za CCM alisambaratishwa vibaya na Mnyika tu ndio mumfananishe na Slaa?Huyu siku zote atasubiri vyeo vya fadhila tu maana akitangaza kugombea tu EL anatia timu,jiulize kwa nini hakugombea ujumbe wa NEC?
 
Back
Top Bottom