HECHE: Nape sio saizi ya Dr. Slaa

HECHE: Nape sio saizi ya Dr. Slaa

We nduka ! Thibitisha unachokisema kuhusu kanisa+babu+mtei &family! Otherwise futa kauli yako!
And don't play out of politics and involve religion in the matter of poll!
 
jamani tuache utani,yaani NAPE hajawahi kugombea cheo chochote.
naomba NDUKA na timu yako mniambie kama jamaa aliwahi kugombea chochote akashinda kuanzia kwenye kwaya wakati ameokoka pale singida. na kama ni kweli kumwe hata wiliam malechela pamoja na kupigwa chini kila wakati kamzidi NAPE na ujumbe wa jumuia ya wazazi kata.
hahah hahah haha aaaaaaa...........
 
Mpuuzi yeye mwenyewe kuwa mwenyekiti wa BAVICHA ilibidi vijana wangapi wanyimwe haki ya kushiriki uchaguzi? kifupi kwenye kupeana madaraka yeye ni mnufaika wa kwanza hapa Tanzania, ndio maana kazi yake ni kuimba Slaa, Mbowe kila kukicha.

embu naomba uhakiki wa maoni yako, unaweza kunipa uthibitisho?
 
Slaa hakushindwa kura za maoni, alishinda ila kwa sababu ya Rushwa iliyoota mizizi ndani ya CCM, Koro aliyekuwa Mbuge wakati ule akapewa ushindi pale Karatu. Kuona ujinga huo, Slaa akaamua kuingia Chadema na wakati huo Chadema haikuwa maarufu kama sasa hivi. Hivyo kilichomfanya Slaa Mbuge wa Karatu wakati ule si Chama bali ni uwezo wake. This can not be the case for Vuvuzela, Nape. Nje ya CCM, he is gone. Uwezo wa analysis wa Nape pia ni mdogo sana na ndio maana anazungumzia watu zaidi kuliko hoja. Simple minds always discuss people, not issues!
 
Kwani heche ndiye msemaji wa babu wa totoz au?alafu huyu jamaa ikitokea akachukuliwa mke na padri atafanyaje?maana babu haaminiki
 
- Duh! nashangaa kwamba ulikuw aunauliza elimu ya watu na hii ndio elimu yako? ha! ha1 ha! ha! halafu unategemea niendelee kubishana na wewe? ha! ha! ha!

Es!

yani wewe ulipiga 0 form 4 pale kwiro sec moro then ukakimbizwa kubeba box kwenye meli alafu leo unajifanya eti na wewe ni msomi? We jamaa kichwa maji tu.
Le mutz huna kitu ww.
 
Mpuuzi yeye mwenyewe kuwa mwenyekiti wa BAVICHA ilibidi vijana wangapi wanyimwe haki ya kushiriki uchaguzi? kifupi kwenye kupeana madaraka yeye ni mnufaika wa kwanza hapa Tanzania, ndio maana kazi yake ni kuimba Slaa, Mbowe kila kukicha.
jibu hoja acha matusi ama onesha namna gani nape ni sawa na DR slaa hii si sehemu ya matusi na vijembe vya khanga ama umeachika majuzi nini hukumbuki kuwa HECHE alikuwa diwani wa KATA YA TARIME MJINI NA kumshinda boss wenu wa kanda ya ziwa ZAKARIA? na pia uenyekiti aligombea hakuteuliwa kama NAPE muiteni nape ampe za macho si ametangaza vita ya maneno
 
Kwani heche ndiye msemaji wa babu wa totoz au?alafu huyu jamaa ikitokea akachukuliwa mke na padri atafanyaje?maana babu haaminiki
nape ndiye msemaji wa rais dhaifu na chama dhaifu?
 
Mtu kama Heche eti ndio tegemeo la Chadema...kawekwa na Mbowe hapo.
umeishaanza kuachama hapa ndio mnadhihirisha jinsi msivyofanya hata utafiti na lichama mfu hilo heche hajateuliwa na pia usiwe kama panzi
 
Ben na madogo wengi wa huko CDM ni majobless na wanna be, hawana jeuri ya kusema chochote kwa sababu mwisho wa siku wanalazimika kurudi miguuni kwa Mbowe kuomba nauli. Umasikini ndio adui mkubwa wa demokrasia.
wewe tangu uingize rushwa Bavicha so hapa umeona ndipo panakufaa hutakaa ukawa mwkt wa vijana chadema subiri chauma ndio chama cha kudisco
 
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.

Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.

Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.

wee kweli Nduka... hahaa 1995-2000-2005 jamaa wanamsindikiza tuu ubunge.. sasa huyo Nape wenu hajawahi kupigiwa hata kura wa umonita darasani.. au Asha rose migiro hajui hata form ya kuombea uongozi.. Chadema ili ushinde ni lazima uwe kuna wanannchi wanakukubali kutoka kwenu...
 
Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.

Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.

Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.

halafu slaa kwny kura za maoni 1995 alishinda na kuenguliwa kwa kuwa hakuwa mwenzao yaani ndugu yake jamaa fulani yaani kama vyeo vya kina Nnauye, makamba au malecela
 
Naona umechagua kutapika badala ya kufikiri!
Hatuto teteleka na uchonganishi huu, bora akili zako kuliko za Nape!

Heche, kilichomkimbiza Slaa CCM ni ushindani ndani ya chama ambao kwake ulikuwa ni maji marefu. Kwa kuwa Nape alishindwa kura za maoni kama alivyoshindwa Slaa, Nape ndio SIZE haswa ya Slaa.

Hata ndani ya CDM (ukiondoa hapa JF na kubebwa na wazee) Slaa hana nguvu yoyote hata kesho ukiitisha uchaguzi wa ndani na ukafanywa kwa haki Slaa hawezi kumshinda Zitto kwa kura.

Hii ndio sababu haswa kuna juhudi kubwa za kumbeba Slaa na kumchafua Zitto kila kukicha ili tu kumjengea uhalali wa 2015 ili aendelee kubeba maslahi ya mabwana zake.
 
Unatakiwa utumie hata akili kidogo ulizo nazo!
Hivi pandikizi angelitukana hivyo?
Katiba ya ccm inasemaje?
Hivi wanapokea mchango wa mwanachama mfu?
Pandikizi mbona ana wasumbua sana?

Wadhifa alonao Nape CCM, Slaa hajawahi hata kuota na uanachama wake hai mpaka leo.

Magwanda mmeingizwa mkenge, kumbe Padri bado ni mwanachama hai wa CCM. Poleni sana.
 
Unajua ndugu Unayejiita Nduka kama huna lakuongea usiingie huku kujichafua nakuonyesha udhaifu wa kutokuelkewa mambo ynavyokwenda. Acha ushabiki wa kijinga kujaribu kuwagonganisha zitto na Dr.Slaa. Unadhani ndani ya chadema tunabebana kama ccm? Tumia akili kidogo hata yakuazina kama yako haitoshi. Nape siyo size ya Dr.slaa.
 
Back
Top Bottom