kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,247
- 16,169
- Thread starter
- #41
Leo tumezindua ujenzi wa mtambo wa kuchenjua uranium hapa Tanzania, mama Samia sio mtu wa maneno maneno mengi. Jana nimekwenda dar kutoka Kijiji kwetu, eebhanae!!! Nilipotea, barabara za mwendokasi ni Kila kona. Ndugu yangu alikuwa anakaa kule mwisho wa lami, hadi nikapotea kufika kwake.RIZI WANI KIKWETE
SALMA KIKWETE
ABDULLA MWINYI
ABASI MWINYI
ASMA MWINYI
GEOFREY MIZENGO
MTOTO WA SAMIA WENU
MCHENGERWA
KIMBAO
MTOTO WA WASIRA
MTOTO WA MASABURI
Wewe jina lako lipo hapo? kama halipo endelea kuwa CHAWA Msalimie luca
Mtashindana lakini hamtashinda.