Heche na Mnyika wasaidiwe, wanacheza ngoma wasiyoijua

Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.

Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari angalau hata kwao tu. Hii maana yake Lissu, Lema na wenzao wanaopata mafao ya ukimbizi hawezi kufurahia malidhiano hata kidogo. Faida yao hii ya ukimbizi inapatikana kwa "kukinukisha vibaya sana" kunakoweza kuzalisha majeruhi na kamatakamata ambayo itatokea mbele ya camera za watu wao ili kuhalalisha status yao ya ukimbizi.

Heche na Mnyika mafao kama haya hawajapati, wanaotumiwa tu. Familia zao tunazo hapahapa kama sisi. Wanacheza music wasiyojua.

Tafadhali sana watu Hawa Heche na Mnyika msiwapige kirungu Wala kuwakamata, wametingwa tu na mkumbo.
Nyumbu wao wanaruka na kukanyagana tuu 🤣🤣
 
Kwani mmeshamalizana na Polex2 na gwajiboy wakati familia bora zinajipakulia ubonge na mafao ya shithole, kabla hamjaanza kupeleka ushauri kwa wasioutaka na hawajawaomba?
 
Hata aongoze nani mimi sina lingine zaidi ninalowadai za ya kunisogezea na kunirahisishia huduma na fursa. Mazingira yaliyoko sasa yananiwezesha mimi kulima, kufuga, kuvua, kuchimba, kufanya sanaa bila shida. Majimbo ni 272 tu hivyo hatuwezi wote kuwa wabunge. Na bahati mbaya sijawahi kugombea nikakosa, hivyo sina sababu ya kulaumu wengine sana.
 
Usijipendekeze sasa kwa wanaume wenye mission zao kama unafuga na kulima mambo ya wapambanaji yanakuhusu nini? Na nani kakuambia wanahitaji ushauri wako, ukale unapopeleka mboga tu mkuu!

Dunia ina mambo mengi sana ya kufanya wao wamechagua njia hiyo, we nawe chagua na ufanye yako maisha yaendelee!

Ukiona mwenzako kakosea we jifunze kufanya yako unavyotaka sio kupelekea watu wengine ufundi wako hawauhitaji
 
Siwezi kukaa pembeni kama nikimuona mtu anafanya kitu ambacho ama kinatishia amani, utulivu na usalama wangu au kitaichelewesha serikali kunifikishia huduma baada ya kulipa kodi zangu kikamilifu. Yaani badala ya serikali kuongeza idadi ya walimu inalazimika kuongeza idadi ya polisi, wanajeshi, na askari magereza ili kukabiliana na viashiria vya uvunjifu wa amani na utulivu nchini vinavyoongezeka siku hata siku.
 
Sasa ulaya kuna issue gani ya maana, hizo ni dalili za wazi za brain washed syndrome. Mimi namshuru Mungu sina ndugu wala mtoto aliyepanga chumba cha kulala; niko fit wewee. Ila mm ninawasikitikia nyie mnaotumia ubongo wa Lissu na Lema mkidhani mna kusudi moja; akili za kuambiwa mmeshinda kabisa kuchanganya na akili zenu.

Hivi, hata kama mtu ana mtindio wa ubongo hawezi kuamini kama Tanzania kuna mtu anaeweza kuzuia watu wasiende kuchagua na kuvuruga uchaguzi halafu akaendelea na maisha yake kama mtu mwingine. Wazungu wanawadanganya kuwa watawasaidia chochote kwasababu wao ni wanufaika wakubwa wa utawala wa CCM. Wazungu wana uwekezaji mkubwa sana humu kwetu na wanafahamu kuwa Tanzania iko vizuri sana kiutawala, demokrasia na utoaji haki kwa viwango vya Afrika.

Ukiona mtu ametekwa ujue kuwa mtekaji na mtekwaji wanafahamiana na aliyetekwa anafahamu nani amemteka na sababu ya kumteka. Ndiyo mama wewe hukutekwa.

Kule kijiji kwetu kama mtu nyumba yake ikiunguzwa, moja kwa moja atakuwa anamjua aliyeiunguza hata kama hatamtaja mbele za watu. Na sababu ya kuunguza nyumba yake atakuwa anaijua.

Lissu alikuwa anajua lazima atakamatwa kwa yale anayopanga na kuyasema; lakini pia alikuwa anajua kuwa kusudi lake litatimia kama atakamatwa. Kukamatwa kwake ndio mtaji mkuu kwa familia yake kuendelea kuishi ulaya na kupata mafao ya ukimbizi. Nyie wengine wote (nyumbu) mnamsindikiza tu.
Kwanini na mumeo asikamatwe mpate mtaji toka kwa wazungu?
 
Hebu na wewe jichanganye uwekwe rumande kama Lissu uone kama hutakuta mumeo ameolewa na wanaume wenzake ili kulisha watoto. Usiige tembokunya bro
 
Huko ndiko kuwashwa kwenyewe.
Akwambiae usikombe mboga anataka ushibe; usiache ugali kwa kuishiwa mboga.

Heche na Mnyika wasiige tembokunya, watachanika vibaya sana. Hawa ni waumini wa siasa za Mbowe za kufanya siasa huko unalisha tumbo lako kwa udiwani, ubunge, ruzuku na transfer fee kutoka upinzani kwenda CCM. Lissu na wenzake wana chimbo lingine la ziada la dummy na refuge
 
RIZI WANI KIKWETE
SALMA KIKWETE
ABDULLA MWINYI
ABASI MWINYI
ASMA MWINYI
GEOFREY MIZENGO
MTOTO WA SAMIA WENU
MCHENGERWA
KIMBAO
MTOTO WA WASIRA
MTOTO WA MASABURI
Wewe jina lako lipo hapo? kama halipo endelea kuwa CHAWA Msalimie luca
Kuna mwaka familia ya Chaurembo, Bungeni Baba aliwakilisha Wazazi halafu Mtoto akawakilisha Vijana... kwamba Dar nzima hii ndo familia bora kiuongozi...
 
Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.

Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari angalau hata kwao tu. Hii maana yake Lissu, Lema na wenzao wanaopata mafao ya ukimbizi hawezi kufurahia malidhiano hata kidogo. Faida yao hii ya ukimbizi inapatikana kwa "kukinukisha vibaya sana" kunakoweza kuzalisha majeruhi na kamatakamata ambayo itatokea mbele ya camera za watu wao ili kuhalalisha status yao ya ukimbizi.

Heche na Mnyika mafao kama haya hawajapati, wanaotumiwa tu. Familia zao tunazo hapahapa kama sisi. Wanacheza music wasiyojua.

Tafadhali sana watu Hawa Heche na Mnyika msiwapige kirungu Wala kuwakamata, wametingwa tu na mkumbo.
Huo ndio mwisho wako wakufikiri?

Ama kweli hujui kilichopo.

Wangekuwa wame base kwenye familia zao unadhani wangekuwa wanaendelea kuhangaika mpaka wengine wapewe kesi hatarishi?

Jaribu kuwa mkubwa kuliko wewe!
 
Mwaka jana mlituambia Mh. Mnyika ana-defect CCM leo mnachanganyikiwo. Poleni
 
Kuwa serious mkuu sasa zile risasi zote alizopigwa tunda lisu ulitaka na familia yake ibaki Tanzania sometimes kuweni serious pole siku kaongea tu dada yake kakamatwa na huyo ni kijani mwenzao.
 
Huo ndio mwisho wako wakufikiri?

Ama kweli hujui kilichopo.

Wangekuwa wame base kwenye familia zao unadhani wangekuwa wanaendelea kuhangaika mpaka wengine wapewe kesi hatarishi?

Jaribu kuwa mkubwa kuliko wewe!
Yeye ni mwanasheria na mtanzania. Anaifahamu Katiba, desturi, utamaduni,silika ,lugha ambazo zinaweza kumfanya akamatwe na watawala. pamoja na kufahamu hivyo yeye amefanya, tena amefanya akijua lazima atakamatwa. Unadhani anafanya hivyo burebure tu?
 
Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.

Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari angalau hata kwao tu. Hii maana yake Lissu, Lema na wenzao wanaopata mafao ya ukimbizi hawezi kufurahia malidhiano hata kidogo. Faida yao hii ya ukimbizi inapatikana kwa "kukinukisha vibaya sana" kunakoweza kuzalisha majeruhi na kamatakamata ambayo itatokea mbele ya camera za watu wao ili kuhalalisha status yao ya ukimbizi.

Heche na Mnyika mafao kama haya hawajapati, wanaotumiwa tu. Familia zao tunazo hapahapa kama sisi. Wanacheza music wasiyojua.

Tafadhali sana watu Hawa Heche na Mnyika msiwapige kirungu Wala kuwakamata, wametingwa tu na mkumbo.
Hapa ndio unaona umecheza mind game la hatari.
 
Yeye ni mwanasheria na mtanzania. Anaifahamu Katiba, desturi, utamaduni,silika ,lugha ambazo zinaweza kumfanya akamatwe na watawala. pamoja na kufahamu hivyo yeye amefanya, tena amefanya akijua lazima atakamatwa. Unadhani anafanya hivyo burebure tu?
Kwamna watawala na miungu, kuna lugha wakisikia hawapendi.
 
UWT huna akili
Ukweli unauma ila .ni dawa ya kudumu,, the Gold standard ya matibabu yote..
Jamaa wamenasa kwenye ulimbo.

Kama unataka kumsadia Lissu basi afanya hivyo kwa kumzuia asiingie kwenye makosa. Prevention is better than cure. Njia hii inajulikana kama primary prevention, usisubiri hadi amekamatwa kama wanavyofanya akina Wakili msomi Nshala na wenzake.
 
Kwamna watawala na miungu, kuna lugha wakisikia hawapendi.
Lissu anazijua lugha zote ambazo hazikubaliki Afrika na Tanzania na singida na kwenye kabila lao na kwa wazazi wake. Kama anaeitumia hizo maana yake anajua nn kitatokea.

Watu kama Lissu wako wengine Afrika, lakini kote huko watu hao hawajui dafu mbele za watawala. Uganda wako Besije na Bob wine, South Africa yuko Malema, Zimbabwe yuko Chivangilai, msumbiji yuko, Rwanda, Congo, Kenya, Sudan nk kote wapo Hawa, lakini hawafui dafu.

Shida kubwa ni kwamba watawala Hawa wa kiafrika wana mahusiano makubwa na nchi za Magharibi ambazo akina Lissu wanasema the world is watching. Wanadhamini the world haioni kuwa museveni, kagame, Qatara, wameng'ang'ania madarakani?
 
Ni hivi, si kila mtu ki kondoo kwa watawala, ama ataogopa kuongea ukweli kisa watawala wa Afrika hawapendi kusikia ukweli.
 
Back
Top Bottom