Heche na Mnyika wasaidiwe, wanacheza ngoma wasiyoijua

Heche na Mnyika wasaidiwe, wanacheza ngoma wasiyoijua

WWi
RIZI WANI KIKWETE
SALMA KIKWETE
ABDULLA MWINYI
ABASI MWINYI
ASMA MWINYI
GEOFREY MIZENGO
MTOTO WA SAMIA WENU
MCHENGERWA
KIMBAO
MTOTO WA WASIRA
MTOTO WA MASABURI
Wewe jina lako lipo hapo? kama halipo endelea kuwa CHAWA Msalimie luca
Laumu baba Ako kwa nn ajawa mwanasiasa nawe tungekuongelea saiv
 
Pesa kapata wapi? Mtu Kawa mpk wazir unasema pesa kapata wapi ..Kwan kazi anayofanya ni ya kujitolea au
shida uliyonayo kichwani ni kubwa sana. unafikiri adui wa watanzania ni heche. adui unae wewe hapo lumumba wale ndiyo maadui wa nchi hii. Mwigulu nchema alikuja UDSM na ndala leo ana mabasi lukuki pesa kapata wapi?
Makonda KAJA NA ndala kutoka kwao na hata kulipiwa ada na kina sita na makamba LEO ana MADEPO/HIFADHI ZA MAFUTA HUKO KIGAMBONI pesa kapata wapi?
 
Ukweli unauma ila .ni dawa ya kudumu,, the Gold standard ya matibabu yote..
Jamaa wamenasa kwenye ulimbo.

Kama unataka kumsadia Lissu basi afanya hivyo kwa kumzuia asiingie kwenye makosa. Prevention is better than cure. Njia hii inajulikana kama primary prevention, usisubiri hadi amekamatwa kama wanavyofanya akina Wakili msomi Nshala na wenzake.
huu udhalimu kuna siku utakula kizazi chako
 
Msrehemu Asha Bakari aliwahi kusema: MWANANGU TUNDULISSU ANACHEZA NGOMA ASOIJUA hii ilikuwa ni kwenye Tume ya Warioba kina Polepole walipotaka Serkali 3 waue Muungano
 
Msrehemu Asha Bakari aliwahi kusema: MWANANGU TUNDULISSU ANACHEZA NGOMA ASOIJUA hii ilikuwa ni kwenye Tume ya Warioba kina Polepole walipotaka Serkali 3 waue Muungano
Pole pole na genge lao walitka kutuaribia taifa .Leo hii wanaonekana wazalendo .c ajabu kesho nape akiaanza kuiponda ccm watu wakamuona malaika
Ujinga ujinga ujinga
 
Msrehemu Asha Bakari aliwahi kusema: MWANANGU TUNDULISSU ANACHEZA NGOMA ASOIJUA hii ilikuwa ni kwenye Tume ya Warioba kina Polepole walipotaka Serkali 3 waue Muungano
Mtazame Heche vizuri, mtazame na msikilize Mnyika kwa makini utagundua kuwa hawa watu sio type ya Lissu; ni watu tu ambao wanapenda demokrasia kwakuwa fursa ya kufanya hivyo ipo. Lissu ni tofauti sana; yeye anapinga kila kitu kuanzia maslahi ya nchi, mila, desturi na utamaduni wetu dhidi ya maslahi, mila, desturi na tamaduni za Magharibi.
 
Back
Top Bottom