Heche na Golugwa wamtembelea mjane wa Suez Tarime

Heche na Golugwa wamtembelea mjane wa Suez Tarime

Tanzania ilipofika inasiitisha Sana.

Unua kisa Madaraka?

Watoto wanakosa Baba.
Mama anakuwa Mjane
Nguzo ya Familia Inatoweka.
Vipi Jamii ya watanzania wanaionaje selikali???
Jumuia za kimataifa zinatuonaje????

OMBA YASIKUPATE.
HAKUNA ALIYE SALAMA.
Uchunguzi wa mwili wa marehemu unasemaje!? ... CHADEMA ILIWAKILISHWA PIA!
 
unafiki wa binadamu hua ni kitu mbaya sana aise,


yaani sijui muhusika alie mmaliza mwendazake kwa sumu kwasababu tu ya pesa anawaza nini hapo dah,

Ama kwa hakika pesa ni mwanaharamu 🐒
Ndukumu wewe
 
Back
Top Bottom