USTAADHI
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 1,516
- 136
Leo kambi ya ccm jimbo la kibaha mjini imebomolewa baada ya wanachama zaidi ya 36,wakiongozwa na katibu wa kata ya maili moja MATHIAS MOHAMED MBOGO almaarufu (sufuria la CCM) waliporudisha kadi na kujiunga na Chadema,kwenye mkutano mkubwa uliohutubiwa na MWKT WA BAVICHA TAIFA mh john heche suguta aliyekuwa ameambatana na wabunge machachari wa mbeya mjini Joseph mbilinyi (SUGU) pamoja na mch peter msigwa mbunge wa iringa mjini,hali kadhalika viongozi wa mkoa wa pwani na ndg Habibu mchange nao walikuwepo,katika mkutano uliokuwa na kila aina ya mvuto kutokana na hoja za wazungumzaji
wakati bwana Heche alionekana kuliza wananchi kwa hoja zake zilizolenga masikitiko ya namna serikali inavyowapuuza madaktari,na kusababisha vifo visivyokuwa vya lazima huku akimshangaa rais kuwa yuko nje ya nchi akiwa amekwenda kwenye forum ambazo hazina tija! Msigwa ahoji ni vipi CCM iliyosababisha matatizo inaweza kuachiwa iyatatue tena? Anena mpaka sasa wabunge hawajalipwa mshahara! Polisi watalipwa?waalimu watalipwa? SUGU awashangaa wanaotaka urais 2015 kuwa wanaandaa kombe la dunia? Amshauri kinana kama hao watu wanamnyima rais usingzi awatose mapema, Mchange amuonya foka aache kutembea na wake wa wapiga kura afanye kazi! HECHE PIA AMLILIA REGIA MKUTANONI, nawasilisha