Heche,msigwa,sugu,waibomoa ccm kibaha

Mkoa wa pwani bado ni ngome ya CCM sikumbuki vema kama chadema ina mbunge hata mmoja wa kuchaguliwa. Bado chadema haijabomoa.
 
Chadema huko ni kutapatapa, huyo sufuria ni toto la mjini! amewaingiza mjini muda huu ankula kinywaji pale container bar, yeye ni CCM daima. Uhakika umepatikana MGOMO wa Madaktari+Mkono wa Chadema=Kutaka kudhoofisha Utawala wa CCM; kwa kweli CDM mtapata anguko kali mwaka huu.

sidhani kama umetafakari vya kutosha kabla haujaandika huo upupu.
 
Chadema huko ni kutapatapa, huyo sufuria ni toto la mjini! amewaingiza mjini muda huu ankula kinywaji pale container bar, yeye ni CCM daima. Uhakika umepatikana MGOMO wa Madaktari+Mkono wa Chadema=Kutaka kudhoofisha Utawala wa CCM; kwa kweli CDM mtapata anguko kali mwaka huu.

Nimependa bandiko lako. andaa bango nenda nalo mkutano wa pinda kesho.
 
Chadema huko ni kutapatapa, huyo sufuria ni toto la mjini! amewaingiza mjini muda huu ankula kinywaji pale container bar, yeye ni CCM daima. Uhakika umepatikana MGOMO wa Madaktari+Mkono wa Chadema=Kutaka kudhoofisha Utawala wa CCM; kwa kweli CDM mtapata anguko kali mwaka huu.
mkuu wewe ni MTZ kweli?
 
Ahsante kwa taarifa naulizia Mchungaji Msingwa yupo? sasa Heche ataendelea kulia lia mpaka lini? Mbona kwenye msiba alikuwa kimya au anatafuta huruma sio mbaya lakini mbinu nzuri ya kuvuta watu.
 
Safi sana makamanda,endelezeni mapambano tupo wote pamoja katika mapambano ya kumng'oa mkoloni mweusi CCM madarakani
 
kama anapendwa basi angekuwa ngazi ya wilaya au mkoa tuache kutia chumvi

Vp wewe ndugu yetu unayepingana na ukwel?angekuwa ngaz ya mkoa au wilaya kivip?kwan yeye amewah kugombea uongoz wa chama pale kibaha?muulize mwenyeki Heche au Sugu,wameona jins gan kijana ni jiwe la msing pale
 
Chadema huko ni kutapatapa, huyo sufuria ni toto la mjini! amewaingiza mjini muda huu ankula kinywaji pale container bar, yeye ni CCM daima. Uhakika umepatikana MGOMO wa Madaktari+Mkono wa Chadema=Kutaka kudhoofisha Utawala wa CCM; kwa kweli CDM mtapata anguko kali mwaka huu.

Akili za kuku hizo umepewa mwanadamu,ungejua nini wanachopigania madaktari,na ungebahatika kuendelea kupata elimu kidogo tu mbali ya ya kujua kusoma na kuandika usingethubutu kumwaga mawazo yako ya fikra za uwezo wa kuku kufikiri hapa
 
Ahsante kwa taarifa naulizia Mchungaji Msingwa yupo? sasa Heche ataendelea kulia lia mpaka lini? Mbona kwenye msiba alikuwa kimya au anatafuta huruma sio mbaya lakini mbinu nzuri ya kuvuta watu.

Manufacturing of teacherz
 
Chadema huko ni kutapatapa, huyo sufuria ni toto la mjini! amewaingiza mjini muda huu ankula kinywaji pale container bar, yeye ni CCM daima. Uhakika umepatikana MGOMO wa Madaktari+Mkono wa Chadema=Kutaka kudhoofisha Utawala wa CCM; kwa kweli CDM mtapata anguko kali mwaka huu.

Vibaraka wa CCM utawajua tu!
 
Chadema huko ni kutapatapa, huyo sufuria ni toto la mjini! amewaingiza mjini muda huu ankula kinywaji pale container bar, yeye ni CCM daima. Uhakika umepatikana MGOMO wa Madaktari+Mkono wa Chadema=Kutaka kudhoofisha Utawala wa CCM; kwa kweli CDM mtapata anguko kali mwaka huu.

Mafili mimi sio.cdm lakini kuhusisha kila kitu na cdm ni kuwajengea umaarufu usiokuwa na lazima ni si lazima kuchangia kila kitu
 
Sugu ndio alifunika! alichana kidogo mistari ya antivirus ...halafu ndio akaanza kuhutubia umma wa watanzania uliokuwa na hamu ya kumsikia!
 
Back
Top Bottom