Heche kwa sasa ni namba moja kwa vijana

Heche kwa sasa ni namba moja kwa vijana

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,269
Reaction score
13,895
Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida.

Tumpe maua yake talent ni talent tu inatoka kwa Mungu + jitihada
 
IMG_20250517_001500.jpg
 
Labda namba moja kwa kuweka mikeka. Umewadharilisha sana vijana wa nchi hii.
 
Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida.

Tumpe maua yake talent ni talent tu inatoka kwa Mungu + jitihada
Yes sure,
heche ni namba one kwa kukurupuka na uropokaji usio na madhara ndani ya chadema 🐒
 
Wewe namba moja kwa uchawa na kutojitambuwa,unawakilisha ujinga wa Vijana wa CCM kutetea vitu vya ovyo
 
Heche anaeleweka kuliko mwenyekiti wake,maana Heche anafafanua vizuri ila mwenyekiti wake anazungumza makosa ya watu kuliko kuelewesha watu baada ya makosa wao wafanye nini.
 
usipanic ukweli unapoelezwa gentleman 🐒
Ni kawaida ya vijana wa blue na nyekundu. Wanaamini mtu anayetumia lugha kali ndio wa maana. Hawajui kujibu hoja kwa hoja bila kuhusisha matusi. Ni watu flani hivi wa panic ya haraka na kukutukana ni kugusa tu. Hata hapa watakuja kutukana.
 
Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida.

Tumpe maua yake talent ni talent tu inatoka kwa Mungu + jitihada
kabisa!
 
Na ile aina ya presentation ina vutia mno. Wenye akili ndogo na zile za kati wanamuelewa sana.
 
Ni kawaida ya vijana wa blue na nyekundu. Wanaamini mtu anayetumia lugha kali ndio wa maana. Hawajui kujibu hoja kwa hoja bila kuhusisha matusi. Ni watu flani hivi wa panic ya haraka na kukutukana ni kugusa tu. Hata hapa watakuja kutukana.
heche akiwa mkutanoni, tangu mwanzo hadi mwisho wa mkutano ni kugomba, kufoka foka na kubwekabweka tu, yaani unajiuliza sasa wananchi anao wahutubia wazingatie nini, kufoka foka kwake au agenda ya mkutano husika? 🐒
 
Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida.

Tumpe maua yake talent ni talent tu inatoka kwa Mungu + jitihada
Mwigulu bado ni kijana?
 
heche akiwa mkutanoni, tangu mwanzo hadi mwisho wa mkutano ni kugomba, kufoka foka na kubwekabweka tu, yaani unajiuliza sasa wananchi anao wahutubia wazingatie nini, kufoka foka kwake au agenda ya mkutano husika? 🐒
Siko upande wowote wa siasa ila huwa napenda kufuatilia kinachoendelea. Nilichogundua ni kwamba kila chama kina falsafa yake japo huwa hawaijui moja moja. Ili uwe kijani ni lazima uwe kijana mtiifu kwa mamlaka kwanza, ujue cha kuzungumza muda gani na upo na nani? Ndani ya kijani obedience na ustaarabu majukwaani ni jambo la kwanza.

Upande wa bleu na nyekundu, falsafa yao ni kuongea kwingi, kutokuwa na mipaka ya wanachokiongea, vijana wao wengi ni wale wasiojali lugha ya mazungumzo kulingana na wanaezungumza nae. Ukiwa mropolaji unaonekana shujaa. Tukija kwenye law of attraction “you attract what you are” hata wafuasi wanaowavutua ni aina hiohio pia, no reasoning.
 
Back
Top Bottom