Hebu wachek hawa Aspirin sijui ndio Chrispin sina uhakika na Dark City (DC)

Hahahahahaaaa.....sichezagi mbali na jamvi na siendi kokote. Nilikuwepo toka mwanzo na ntakaa mpaka mwisho. Heheheheheeee.....just deal with me.....labda uombee nife kabla yako which is impossible coz Ngabus don't die, they multiply, ya dig? Sasa kajipongeze na makanga kwa kupata senksi ya painkiller....

Please dont even start (napenda kuwa na amani moyoni) hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa i am so happppppppppppppppppppppppppppppppy kupata sanks toka kwa pain killer
 
haahah nshaediti...hv ni mwalimu wako Rose? manake wewe ndio mama wa ma grammar....lol, anaonekana ni mbabu fulani lakini busara kazisahau alipozificha, cjui huwa anaona kila mtu anashobokea huko cjui mirikani...ovyo sana, kila mtu na lyfe lake humu hatujaja kuombana ugali bali kupanua mapafu, aje huko na vituc vyake vya cheap cheap vya mabatini/nyegezi....

mmh kwan ana anachiokijua bas...asi anaringia tu huo URITH WA BABU...babu yake alivyoded alimwachia urith wa dictionary bas weeeeeeeeeee hatulali hatukai...
 
@Maty

hii tabia ya kunisema kaka yako bila hata tahadhari ya PM hii... sawa bana:doh:
 
Please dont even start (napenda kuwa na amani moyoni) hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa i am so happppppppppppppppppppppppppppppppy kupata sanks toka kwa pain killer
we naniii naniiiiiiiiiiiiiii njoooooooooooooooooo njooooo uku wameanza kugo.................maty swetie dont polute yr day
enjoy yr thax beb
eeeehh eeehh mungu wangu
aman ya bwana amaaaaaaaaaaan ya bwana.................ninakupa mkono wa aman .................aman ya bwana
pc pc pc is very crucial....maty ivi una nguo ya sikukuu?mariooooooo alikununulia?
potezea virus.
 
Nooooooooooooo sweet valuu, my sugar konyagi hata wewe ni mstaarabu sana hao tumewatolea mfano tu ila wanaweza kuwa wanaongoza kwa busara (kwa mtazamo wangu)

nimekugongea senks maty,huyu kakangu asprin na babu DC ni wastaarabu sana,kaka asprin karithi ustaarabu kwa babu na mim nimerithi kwa kaka asprin.
najivunia kuwa na kaka kama asprin,ukiachillia mbali issue zake na eliza ni mtu safi sanaaa.kaka yangu asprin ni mfano wa jinsi kidume kinataiwa kuwa.Nampenda sana brutha asprin sababu sijawahi kumuona akijibizana na mtu.
MY KAKA ASPRIN IZ SOO COOL.
LOLs.
 
mmh kwan ana anachiokijua bas...asi anaringia tu huo URITH WA BABU...babu yake alivyoded alimwachia urith wa dictionary bas weeeeeeeeeee hatulali hatukai...

LMAO!!!! Kweli JF inapunguza stress mimi nimecheka mpaka basi
 
haahah nshaediti...hv ni mwalimu wako Rose? manake wewe ndio mama wa ma grammar....lol, anaonekana ni mbabu fulani lakini busara kazisahau alipozificha, cjui huwa anaona kila mtu anashobokea huko cjui mirikani...ovyo sana, kila mtu na lyfe lake humu hatujaja kuombana ugali bali kupanua mapafu, aje huko na vituc vyake vya cheap cheap vya mabatini/nyegezi....

Nyamayao leo umenifurahisha sana watu mna maneno nyie lol!!!
 
mmh kwan ana anachiokijua bas...asi anaringia tu huo URITH WA BABU...babu yake alivyoded alimwachia urith wa dictionary bas weeeeeeeeeee hatulali hatukai...

Rose....shuwea shuwea jamani...wengine tupo bado kwa ofc tuna disturb watu na vicheko...umenipa ya kuanzia kumpikia mr pilau la biriani kesho...ntacheka mpaka keshokutwa.
 
we naniii naniiiiiiiiiiiiiii njoooooooooooooooooo njooooo uku wameanza kugo.................maty swetie dont polute yr day
enjoy yr thax beb
eeeehh eeehh mungu wangu
aman ya bwana amaaaaaaaaaaan ya bwana.................ninakupa mkono wa aman .................aman ya bwana
pc pc pc is very crucial....maty ivi una nguo ya sikukuu?mariooooooo alikununulia?
potezea virus.

nope nope....Maty ndio kamshoneshea mariooo suti ya batiki.
 
Rose....shuwea shuwea jamani...wengine tupo bado kwa ofc tuna disturb watu na vicheko...umenipa ya kuanzia kumpikia mr pilau la biriani kesho...ntacheka mpaka keshokutwa.

ahhh cheka tu dadangu
vbaya kukwaza watu ...lakin km ni kucheka mbwga we cheka ..ongeza siku +unatoa sumu ya hasira kwa raha zako!!!!!!
laf laf laf...ulaf vzr nakwambia akikuona unalaf vbaya hakawii kukupa mwongozo..atakwambia ukitaka kucheka anza na vowel then malizia na...yeye anajua!!!!!1
 
Nyamayao leo umenifurahisha sana watu mna maneno nyie lol!!!

kuna mijitu inadhani wengine tumeishilia njoro na sumabwanga au nachingwea, wao waliokwea pipa bac ndio wataalamu mpaka watengeneze maini ya binadamu.....nyoooo.
 
yeye mwenyewe ndio yupo perfect chini ya jua...wengine wote mna makosoro/matatizo yenu...kawa malaika?

HAHHA haaaa ajibu tu
yeye achangii yeye akija apa anatafuta grammar na drama zake...ahh ananchosha yule!!!
afu dzain mtu mzma lakin swaga zake dooooooooo bora ata tineja ana busara.....nyamayao edit kdg bwana asije mwalimu akakuta nina makosa...sjaipost bado mpk uiedit....ndo ntatuma ahhh haaaaaaaaaaa!!!!!!:smile-big::smile-big:

haahah nshaediti...hv ni mwalimu wako Rose? manake wewe ndio mama wa ma grammar....lol, anaonekana ni mbabu fulani lakini busara kazisahau alipozificha, cjui huwa anaona kila mtu anashobokea huko cjui mirikani...ovyo sana, kila mtu na lyfe lake humu hatujaja kuombana ugali bali kupanua mapafu, aje huko na vituc vyake vya cheap cheap vya mabatini/nyegezi....

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa dearest upo karibu jamvini
jamani baba aspirin naomba niazime miwani yako hv naona vizuri kweli, pale juu painkiller kanigongea sanks hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee au kuna mtu kaiba password yake

ndo wwale wanaoringa kwa kujua chingereza
ANASHNDWA KUTOFAUTISHA KATI YA KNWLDGE NA LUGHA.
A:rip::rip::rip: TODAY
NAMTAMAN AJIBU

ulimbukeni unamsumbua hana lingine, yaani anajiona anayajua maisha na kona zaidi kuliko mtu mwingine yoyote kwenye maisha, mjuaji wa kila kitu, hajui napo kujifnya mjuaji sana kuna cost....aweke kwenye huo ubongo wake wa ziada kamaanao kuwa huku tumekuja kupanua mapafu sio kuombana ugali.

saa ingine raha sana ujuapo unawakereketa watu halafu hawawezi kufanya chochote zaidi ya kulialia na kurusha vidongo kwa mbali.......hehehehehehee.....inashinda hata raha ya bao!!!! Watu wanakusema lakini wanaogopa kukutaja jina....heheheheheheheheeee.....loooooohhhh!!!!!! Very nice
Salaleee nini tena hapa...........EiD Alhaji waungwana:yield:
 
Back
Top Bottom