yaani rafiki, nilijiuliza saana, mpaka sasa naendelea kujiuliza.
Eti kama mimi kwanza nisingemruhusu aende kulala hoteli, hao wauaji waje wamuue hapo nyumbani na sisi tukishuhudia. tena siku hizo ningejitolea kuwa watchman wake, lol!
Ngoja tuendelee tu kujiuliza maswali meengi ambayo hatuna majibu yakeKwanini hakwenda kulala naye hotelini?? Kwanini hakushirikisha hta ndugu? Hta kama alijinyonga mwenyewe bado kuna uzembe na maswali mengi
yaani rafiki, nilijiuliza saana, mpaka sasa naendelea kujiuliza.
Eti kama mimi kwanza nisingemruhusu aende kulala hoteli, hao wauaji waje wamuue hapo nyumbani na sisi tukishuhudia. tena siku hizo ningejitolea kuwa watchman wake, lol!
...labda hao wauaji tayari walikuwa wanamfuatilia nyendo zake zote 24/7, hivyo kwenda kulala pekee yake kule hotel akawarahisishia kazi yao.
hii naipinga kwa nguvu na akili zangu zote......Ukute mama naye ndio hawa, amabao wakipata mme mwenye kipato wanaswich off brain na kuwa pika pakua. Hana hata la kumshauri mumewe. Ila wanamme wenye kazi kubwa(zinazowaweka kwenye risky), afu wameoa wanawake upeo wa kawaida sana kulinganisha na wao, wanapataga shida sana za ushauri.
wote tukikimbia hizo kazi nani atafanya?Hapa ndo najifunza kuwa sio kila kazi ya kukimbilia kabisa.
Bora nifungue kiduka changu cha yeboyebo kuliko kufanya kazi na serikali.
Tena serikali za nchi zilizo chini ya jangwa la sahara.
Ambazo ni corrupt kupita maelezo
Muoe wanawake wasomi.....wanaupeo
Hapa ndo najifunza kuwa sio kila kazi ya kukimbilia kabisa.
Bora nifungue kiduka changu cha yeboyebo kuliko kufanya kazi na serikali.
Tena serikali za nchi zilizo chini ya jangwa la sahara.
Ambazo ni corrupt kupita maelezo
wote tukikimbia hizo kazi nani atafanya?
unafikiri watu wanafanya sababu wanakimbilia? unajikuta tayari upo huko na kutoka inakuwa ngumu sana. Tena huko mataifa ya juu ndo hatari zaidi. Tuombeane tu kwa kweli.
mkuu ulicho sema ni sahihi kabisa kwani huku mji kasoro bahari watu sasa wanalia kisa matokeo ya ziara ya mkubwa fulani baada ya kuzungikia BRN watu wanajuta kwanini waliajiriwa na serikali hii ya miungu watu
huwa naogopa sana kumsemea mtu......
tutasikia tu muda ukifika
Kwanini hakwenda kulala naye hotelini?? Kwanini hakushirikisha hta ndugu? Hta kama alijinyonga mwenyewe bado kuna uzembe na maswali mengi
nakubaliana nawe, lakini concern yangu ni kuwa iwapo wote tutazikimbia hizo kazi/positions zitabaki wazi? haiwezekani..... ni lazima wengine wajitolee kuzifanyaTrust me, kuna kazi sio safe kufanya hasa zinazohusu maslahi ya watu au chama cha siasa.
Bora tubaki tu huku kuwa technicians wa tigo tu
Believe me, hayo mambo huwa yanatokeaga hata kama mtu anakufa hospitali kwa ugonjwa. Kuna rafiki wa karibu sana alifiwa na mume tena alikuwa mgonjwa na kafia hospitali na bado ndugu walisema mkewe ndo kamuua ili arithi maliSi uzembe ndg je angeenda lala na mkewe hotel afu jamaa akauliwa na mke kua hai uoni kama ingekua tafrani kwa ndugu na jamaaa,wangesema tu mkewe kala njama za kumuua mmewe ili arithi mali,mambo kama haya huwa ni magumu sana tena ukiangalia kudeal na wanasiasa wakubwa,especial huyo bwana che*ge
Niliisoma hii baadae rafiki......Rafiki kwa maoni yangu Mke na Ndugu wa marehemu walifaya makosa makubwa kumuacha alale pekee yake hasa ukitilia maanani wasiwasi mkubwa aliokuwa nao.
~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*
Ndugu wa marehemu aliyefahamika kwa jina moja la Silipwango alisema Gashaza alirudi akiwa na wasiwasi mwingi na kusema kuwa alikuwa akitishiwa maisha ingawa hakueleza kwa undani na nani na ni kwa nini.
"Ilibidi tuongozane wote, mimi, Gashaza na mkewe hadi katika hoteli aliyotaka kulala. Tukiwa pale tulifanya hata na maombi yaliyoongozwa na mke wake ili kumkabidhi mikononi mwa Mungu, ndipo tukamuacha," alisema.
Alisema kutokana na hali waliyokuwa wamemuacha nayo usiku, hawakulala vyema na asubuhi na mapema alikwenda katika nyumba hiyo ya wageni ndipo alipogundua kuwa Gashaza amejiua.
Polisi Dar yaunda jopo kuchunguza kifo cha bosi Ewura - Kitaifa - mwananchi.co.tz