kama ni hivyo basi hakuwa na haja ya kumwambia mkewe kuwa anatafutwa kuuawa, angepiga kimya ili asimpanikishe mkewe. kitendo cha kumwambia na kuondoka ndo kimeleta picha ngumu zaidiMwanamke atakushauri vizuri sana kwenye mambo mengine lakini si maswala ya vitisho vya mauaji!! Sana sana atapanic na kuanza kulia lia hovyo na kuchanganyikiwa tu labda huyo mwanamke awe naye ni bedui kweli kweli ndo mana nakwambia kwenye maswala haya hakuna cha mwanamke msomi.
Muoe wanawake wasomi.....wanaupeo
You think so?si rahisi kama unavyofikiria.....
Mwanamke atakushauri vizuri sana kwenye mambo mengine lakini si maswala ya vitisho vya mauaji!! Sana sana atapanic na kuanza kulia lia hovyo na kuchanganyikiwa tu labda huyo mwanamke awe naye ni bedui kweli kweli ndo mana nakwambia kwenye maswala haya hakuna cha mwanamke msomi.
hata kama wangemuua basi kusingekuwa na maswali mengi toka kwa watu. wanasema kajiua na tai, wengine kauawa, which is which?Fixed Point, afadhali umetangulia kutoa hili dukuduku, wajua ni ngumu sana eti upo karibu na home sasa unaenda kulala hotelini, kwangu ni ngumu sana, napata shaka sana mahusiano yaliyokuwapo baina ya mume na mke....
wajua angekuwa nyumbani hata hao wauwaji wangepata shida sana kutekeleza suala lao, kwangu mimi kulala kwake kula kumenipa mashaka sana na kifo chake...
Upo sahihi kabisa mkuuMmmh! How? Sijaelewa hapa usomi na maelewano ndani ya ndoa yanahusiana vipi.....kuna watu wengine hawajasoma lkn wana uelewa na busara na kuna wasomi wa madesa...akili yao ya maisha ni ndogo kupita maelezo
ndo maana mimi nikasema ningemweka chini ya ulinzi watu hawaamini.Huyo mwanamke atajilaumu maisha yake yote coz hakutakiwa kumuacha mume wake peke yake,angekuwa mume wangu cdhan km ningemwacha peke yake hata dakika moja na ambavyo kashaniambia katishiwa kuuliwa wauwaji wangefurah
yaani maswali ni mengi rafiki!
inawezekana mume hakutaka kuwa na mtu....... sasa kama hakutaka kuwa na mtu kwa nini alionyesha wasiwasi na kulalamika?
yaani mimi kunionyesha wasiwasi tu ningemweka chini ya ulinzi.....
Labda wote walichanganyikiwa wakashauriana mwanaume akajifiche hotelini ili wakija home wasimkute, labda...wauaji walimuita wana maongezi nae!! Labda....labda...!!!
ndo maana mimi nikasema ningemweka chini ya ulinzi watu hawaamini.
yaani hata job ningempeleka na kwenda kumfwata. akiwa job najua yupo na watu wengine......
hapa ambacho ningehakikisha tu ni asiwe peke yake
si kweli mkuu. ..msomi atleast anakuwa na uelewa wa mambo yanavyoenda duniani..naongea hili with experience
siri ni nzito sana. lakini mke anasema alijua kuwa mumewe anataka kuuawa, yaani mume alimwambia mkewe.Mwenye ukweli kamili ndio huyo kaondoka, nimesoma mahali kajinyonga na tai, tai? mtu mzima? huyu nadhani alijiamini kwamba wangeweka mambo sawa na wabaya wake then mambo yakawa sivyo, kinachonishangaza ni kwamba alienda hoteli ya mtaani kwake,(kama nilielewa vizuri) kwanini asingeenda mbali au angeamua basi tu kulala kwake? haya mambo ya siri humu manyumbani kwetu yanaponza,inaonekana mume alitaka hii kitu iwe siri hata kwa mke wake, hakutaka kushirikisha yoyote, sasa kaenda kaacha watu njia panda.
nina uhakika kabisa angekufa, lakini nisingejiuliza kafaje, kajiua au kauawa?unaamini kwa kufanya hivvyo huyu baba angenusurika na mauti? hiki kitu kinaonekana kilipangwa kikapangika, kama walidhamiria hata angelindwaje wangetekeleza tu, hao polisi wenyewe ndio wale wale tu, labda ungefanikiwa kushuhudia kifo chake tu, huyu mtu inaelekea alikuwa na siri nzito sana ambayo ingeharibu/chafua watu sana.
si kweli mkuu. ..msomi atleast anakuwa na uelewa wa mambo yanavyoenda duniani..naongea hili with experience
Huyo mwanamke atajilaumu maisha yake yote coz hakutakiwa kumuacha mume wake peke yake,angekuwa mume wangu cdhan km ningemwacha peke yake hata dakika moja na ambavyo kashaniambia katishiwa kuuliwa wauwaji wangefurah
ukisoma ile habari inaonyesha mkewe alikuwa anajua kuwa mumewe anataka kuuawa..... ingawa inawezekana kabisa asijue sababu ya kuuawa, lakini alijua kuwa anatafutwa kuuawa.mimi mwenyew nimekuwa na maswali pia bila kuwa na majibu sahihi
ila nikawa na ile kauli ya kwamba ndoa/nyumba za watu kuna siri na ni vigumu sisi kujua
ndoa nyingi watu wana usiri wa kutoweka mambo bayana na pia kuna ile ya kutokuwa na mawasiliano mazuri
mwanamke ni msaidizi wake ina maana hajui siri za mumewe??hta kama hajui iweje mwache hotelin peke yake na kwenye kipindi kigum ambapo ndo anahitaj ulinzi na mtu wa kumfariji ...
je ina maana mkewe hakutambua hil???
hajajua mumewe anahitaji ulinzi hta kama sio wa polis bsi hta ndugu au yye mkewe alale nae pale hotelini
nimesoma gazet a mwananchi la leo naona utata tu kwa maana mwanamke hakujtoa kwa ajili ya kumlinda mumewe kwenye hiki kipindi