Hebu tupia neno hapa

Hebu tupia neno hapa

Mku nduki sijasema bana nimepita tuu hapo nikakosea kutype bana
Maana wakinisikia wenyewe itakuwa balaa kabisa

Kama ni typing error hapo sawa mkuu mi nikajua uliwakusudia kabisa asee,heh heh.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nduki hizo dharau sasa. Au na wewe ni mmoja wao ndo maana unajihami sana aise
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nduki hizo dharau sasa. Au na wewe ni mmoja wao ndo maana unajihami sana aise

Aaaaaah,wee mi najivunia na uref wangu mkuu mi ni super tall asee,heh heh.
 
Last edited by a moderator:
Urefu sio hoja mkuu unaweza kuwa mrefu na ukawa team bamia mkuu nduki

Ooooooh,tatizo yule kiumbe huwa hatuazimani tu ningekuomba uniazime halaf nimrudishe baada ya masaa kadhaa tu hata siku haifiki angekusimulia shughuli ya nduki hahahaaa.LOL.
 
Last edited by a moderator:
M nadhani kashika nguzo maana wenzeke wameshika kwa mikono yeye sasa sijui hakuna hizo kamba hapo juu
 
Ooooooh,tatizo yule kiumbe huwa hatuazimani tu ningekuomba uniazime halaf nimrudishe baada ya masaa kadhaa tu hata siku haifiki angekusimulia shughuli ya nduki hahahaaa.LOL.

Hahahahhaha haya mkuu nduki karibu kwenye team dushe aise hahahahaha team imara isiyo na longolongo.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahhaha haya mkuu nduki karibu kwenye team dushe aise hahahahaha team imara isiyo na longolongo.

Hahahaaaa ahsante sana mkuu kwa HESHMA NA TAADHIMA asee kumbe na wewe una mdushelele asee safiiiiiiii,2KO PA1.
 
Last edited by a moderator:
M nadhani kashika nguzo maana wenzeke wameshika kwa mikono yeye sasa sijui hakuna hizo kamba hapo juu


Kama inaweza kuwepo lakini isionekane kiongozi si unajua hisia za huko sehem asee, heh heh.
 
Hahahaaaa ahsante sana mkuu kwa HESHMA NA TAADHIMA asee kumbe na wewe una mdushelele asee safiiiiiiii,2KO PA1.

Ndo manake mkuu. Heshima mbele bana lazima iwepo. Pamoja sana mkuu nduki
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom