nduki sasa huyo jamaa hapo pembrni si angepewa nafasi hiyo ya kuegemewa kuliko mlimgoti ufaidi aiseHahahaa unadhani atakubali mkuu kuna kitu anaki-feel hapo,heh heh.
Mcharo kama mtamu mkuu kabanga
Asante Binam nimeipokea mwaya,LOL.
Sasa yake si ipo kwa ndani mkuu shem kaona isiwe tabu si unajua fimbo ya mbali...!.
Thanks a lot nam wa mie mwaya.
Usjali mwaya will check u inbox.