Polisi hawa hawa wewe unaamini wanachosema ?,hata panya road wao ni shida ndio useme ugaidi?Wengi wetu humu Tumeona, tunesikia na tumesoma tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uwezekano wa kutokea shambulio la ugaidi hapa nchini.
Tumesikia mwitikio wa jeshi la polisi kuhusu hatua wanazochukua dhidi ya tahadhari hiyo huku wakituhakikishia usalama na ulinzi. Lakini mimi nineona hapo kuna jambo la kutafakari kuhusu uwezo wetu katika usalama wa ndani ya nchi yetu sambamba na uhusiano wa dola na wananchi.
Iwapo taifa la nje linaweza kuchunguza na kupata uthibitisho wa kuwepo na tishio la usalama nchini na wakatoa tahadhari maana yake kuna kulegalega na kuzembea kwa vyombo vyetu vya ulinzi hususani espionage ya ndani ya nchi.
Serikali ya Tanzania imeeza kupitia viongozi waandamizi kuhusu uwekezaji mkubwa walioufanya katika kununua mitambo ya kudukua mawasiliano ya mitandaoni hususani ikiwalenga wahalifu wa mitandaoni. Hapo awali nilisema kuwa tambo za serikali zinathibitisha kuhusu kuingilia uhuru wa wananchi wake binafsi kwa sababu mifano ya waliochukuliwa hatua hata kufikishwa mahakamani ni wale waliotuhumiwa kutoa kauli ama maneno ya kuudhi dhidi ya watawala. Hatujawahi kuona ama kusikia wahalifu ambao wanafanikisha matukio ya kihalifu ama wanaotoa matishio ya usalama wetu wa ndani waking'amuliwa ama kuchukuliwa hatua.
Marekani kupitia taasisi zake za nje wamejijengea uwezo wa kuwez kupenya vihunzi vya usalama vya makundi ya kiuhalifu dhidi ya binadamu na wakaweza kutambua mipango yao na kwa nia njema kabisa wametoa tahadhari.
Watanzania wenzangu nyie ni mashahidi wa namna ambavyo serikali yetu chini ya mkoloni mweusi CCM inavyotushughulikia raia wake huku ikivunja katiba inayotoa uhuru wa maoni. Ushshidi wa hili ni namna ambavyo asilimia kubwa ya members wa JamiiForums tunatumia pen names au majina bandia ili kuficha utambulisho wetu kwa sababu ya kuhofia vyombo vya dola ambavyo vimekuwa vikitumia kodi zetu kutufanyia uhalifu badala ya kutimiza wajibu wake muhimu wa kikatiba na kisheria.
Wachache wetu tunafahamu kinachoendelea maeneo ya mpakani mwa Tanzania na Msumbiji pamoja na juhudi kubwa sa serikali kudhibiti utoaji wa taarifa kwa umma. Ndugu zetu wanauawa na magaidi ambao wamejikita kaskazini mwa Msumbiji. Wahalifu hao inasemekana ni wale magaidi waliofurushwa Kibiti na Rufiji hivyo wameamua kuweka base eneo ambalo wanaamini watajiimarisha na kurudi nchini kuleta tafrani.
Tishio la ugaidi kama lilivyotolewa na ubalozi wa Marekani ni wazi kwamba hatupo salama kwa
Sisi tumeona ila tunajifanya hatujaona,,huwezi kutatua tatzo kwa kujifanya hakuna tatzo,,,vyombo vya dola vinaona tatzo ila kwa kuwa wao wapo kisiasa wanaleta usiasa kwenye mambo serious.Ambacho sisi hatujakiona?
Jirani mtaa wa saba anatambua hatari ya nyumbani kwako ilihali mwenyenyumba upo bize na upedeshee?
Si haki
Juzi Marekani kauwa gaidi huko SomaliaAmbacho sisi hatujakiona?
Jirani mtaa wa saba anatambua hatari ya nyumbani kwako ilihali mwenyenyumba upo bize na upedeshee?
Si haki
Hakuna chochote Cha maaana kaona isipokuwa makomandoo wa Marekani wamemuua kiongozi wa IS hapo Somalia. Wanachofanya ni kujihami maana wanajua Islamic state Wana wafuasi sehemu nyingi na hapa ni karibu Sana na Somalia lolote linaweza kutokea.Kuna kitu Marekani kaona
US forces have killed an Islamic State leader, Bilal al-Sudani, and 10 of his operatives in northern Somalia, American officials say.Kuna kitu Marekani kaona
Mkuu....Muda mwingine hizo taarifa wanazipata kupitia taasisi hizo hizo ndani ya nchi husika....
Hivi unaona ni hali ya kawaida watalii kutoka Arabuni kuletwa na ndege ya mizigo?Wengi wetu humu Tumeona, tunesikia na tumesoma tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uwezekano wa kutokea shambulio la ugaidi hapa nchini.
View attachment 2497876
Tumesikia mwitikio wa jeshi la polisi kuhusu hatua wanazochukua dhidi ya tahadhari hiyo huku wakituhakikishia usalama na ulinzi. Lakini mimi nineona hapo kuna jambo la kutafakari kuhusu uwezo wetu katika usalama wa ndani ya nchi yetu sambamba na uhusiano wa dola na wananchi.
Iwapo taifa la nje linaweza kuchunguza na kupata uthibitisho wa kuwepo na tishio la usalama nchini na wakatoa tahadhari maana yake kuna kulegalega na kuzembea kwa vyombo vyetu vya ulinzi hususani espionage ya ndani ya nchi.
Serikali ya Tanzania imeeza kupitia viongozi waandamizi kuhusu uwekezaji mkubwa walioufanya katika kununua mitambo ya kudukua mawasiliano ya mitandaoni hususani ikiwalenga wahalifu wa mitandaoni. Hapo awali nilisema kuwa tambo za serikali zinathibitisha kuhusu kuingilia uhuru wa wananchi wake binafsi kwa sababu mifano ya waliochukuliwa hatua hata kufikishwa mahakamani ni wale waliotuhumiwa kutoa kauli ama maneno ya kuudhi dhidi ya watawala. Hatujawahi kuona ama kusikia wahalifu ambao wanafanikisha matukio ya kihalifu ama wanaotoa matishio ya usalama wetu wa ndani waking'amuliwa ama kuchukuliwa hatua.
Marekani kupitia taasisi zake za nje wamejijengea uwezo wa kuwez kupenya vihunzi vya usalama vya makundi ya kiuhalifu dhidi ya binadamu na wakaweza kutambua mipango yao na kwa nia njema kabisa wametoa tahadhari.
Watanzania wenzangu nyie ni mashahidi wa namna ambavyo serikali yetu chini ya mkoloni mweusi CCM inavyotushughulikia raia wake huku ikivunja katiba inayotoa uhuru wa maoni. Ushshidi wa hili ni namna ambavyo asilimia kubwa ya members wa JamiiForums tunatumia pen names au majina bandia ili kuficha utambulisho wetu kwa sababu ya kuhofia vyombo vya dola ambavyo vimekuwa vikitumia kodi zetu kutufanyia uhalifu badala ya kutimiza wajibu wake muhimu wa kikatiba na kisheria.
Wachache wetu tunafahamu kinachoendelea maeneo ya mpakani mwa Tanzania na Msumbiji pamoja na juhudi kubwa sa serikali kudhibiti utoaji wa taarifa kwa umma. Ndugu zetu wanauawa na magaidi ambao wamejikita kaskazini mwa Msumbiji. Wahalifu hao inasemekana ni wale magaidi waliofurushwa Kibiti na Rufiji hivyo wameamua kuweka base eneo ambalo wanaamini watajiimarisha na kurudi nchini kuleta tafrani.
Tishio la ugaidi kama lilivyotolewa na ubalozi wa Marekani ni wazi kwamba hatupo salama kwa sababu taarifa ya awali ilipaswa kutolewa na vyombo vyetu na kuchukua tahadhari zote.
Tunahitaji kuona vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikitimiza wajibu wao muhimu kisheria na kikatiba kwa kutuhakikishia usalama wetu wa ndani kwa sababu uwepo wao ni muhimu kwetu na si kwa viongozi pekee.
Tufike mahala tuangalie kwa uwiano bajeti ya ulinzi wa viongozi na bajeti ya ulinzi wa umma ili kutenda yatupasayo na si kuelemea eneo moja pekee huku nchi ikiwa ktk hekaheka na matishio ya usalama
TUSIJEKUPUUZA HILI TISHIO..
Somalia ni divided state ambapo mpaka sasa bado hawajaweza kusimama kama Taifa moja.Juzi Marekani kauwa gaidi huko Somalia
Usikute mizigo waliyokuja nayo haikupaswa kupitia security check ndo maana ikaenda kuwashushia mbugani.Hivi unaona ni hali ya kawaida watalii kutoka Arabuni kuletwa na ndege ya mizigo?
Wakati Ubalozi wa US unalipuliwa pale Selender bridge ulikuwa umeshazaliwa?Somalia ni divided state ambapo mpaka sasa bado hawajaweza kusimama kama Taifa moja.
Hali ya Tanzania ni amani hakuna guerilla wala civil chaos na serikali imerelax ambapo imewekeza kuchunguza wanachowaza wananchi dhidi ya viongozi
Kuna dhania 2:-Kuna kitu Marekani kaona
Bakwata tena?Kuna dhania 2:-
1. Marekani anajua kuwa mtandao wa ugaidi unaofungamana na Al Sudani aliyeuawa Somalia uko hadi pande hizi. Hivyo anatahadharisha akimaanisha wafuasi wake wanaweza kupanga kulipa kisasi
baada ya mauaji hayo.
2. Uhakiki wa mali za bakwata. Mosi, zoezi haliwafurahisha wanaohodhi mali hizo. Pili, bakwata inajitenga na project zinazotumia mgongo wa dini kufadhili ugaidi. Hili nalo hawatalipenda. Hapa ndo inakuja hofu kuwa hata misikiti haiko salaam.