hebu tujikumbushe enzi za primary na secondary!

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
za asububi wana chit chat,
hebu tujikumbushe enzi za shule ya msingi na sekondari. kuna waliokuwa
- head boy / girl
- monitor / montress
- bibi/bwana afya
- dom leader
- wanariadha
- wapiga ngoma/filimbi
- wacheza ngoma za utamaduni
- wacheza sarakasi
- waimba kwaya
- wacheza mpira (netball / football)
na michezo mingine mingi. je we ulikuwa nani?
 
Nilikuwa mtaalam wa kuchungulia chup.i za mabinti kwa kuweka kioo chini wakati tumesimama mstarini. Ole wako ukiwa umevaa iliyotoboka, darasa zima wangejua.
 
nilikua kijana maalumu wa kupanga vitabu ofisini kwa mwalim mkuu...(mwl mkuu alikua ni mmama mmoja wa ukweli)
 
Asprin,
ningeshangaa kama ungekua na cheo kingine cha maana!
Ni katika harakati za kujua vivazi vya kinadada.....

attachment.php
 
Me sikubahatika kusoma hapa nchini since my parents walikuwa wanafanya kazi abroad. So darasani kila mtu na lwake na mwanzoni nilikuwa notorious kwani shule nzima me ndo peke yangu black na watoto wakawa wananishangaa nawapiga. Later walinizoea. Ova.
 
Nilikua najua kuchora halafu nina mwandiko mzuri,basi siku za graduation nilikya nawekwa kamati ya mapambo...kazi yangu kubwa ilikua kuandika ubaoni maneno "STD 7 Graduation" kwa chaki za rangi rangi,full kuning'iniza matoilet paper kwenye meza ya high table...
miss em memories Changa Primary...Tanga mjini hiyo,wapi Mr.Msangi, Mr Msonde, Mr Cisco(R.I.P)
 
Primary nilikua kiongozi wa kundi maalum lililokua linajihusisha na kuhakikisha mapochopocho yote watoto wa kihindi walokua wanakuja nayo tunayala wote,
 
hahahaa, pole ulikosa sana uhondo!!!!!
 
Me nilikuwa Dom Leader,
halafu na Timekeeper.
Siku walimu wakinizingua naficha chuma la Kengele,afu nawaambia limeibiwa.
Kipindi cha Math tulikuwa na Ticha Mzungu,
basi alikuwa hajui dakika za vipindi,
akijichanganya tu,tunamgongea kengele dk ya 10 afu tunamwambia Sepa kipindi chako kimeisha.
Basi Maskini kwa unyonge huyooo anaondoka.
Basi zile Dk 30 zilizobaki ni full Kelele mpaka tunalambwa bakora.
BOARDING SCHOOL RAHA SANA
 
Nilikuwa mtaalam wa kuchungulia chup.i za mabinti kwa kuweka kioo chini wakati tumesimama mstarini. Ole wako ukiwa umevaa iliyotoboka, darasa zima wangejua.
hubby u have made my day, lolest! na vichupi vya primary wala si vizuri kivileeeeee, basi ulikuwa unaenjoyje sasa??
 
Nilikua najua kuchora halafu nina mwandiko mzuri,basi siku za graduation nilikya nawekwa kamati ya mapambo...kazi yangu kubwa ilikua kuandika ubaoni maneno "STD 7 Graduation" kwa chaki za rangi rangi,full kuning'iniza matoilet paper kwenye meza ya high table...
miss em memories Changa Primary...Tanga mjini hiyo,wapi Mr.Msangi, Mr Msonde, Mr Cisco(R.I.P)

duh, babangu ndo maana hata wale wajukuu zako wanajua sana kuchora kumbe babu yao ulikuwa mkali eeh? hongera sana dad. . .
 
Nilikuwa mtaalam wa kuchungulia chup.i za mabinti kwa kuweka kioo chini wakati tumesimama mstarini. Ole wako ukiwa umevaa iliyotoboka, darasa zima wangejua.

Una bahati , ungesoma shule za kule Masakta, Dareda kwa Wahadzdabe mabinti wanatinga skuli baada ya sketi na blauzi wamemaliza, vyupi hawavaagi ! So ungekuja stukia kioo kimeenda NASA !
 
Primary nilikua kiongozi wa kundi maalum lililokua linajihusisha na kuhakikisha mapochopocho yote watoto wa kihindi walokua wanakuja nayo tunayala wote,

dah, sipati picha ulivokuwa bonge kwa kula vyakula vya watoto wa kihindi. . .
 
Madame B nimecheka kidogo nipaliwe! jamani kama namwona vile akiondoka kwa unyongeeee!
 
Last edited by a moderator:
Madame B nimecheka kidogo nipaliwe! jamani kama namwona vile akiondoka kwa unyongeeee!

Acha tu mwanawane,
Afu unakumbuka mchakamchaka ule wa Alfajiri ya saa 10 na nusu?

Sasa Usiombe siku kupikwe nyama,
mpaka wagonjwa wenye bed rest wanakuja Dinning Room.
Afu sasa Pata picha Hyo nyama iliwe usiku,
M-babe tu ndio unatia mkono kwenye Dish,kama wewe mayaimayai unalala na njaa siku hyo.
 
Last edited by a moderator:
hubby u have made my day, lolest! na vichupi vya primary wala si vizuri kivileeeeee, basi ulikuwa unaenjoyje sasa??
Ni tofauti na vyupi vya sasa. Vya zamani ulikuwa unavivua ndo uone tak.o lakini vya sasa unapanua tak.o ndo unaona chup.i. LOLEST!!
 
Back
Top Bottom