Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,409
- 39,467
Habarini Wakuu,
Ukiacha Bahari tu, Nimeamini Kaskazini kuna kiiila kizuri, Mungu aliipa baraka zote hizi:-
1) KWANZA, HALI NZURI SANA YA HEWA.
Kaskazini ipo ukanda wa kitropic na mara nyingi joto linacheza kwenye 26-28 °C.
Yaani ukiondoa tu huko tambarare (savana sides) pakame ila huko pia kuna utajiri wa chuma (Engaruka) na madini (Tanzanite)
◆ ARDHI YENYE UDONGO WA RUTUBA.
- Ni maajabu ukiwa kaskazini unaweza kulima karibu kila kitu, kuanzia na
-Kahawa -Kilimanjaro, Burka Estates Arusha etc.
-Mahindi, Maharage, Ngano, Mpunga, Migomba,Mboga za aina zote, Mihogo, hadi Miti ya Mbao.
- Uoto wa Asili - kuna uoto wa asili kwa sehemu kubwa ya Kilimanjaro, hata Upareni mpaka Ngorongoro huko.
- Milima mikubwa ya Volcano ( Mt. Kilimanjaro na Mt. Meru )
NOTE:
-Tanzania nzima hakuna mlima mkubwa kuliko Meru
-Africa nzima hakuna mlima mkubwa kama Kilimanjaro
NB: Milima yote hii ina barafu na inateremsha maji mengi sana tunayokunywa, Na pia ni vivutio kwa Watalii.
◆ MBUGA ZA WANYAMA (NATIONAL PARKS)
- Arusha National Park
-Kilimanjaro National Park
-Tarangire National Park
-Ngorongoro Conservation Area
Bado some Zoo kama Meserani Snake park.
Hizo ni mbuga maarufu sana zinazotoa ajira kwa wanakaskazini wengi na watu wa kanda zingine.
◆ MAZIWA YENYE SAMAKI (REGIONAL LAKES)
-Ziwa Babati
-Ziwa Eyasi
-Ziwa Duluti
-Nyumba ya Mungu
-Ziwa Natron
NB: Hayo maziwa yote yana samaki na bado kuna samaki wanaotoka Kilimanjaro
Hatahivyo, Nyumba ya Mungu inazalisha pia Umeme.
◆ UWEPO WA MADINI (TANZANITE)
Mungu ameibariki kaskazini kwa kuipatia Madini ya kipekee yasiyokuwepo popote duniani zaidi ya Mererani pekee.
◆ UWEPO WA MITO ITIRIRISHAYO MAJI:
Katika ujenzi wa barabara kuu ya Afrika Mashariki utagundua kuwa kuna daraja kiiila baada ya mita chache. Ile ni kutokana na mito yenye maji kutokea milimani na vilimani mwa Arusha.
-Mto Themi
-Mto Naura
-Mto Ngarenaro n.k
◆ UWEPO WA ARDHI YENYE VYUMA
- Engaruka & Ugweno kuna rasilimali chuma tangu enzi na enzi.
◆ UWEPO WA SHULE NYINGI NZURI NA NYUMBA ZA IBADA
-Hapa nikitaja sintazimaliza kwakuwa ukiacha Ilboru High School iliyotoa Prominent leaders wengi pia kuna akina Precious Blood na shule nyiiingi za privates na hata
-English Mediums na International Schools.
-Pia kuna Makanisa na Misikiti mikubwa yenye hadhi za kimataifa.
◆ HOTELI KUBWA ZA KITALII
-Arusha ina hotels kubwa kabisa zenye hadhi ya nyota sita (6 *) na zenye parking ya kutosha.
◆ HOSPITALI KUBWA NA NZURI
- KCMC
-Aga Khan
-ALMC Selian etc.
◆ WASANII WAKUBWA
Muziki wa HipHop umelala Arusha.
Kuna wasanii Nguli wa Teams zinazoeleweka kama
-Watengwa- Kijenge juu
-Nako 2 Nako - Kaloleni
-Weusi - Sinoni, Daraja mbili
◆ UTAMADUNI WENYE NGUVU SANA
Wenzetu Wamasai wa Kaskazini wana Utamaduni unaotambulika sio tu Tanzania ila Africa nzima, hasa wa Mavazi, Shanga na aina yao ya dancing
Pia vyakula vya asili:
-Loshoro (Waarusha na Wameru)
-Kiburu + Machalari (Wachagga)
◆ MAENEO YA MICHEZO (PLAY GROUNDS)
- Sheikh Amri Abeid Stadium ndio football pitch kubwa Arusha. ILA pia kuna sehemu nyingi za kuplay Basketball,Netball, Volleyvall etc.
Mfano:
-Gymkhana Clubs
-Soweto n.k
-Modern side
- Pia kwa Arusha na Kilimanjaro kuna mpaka eneo lililotengwa kwa ajili ya
Ralling & Horse Riding
Ni nini Tunakosa zaidi ya Bahari tu?
* Yaani kuzaliwa tu Mt. Meru, KCMC, Selian au Mawenzi tayari umezaliwa kwenye ardhi iliyobarikiwa.
Nzalendo hebu tupia pichaz....!
■ KWA HAYO, KWANINI NISIISIFIE KASKAZINI?
God Bless Northerners.