Jayspeed
Senior Member
- Feb 23, 2014
- 156
- 168
Ulishawah kujiuliza kwanini kila ukiweka malengo ya kutimiza mwaka huu yanafeli??
Kila ifikapo mwisho wa mwaka unajikuta upo pale pale unarudi?
Je vitu gani vinakufanya usitimize malengo yako?
Unadhani nini unatakiwa ufanye uweze kutimiza walau hata nusu ya malengo yako ya mwaka?
By Jay Speed