Hebu tuangalie ubora wa samsung galaxy A72 dhidi ya Iphone 11

Sio fair kabia kulinga isha iphone na Samsung. inabidi uiombe Apple msamaha.
Simu yeyote inayotumia android ni takataka
nunua iphone 11 kama unataka simu bora, ila kama alimradi mawasiliano, uweke line 2 kwenye simu moja nunua Samsung.
We jamaa ndo mmekuona fala yani unalinganisha simu inayofurahia ultra wide camera miaka miwili mbele baada ya android kucheza nayo kitambooo
Mnaotumia iphone nawaona kama mnaotumia glorified shit
Its glorified ...but its still shit
 
Wewe ndio fala na android yako. Mimi natumia Android na siipendi kabisa
 
Back
Top Bottom