Hebu tuangalie ubora wa samsung galaxy A72 dhidi ya Iphone 11

Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nataka kununua simu moja wapo kati ya Samsung galaxy a72 na Iphone 11 so nahitaji mnipe ushauri kati ya hizo mbili nichukuwe ipi ambayo itakuwa ni bora kuliko nyingine?

Nakaribisha maoni yenu wadau.

Mkuu, nakushauri achana na hizo iphone zina masharti sana.. ..baadhi ya vitu lazima ununue, ni tofauti na samsang everything is free.. ..

Nakushauri nunua simu yoyote lakini iwe kampuni ya samsung, tena kanunulie SAMSUNG SHOP.. ..hutajutia!
 
Sio fair kabia kulinga isha iphone na Samsung. inabidi uiombe Apple msamaha.
Simu yeyote inayotumia android ni takataka
nunua iphone 11 kama unataka simu bora, ila kama alimradi mawasiliano, uweke line 2 kwenye simu moja nunua Samsung.

Duhh! Unazijua samsung wewe! Au unazisikia tu!

Angalia katika mauzo kampuni ipi inaongoza kwa mauzo duniani halafu ulete mrejesho.. ..

Heri ninunue
HUAWEI
OPPO
HTC
SONY, lakini isiwe iphone.
 
Mkuu, nakushauri achana na hizo iphone zina masharti sana.. ..baadhi ya vitu lazima ununue, ni tofauti na samsang everything is free.. ..

Nakushauri nunua simu yoyote lakini iwe kampuni ya samsung, tena kanunulie SAMSUNG SHOP.. ..hutajutia!
Wewe nae kumbe vile vile tu. Hujui simu.
 
Hata iPhones kuna zenye duo sim card..so relax.

Unaongea vitu kama mtoto vile..

Kwahiyo iPhone SE vs Samsung galaxy S20 mshindi ni iPhone kisa tu ni Apple?.
Naitaka hiyo ili niondokane na hizi takataka za android
 
Duhh! Unazijua samsung wewe! Au unazisikia tu!

Angalia katika mauzo kampuni ipi inaongoza kwa mauzo duniani halafu ulete mrejesho.. ..

Heri ninunue
HUAWEI
OPPO
HTC
SONY, lakini isiwe iphone.
zipo cheap na wingi wa mauzo sio ubora wa bidha
ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
Android ni os mbovu sana,. not secured, not stable, no privacy, apps za bure lakini matangazo hadi zinakera
 
hata android ukinunua app hutakutana na shida ya matangazo, anaeleta matangazo ni developer.

na samsung sasa hivi ana knox ambayo ni well regarded kwenye suala zima la security na privacy, nunua simu, usiroot wala kuimodify, tumia secure folder kwenye mambo yako ya siri, utapata security kubwa tu.

walmart juzi juzi hapa wamewapa samsung tender ya wafanyakazi wao wote, hii xcover ina specs ndogo na bei kubwa kushinda SE lakini wameichagua sababu ya knox
 
zipo cheap na wingi wa mauzo sio ubora wa bidha
ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
Android ni os mbovu sana,. not secured, not stable, no privacy, apps za bure lakini matangazo hadi zinakera
Tulia wewe hujui simu.
Eti not secured. Upo mwaka 2010 na Tecno au?
Recent reports zinaonesha Android sikuhizi ni more secure than iOS. Imefika point kwamba hadi firm zinazodeal na kutafuta exploits wakaanza kukataa zero-day exploits za iOS mwaka jana sababu ni nyingi mno.
Ukiingia Zerodium, OS yenye bounty kubwa kuliko zote ni Android sshv kwa FCP (Full chain with persistence) exploits ambayo wana offer hadi 2.5M USD kwa atakaye pata exploits za aina hyo.
Soma hapo: No, Your iPhone Is Not More Secure Than Android, Warns Cyber Billionaire

Kwa maswala ya ads kwenye apps hyo ni developer tu. Ukikuta hyo app ina ads kwenye Android, kma ipo iOS basi utakuta ads hzo hzo tu. Kma unataka vitu vizuri lipia. Principle ni hyo hyo kwa OS zote.

Hyo perceived privacy wanayokupa Apple kwa kujifanya wao wanajali sana privacy ya users wao wakati wanaoffer bei nzuri kwa clients kutumia ad platform ukilinganisha na competition ili kuzuia competing ad platforms kwenye OS yao. Kawaulize kwanni wana track location yako kwenye server zao hata kama ukizima location permissions, kawaulize kwanini wanascan app zako za kwenye simu na computer yako na ku store record zake hata kama huja install hzo app kupitia Appstore yao, kawaulize kwanini internet traffic zao zina bypass VPN yako lakini wanakataza wengine kubypass kma wao, kawaulize kwanini wanatumia simu yako kma broadcast point kwenye Find My na hawakupi option ya kukataa simu yako kutumika hvo?

Big corporation zote zinakusanya data, hakuna aisye kusanya data. Tofaut ni kwamba Google anakusanya data kukupa free services na Apple anakusanya data kuimprove paid services zao.

Kma kweli unataka privacy na sio privacy za kuzuga chukua compatibe Android phone ukaiweke Graphene OS na utumie Linux tu. Uachane na Google, MS, Apple services, etc kabisa na utumie open source alternatives zinazojali privacy yako kweli.
 
Wamepofushwa na Iphonev 🤣🤣 yani anamshauri anunue iphone!!!!!!!! Iphone!!!! Hii ndio tz
 
Oyaaaa
 
Back
Top Bottom