Hebu tuangalie ubora wa samsung galaxy A72 dhidi ya Iphone 11

Hebu tuangalie ubora wa samsung galaxy A72 dhidi ya Iphone 11

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,639
Reaction score
2,086
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nataka kununua simu moja wapo kati ya Samsung galaxy a72 na Iphone 11 so nahitaji mnipe ushauri kati ya hizo mbili nichukuwe ipi ambayo itakuwa ni bora kuliko nyingine?

Nakaribisha maoni yenu wadau.
 
Chukua Galaxy a72.. kama ni mwanaume kama ni mwanamke Chukua iphone 11 pro
 
Bado hujamshauri kitaalamu achukue ipi Kati ya hizo na kwasababu gani…

CC Chief-Mkwawa
chukua A72 ni simu ambayo inakaa na chaji zaidi.
itapokea update zaidi ya miaka 2 ijayo pia,kioo kipana zaidi na bora pia.

japo ni midrange lakini inagusa sehemu kubwa ya tabaka la juu.
 
Back
Top Bottom