Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Oooh Jamani Kasie.
Mi nikajua yamekulowesha my dear.
Mi pia nilishalewa na maneno yako hapa nina hang over tu na hakuna supu ya kuiondoa hii hang over mwaya.
Sjui ntafanyaje jmn. Lol.
Hahahahaaa KIOO acha fujoo banaa, ujue watu wanatusoma hehehehehe
Wasije wakatuundia kamati buree hukoo kwenye magrupu yao.
Haya maneno yako yamenifanya niukumbuke huu wimbo wa Rehema Chalamila.
Nikiikuupa kuupa kuupa kuupa kuupa utaleewa leewa leewa leewa nikiikuunyiimaa huuruumaaa....
Nimejaribu kuutafuta video yake sijaipata.
Usijali mie ndo mtaalam wa kutoa hangover.
How was your day?