Njia nyingine ilikuwa inatumika ni kunyunyizia chumvi kiasi, hayaruki tena.. hata sijui Sayansi hii ilianzia wapiUmenikumbusha aisee.
Ni kweli kabisa walikuwa wanafunga kwa juu huko right...?
Kweli mkuuHahahah.
Wazee wetu walikuwa wanajua mambo mengi sana mkuu.
Ila siku zinazidi kwenda mambo mengi yanapotea aisee.
Aaaaah jamani Kasie.
Kumbuka walau kidogo bhana. Uzuri wa wewe maisha yote yote umekulia my dear. Nice.
Hahahahaaa sizikumbuki aiseeh....
Ila umenikumbusha huu wimbo..... napenda nipate japo nafasii.... niweze kusema nawe kidogoo.... moyoni naumia eeehh...
Daah enzi hizoooh. .... aah Kasie.
Moyoni naumia eeehh.....
Hapana sio huo....Sio ile ukuti ukuti wa nazi kweli??
Wee Kasie wewe...!
Hizi tenzi jamani mbona zimenigusa moyo na roho kwa pamoja mamiii. Umenifanya nizisome zaidi ya mara 3 my dear mpaka nikajikuta naimba mwenyewe jmn. Lol.
Umenipa hamu ya ashki ya kutaka kuuskiliza huo wimbo my dear. Kuna sehemu nafkiri anasema...
Hakika la kufanya bado sijaliona...,
Nimeona bora nikuimbe eeh...,
Huenda labda roho yako ikadunda...,
Ukaja siku ukanipoza roho Ooh mama aah...,
Mwenzio naumiaaaa. Aaah, Kasie weee.
Asubuhi yangu leo imeanza vizuri kabisa kwa kupata tenzi mororo tenzi za rohoni na tenzi mutual kabisa mwaya. Thanks.
Kweli wee ni dhahabu jmn. Old Is Gold mwaya.
So Lovely Dear.
Hahahahaaa KIOO nimefurahi kukupa asubuhi njema. Basi burudani na mashahiri ndo vionjo vya maisha hivyo.
Mie napenda sana mziki na kuimba, naweza kuwa naongea na mtu au nasoma kitu halafu kichwani unakuja wimbo..... basi ndo kama ilivo tokea kwako. Nikasema si mbaya niuweke huo wimbo kabisa.
Basi nakutakia siku njema yenye afya na furaha tele.
Thanks for the compliments best, so lovely. Nimebaki na tabasamu lainiiii hehehehehehe.
Kasie Matata.
Tolaga mbula doleme 0'bhocheleee (Jiwe tribe) 😀😀😀😀😀Kuna nyimbo tulikuwa tunaimba wakati tunatwanga mahindi kwenye kinu..... sizikumbuki....
Wakusung'ha sengiye mlogi(mlozi) hebu sahihi haraka kabla wenye lugha yao hawajasema nimewatukana [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna nyimbo tulikuwa tunaimba wakati tunatwanga mahindi kwenye kinu..... sizikumbuki....
Jamani wee Kasie kweli matata my dear. So nice n lovely mwaya. Thanks.
Have a lovely day my.
Mmmwwwaaah.
Thanks My Loveliest One.
Lovely.
Dooh, ujue maneno yako yana nilewesha ivyooo... hapa nilipo nayumba tuu hata sijielewi....
You are welcomed dear.