Hebu Tia Neno Hapa...!

Hebu Tia Neno Hapa...!

Oooh Jamani Kasie.

Mi nikajua yamekulowesha my dear.

Mi pia nilishalewa na maneno yako hapa nina hang over tu na hakuna supu ya kuiondoa hii hang over mwaya.

Sjui ntafanyaje jmn. Lol.

Hahahahaaa KIOO acha fujoo banaa, ujue watu wanatusoma hehehehehe

Wasije wakatuundia kamati buree hukoo kwenye magrupu yao.

Haya maneno yako yamenifanya niukumbuke huu wimbo wa Rehema Chalamila.

Nikiikuupa kuupa kuupa kuupa kuupa utaleewa leewa leewa leewa nikiikuunyiimaa huuruumaaa....

Nimejaribu kuutafuta video yake sijaipata.

Usijali mie ndo mtaalam wa kutoa hangover.

How was your day?
 
Hahahah. Nna fujo coz sijapata wa kunituliza my loveliest. Wakitusoma inabidi wamalize page zote jamani wasisome cover tu my dearest one.

Wakiunda kamati wee ndio utakuwa Mwenyekiti kwa hiyo ni wewe pekee ndio mwenye maamuzi ya mwisho mwaya.

Nikilewa najua ntabaki na hang over, nikibaki na hang over sina wasi coz wee ndio soup yangu utaikata hang over yote my. Kwa hiyo hata nikilewa chakariiiiii najua niko kwenye mikono salama my sexylove.

Hata niskilize nyimbo zote hazitafkia utam wa wimbo utakaouimba kwa sauti kama unalia. Napenda kuiskia ile sauti coz ni tamu zaidi ya wimbo my loveliest one.

Woooooow.

Nakuthubiri soup yangu niionje chumvi kama upo sawa then nikukunywe na kukukula mpaka mifupa niitafune.

How was your day?

My day was great. I thank GOD my dear.

Lovely.
 
Kuna mtu kanijia PM kaniambia nikae mbali na KIOO ati wewe ni mahabat wake yaani my lovely wake.

Sijamjibu ila nimeogopa kumwagiwa maji ya moto, nimekaa mbali.

Basi nimekuwa mpole kama niringanya ila maneno yako looh yanahorojesha..... hehehehehehee..

Kasie Mahaba.
 
Mmmmmmh Baby...!!!

Nani huyo jamani aliyeunda kamati wakati wee ndio Mwenyekiti wa Kamati Kuu jmn.

Hebu njoo uninong'oneze huku uniambie huyo anayejiita pacha ake Kasie ni nani my.

Wala usikae mbali my dear coz hakuna wa kukuweka mbali mwaya.

Nahitaji soup nionje chumvi coz ushanilewesha hapa nna hang over vibaya mno my sexylove.

So Lovely. Mwaaah.
 
Toobaaah. ...

Yaalaaaaahh. ...

............nimejikuta naimba nataka paja eehh hakinitoshi kipapatio. ...

Mabusu hayo yanahusuu. ..

Asante kunihakikishia usalama wangu.
 
A high GPA looks good on paper, but networking and building friendships is what gets you a job.
 
Toobaaah. ...

Yaalaaaaahh. ...

............nimejikuta naimba nataka paja eehh hakinitoshi kipapatio. ...

Mabusu hayo yanahusuu. ..

Asante kunihakikishia usalama wangu.

Hahahah.

Nna booooonge la paja my dear. Hapa linasubiri kuliwa tu limeshaiva tayari. Na chachandu zote zimetiwa my loveliest one.

Lovely.
 
Ni kweli aisee enzi hizo mashine za kusagia huzioni hovyo.

Ikiwepo sehemu kusaga kwenyewe ina muda maalum mpange foleni mpaka mjae.

Tofauti na sasa hivi mkuu. Acha tu.
Duh nimekumbuka mbali Sana, dizaini mkifika tu bush siku ya pili tu mzigo kichwani kuelekea mashine kama kilometa 20 hivi(Mufindi hiyo) Mtwango-kibao
Mnatoka saa 12 asubuhi kurudi saa 12 jioni
Mungu ni mwema tumetoka mbali sana
 
Ulikiwa unaweka na 'machejo' ya kuachia mikono mara kizungusha mchi kwenye kinu kwa nje!?

Sanaa ilioje!

Ni sanaa haswaa....

Tukiwa watatu au wanted kwwnye kinu kimoja inafika mahali hadi midadi inapanda. Huyu mchi uko juu huyu unashuka huyu ndo unainuka huyu ndo unaingia yaani unasikia tuu sauti za mahindi chyaa chyaa chyaa halafu hata hayamwagiki.

Kuachia mchi na kupiga makofi na unaurudia2mchi na kuushusha kwenye kinu. Unga unakamilika tunaingia jikoni kusonga ugali na nswalu.

Ilikuwa raha sana.
 
Hahahah.

Nna booooonge la paja my dear. Hapa linasubiri kuliwa tu limeshaiva tayari. Na chachandu zote zimetiwa my loveliest one.

Lovely.

Umenipa hamu ya kula Muhogo wa motoo wa kuchoma wenye chachandu kibao....

Utamu kunoga.
 
Duh nimekumbuka mbali Sana, dizaini mkifika tu bush siku ya pili tu mzigo kichwani kuelekea mashine kama kilometa 20 hivi(Mufindi hiyo) Mtwango-kibao
Mnatoka saa 12 asubuhi kurudi saa 12 jioni
Mungu ni mwema tumetoka mbali sana

Acha tu mkuu.

Maisha yamebadilika sana mtu wangu.
 
tapatalk_1516783348261.jpeg

Umenipa hamu ya kula Muhogo wa motoo wa kuchoma wenye chachandu kibao....

Utamu kunoga.

Woooooow.

Tayari nimeuandaa hapa kwa ajili yako my dear. Mi nna hamu ya kuonja chumvi tu my loveliest one.
 
Ni sanaa haswaa....

Tukiwa watatu au wanted kwwnye kinu kimoja inafika mahali hadi midadi inapanda. Huyu mchi uko juu huyu unashuka huyu ndo unainuka huyu ndo unaingia yaani unasikia tuu sauti za mahindi chyaa chyaa chyaa halafu hata hayamwagiki.

Kuachia mchi na kupiga makofi na unaurudia2mchi na kuushusha kwenye kinu. Unga unakamilika tunaingia jikoni kusonga ugali na nswalu.

Ilikuwa raha sana.

Unaposema mchi unaingia unatoka unanipeleka mbali jmn. Acha tu mwaya.
 
Back
Top Bottom