Hebu soma notice board kuna tangazo muhimu.

Hebu soma notice board kuna tangazo muhimu.

Sikujua linaandikwa hivi ila nilishaambiwa kuwa asante wanasema SHIE SHIE....... Tack så mycket.

hahah ni kweli linatamkwa kama ulivyotamka na kuandikwa kama nilivyoandika...
Hiyo mijengo huitwa "Hanzi" na maandishi ya maneno huitwa "pinyin"
unfortunately kuna vialama vya mkato huwepo juu ya irabu "e" simu ninayotumia haina hiyo mikato
 
Mahali kisopokuwa na utaratibu kila kitu kinaruhusiwa

Halafu sasa ukitaka kujua Watz/waafrika ni watu waajabu na tuna matataizo hayo maandishi yangeandikwa kiswahili kitupu wangekuja watu kulalamika kwa nini hawaweki na kiingereza ili wageni waelewe, sasa wameandika kichina tunaona ni sawa tu tena watu wanacheka na kutania kana kwamba hilo jambo linachekesha sana! hapo ndipo ninapoamini kila siku kuwa adui yetu sio CCM bali ni sisi wenyewe!

kama huwezi kusoma tazama picha piga kimya
 
wewe haujapinda, umepinduka ujue! Kha.

kwa nini rafiki...hiyo ndio tafsiri yake, hawa watu wamefanikiwa kutafsiri kila kitu ulimwenguni kwa kuwa tu lugha yao huwezi itofautisha na muziki....inazile panda shuka, unakiita kitu kulingana na kilivyo au kinavyotamkika katika lugha nyingine
 
是的,他们是 sifahamu kichina lakini ni rahisi kutafsiri hako kasentensi kanakosema kichina ni rahisi, kiingereza....

hahahah, hiyo imeandikwa "shi de?, tameni shi...." haijamaliziwa kuna kitu kama msemaji alihamaki, halafu akawa anaendelea kuelezea kuwa " wao ni....."
 
Kijana kumbe umewashawafaidi Wachina wewe, tetetetee JOCKING.

Naona Kichina kinapanda. Nime-google kuangalia kama unasema kweli na imeonyesha uko sawa.

Safi sana kujua Kuna Wabongo wanachanganya lugha kama hawana akili nzuri vile 🙂 Hadi nakuonea WIFU 🙂

Naye ali GOOGLE vilevile
 
有限公司 company limited
morogoro
公路 - highway
项目 - project
工程 - engineering
简介 - summary

tafsiri yake ni morogoro highway project engineering summary

nb: Kuna wengine dadavuzi zenu zinaweza kutokuonesha hiyo mijengo ya kichina

upo sahihi mkuu,ndio tafsiri yake hiyo,lakini kikawaida huwa zinatakiwa kutumika lugha zaidi ya 2 ili kufikisha ujumbe kwa wahusika,hiyo ni dharau kwa watanzania na engineer anayesimamia ujenzi huo labda hajui sheria inavyosema.labda huo ubao uwe ni wachina wenyewe.lakini kama ni wa jumuia si sahihi kutumika kwa lugha moja tena ya kigeni.
 
binafsi nahisi ni kwa ajili ya Wachina wenyewe, maana ukijaribu kuchunguza hata hivyo vipeperushi lugha inayoonekana ni Kichina tu...
 
upo sahihi mkuu,ndio tafsiri yake hiyo,lakini kikawaida huwa zinatakiwa kutumika lugha zaidi ya 2 ili kufikisha ujumbe kwa wahusika,hiyo ni dharau kwa watanzania na engineer anayesimamia ujenzi huo labda hajui sheria inavyosema.labda huo ubao uwe ni wachina wenyewe.lakini kama ni wa jumuia si sahihi kutumika kwa lugha moja tena ya kigeni.

Labda wameshagundua kuwa wa TZ ni wavivu kusoma sasa hawaku bother ku translate!
 
Back
Top Bottom