Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,235
Siyo rahisi. Labda Computer yako iwe ya Kichina na uchukue maandishi yalivyo pale ubaoni na uyaweke kwenye Computer na ndiyo uje uweke tafsiri. Pia ukichukua maandishi ya watu8 kwenye google translator, hayaleti maana nzuri na kama hujui Kichina, utakuwa huna uhakika wana maanisha nini.
Kumbuka tena kuwa maandishi yalikuwa kwenye PICHA na yeye akaleta tafsiri. Labda awe na Mchina hapo Pembeni yake.
Kumbuka tena kuwa maandishi yalikuwa kwenye PICHA na yeye akaleta tafsiri. Labda awe na Mchina hapo Pembeni yake.
Naye ali GOOGLE vilevile
Last edited by a moderator: