Kama elimu yako sio ya mchina badili sentensi hii kuwa ya kiingereza 'BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI'
baba=father, mimi =me, ni=is, mtoto=child, wako=your, wa=of, ngapi=how many...ushapata jibu nadhani
hii topic naipita kama siioni, nisije chapia! mie nimezoea kigogo

"whats my birth order, dad?"
hii topic naipita kama siioni, nisije chapia! mie nimezoea kigogo
baba=father, mimi =me, ni=is, mtoto=child, wako=your, wa=of, ngapi=how many...ushapata jibu nadhani
Hata wewe elimu yako ni ya mchina--anza wewe!Kama elimu yako sio ya mchina badili sentensi hii kuwa ya kiingereza 'BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI'
Hivi, ulitegemea jibu lisiwe katika sentensi?Wacha magumashi weye! You just construct a sentence...
baba=father, mimi =me, ni=is, mtoto=child, wako=your, wa=of, ngapi=how many...ushapata jibu nadhani
hii naona kama iko sawa vile!