Hebu pima kiingereza chako

Hebu pima kiingereza chako

"Father,within your kids, how do I range from the top." ( Naomba msinisulubishe, Englsih is not our 'mother country!)
 
Kama elimu yako sio ya mchina badili sentensi hii kuwa ya kiingereza 'BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI'
Ukiondoa mambo ya kiingereza; Mtoto anayeuliza swali hilo lazima atakua na matatizo upstairs. Kama ana uwezo wa kuuliza swali kama hilo anatakiwa kuwa mature enough kujua yeye ni wa ngapi kwa baba yake unless baba ni mwingi mno kiasi cha kuzaa hovyo hovyo na wanawake tofauti! hata kama ni hivyo mtoto atakuwa amekosa adabu kwa baba yake pamoja na makosa ya huyo baba.
 
Dady how many young and older brother and sister have I got?
 
Dad, who am I by birth?
Atakujibu You're the first born, my son/daughter.
 
Wote hamjui. Utamuuliza hv " father, rank me by birth among all childrens you have". I heard u have many!! Hapo utakua umeua kila ki2.
 
Father,in which birth order am i among my siblings?
 
Kidogo niseme: Father, in chronological order, how do rank amongst your children?
 
Wote hamjui. Utamuuliza hv " father, rank me by birth among all childrens you have". I heard u have many!! Hapo utakua umeua kila ki2.

sawa tu mkuu, lakini among all "childrens" haijatulia. plural ya child ni children hatuongezi "s" isipokuwa kama tunazungumzia possessive na inakwenda na apostrophe, mfano: children's school!!!
 
Back
Top Bottom