hebu muangalieni huyu afande

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,667
1,400
2.jpg
 
Kumbe wanakula na kushiba,kweli aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa
na yuko tayari hata kumtoa Roho aliye na njaa.
 
Ninavyojua mimi, hii kazi wanatakiwa wawe fit, sasa huyu uncle maharage kwa wingi bila mazoezi
 
Linganisha umbile lake na mshahara wake. Jamaa anaonekana ana AFYA, hana njaa. Halafu ukiuliza mshahara wake labda laki mbili tu, na anasomesha watoto, ana nyumba ndogo, je pesa anapata wapi? RUSHWA TUPU!
 
Duuuuu hivi afya ni nn? Kama hiyo can be termed as being healthy we Tanzanians still have a long way to go!
 
Imebaki kama kipisi cha sigara. Nitamtuma sista akakague. uchakachuaji
 
Duuuuu hivi afya ni nn? Kama hiyo can be termed as being healthy we Tanzanians still have a long way to go!

tangu mda nilipomfahamu yuko vile vile rushwa yake ni kidogo sana kuwapokea watu wanaokuja kusign affidavit(viapo) na kuvipeleka kwa mahakimu huku akijifanya ni nduguze na kusweka mfukoni sh 5000 anazopokea. kwa ufupi yupo pale mahakama ya mkoa wa dar KISUTU.wengi wanadhani ni mahakama kuu kumbe sivo kimamlaka ipo sawa na mahakama za mikoa mingine.nimeongezea tu out of topic kuwekana sawa.
 
Mi naona kama kuna kitu anachukua kupitia mkono wake wa kushoto toka kwa huyo mtu mwenye sharti jekunduuu!!!!!! AU MACHO YANGU YANAONA VIBAYA??????? SIO ANACHUKUA MLUNGULA HUYOO KWELII???!!!! OK! Lakini ni maoni yangu jamani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom