hebu muangalieni huyu afande

Yuko Kinondoni mahakama kwa rushwa huyu ni balaa.....ana watu wake pale nje wako standby kutoa dhamana kwa gharama
 
Mimi siwezi ku-judge how fit he is. Unene sio issue. Wembamba sio advantage vilevile. usifanye maamuzi kwa kile unachokiona tuu. Go deeper, na utaona hakuna chakujadili kutokana na hii picha.
 
kweli bado tuko mbali. lazima kuna tatizo hapa. kama ukikusanya taarifa za maisha yake,historia,uchumui,na mahusiano yake kijamii utagundua tatizo ni kubwa sio kwake tu bali kwa nchi.
 
corruption tupu hapo hana lolote mjini! thats all police are!!! WAKUU C HAKUNA VITA WAMEBWETEKA??????:faint:
 
Mie naomba kuuliza na mwili huu askari polisi kweli kazi zinafanyika? Na ndugu zanguni unene sio mzuri worse enough unaweza kuleta maradhi mbali mbali. Pia utafiti unaonyesha wanaume wanene wanakuwa wanapata matatizo ya kukosa nguvu za kiume kwani huwa wanapata maradhi ya moyo ambayo hupunguza kasi ya damu katika mishipa ya kule kwenye mashine na hivyo humsababisha mwanaume kutokuwa na nguvu sahihi ya kufanya tendo la ndoa. Pia majuzi studies za marekani zimeonyesha wanaume wenye minyama uzembe kiunoni na vitambi wana more likely kutengeneza oestrogen more than testosteron levels sasa tuweni waangalifu na hivi vitambi visivyokuwa na maana na minyama uzembe sio sifa ni maradhi. Sio afya ni matatizo ningelikuwa mie ni rafiki yake huyu jamaa ningelimshauri apunguze unene before hajaanza kupata type2 diabetes, blood pressure, erectile dysfunction, na mengineyo mengi.
 
Asante viper,inaonekana jinsi gani unaipenda nchi yako sas basi askari kama huyu atamlinda nani pumbavu zake bora awe shoga tu.
 
Mbona mnamshabulia hivi classmate wangu? Size zetu hazituzuii kuchapa kazi.
http://www.westseattlefunblog.com/wp-content/uploads/2010/10/Fat-Cop.jpg

Fat-Cop.jpg


hata wewe avatar yako ambayo nahisi ni picha yako halisi uko kama huyo polisi hivyo hatuta mshambulia kwa maneno tena maana si sawa na kukushanbulia wewe
 
Fat-Cop.jpg


hata wewe avatar yako ambayo nahisi ni picha yako halisi uko kama huyo polisi hivyo hatuta mshambulia kwa maneno tena maana si sawa na kukushanbulia wewe

Nashukuru boma2000, nimefarijika. Kesho narudi kazini kufukuzana na vibaka. Unatakiwa siku moja uone mbio zangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom