Fungua computer yako>>nenda google>>type neno "let it snow">>tupe report.
I took it somewhere lakini sio huko unakosema wewe,nina miezi mingi tu sijatembelea jukwaa hilo,hii ni coincidence tu!Teh teh jamaa kaichota kule jukwaa la science & tech kaiweka kapa, nyingine hapo hapo kwenye google chrome type 'let it roll' utaipata habari yake
Teh teh jamaa kaichota kule jukwaa la science & tech kaiweka kapa, nyingine hapo hapo kwenye google chrome type 'let it roll' utaipata habari yake
Mbona mm sijaona hzo snow, Uongo tu
But I wonder wengine wanasema si kweli,anyway you just click 'defrost',snow zote zita-clear away!Hapana malaika2. Pengine huko mbinguni ulikuwa na haraka. Ukishatype ' let it snow' na kubofya 'search' ukurasa unaofunguka umejaa ukungu mnene wa thelluji na vitu vya aina hiyo. Mimi nilishuhudia hayo maajabu karibu niseme screen yangu ina virus. Safari hii usiwe na haraka ya kukimbilia mwaka mpya. Jaribu tena uone vituko vya 'web technology'