Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,327
Pole mzee.........fiancee ni mchumba.......lakini pia ni mke wangu..........
Pardon me....fiancee and a wife at the very same time,huh?Tupo wote mkuu.
Pole mzee.........fiancee ni mchumba.......lakini pia ni mke wangu..........
(a) Hata mimi nilishangaa maana walikuwa bado wanaruti nyingi za kufanya kulingana na mazingumzo yao........ila nadhani walishachoka na majukumu yao......maana wakajitoa ufahamu kabisa.
(b) Ni manungayembe kwasababu mwanamke mwenye kwake huwa hata siku moja hawezi poteza muda kukaa kwa watu bila ratiba maalumu.......kama fiancee wangu hata mara moja huwezi mkuta anarandaranda bila ratiba.......ni huwa utamkuta kalala geto kama hana cha kumkeep busy.
Maana ndege wafananao huruka pamoja na ukute hata huyo wife wake before nae alikuwa ana tabia ya kuuweka akienda kwenye nyumba za watu
Hao rafiki zake wanaakisi tabia za mkeo.
Lugha lugha lugha!Unajua mimi ni mzee umechanganya "style" za lugha hadi nime blow!Fiancee ...halafu wife.Ni kama ninyi mlikuwa watatu mkatembelewa na maembe dodo sijui manungayembe?Jitahidi kuandika lugha ya kawaida tusitumie miwani mkuu.😀😀
Hivi umesema fiancee au waifu?
Wife ni mstaarabu sana si kwamba na mtetea.....ila ni kwasababu namjua.........
Pia si kweli kwamba hawa mi marafiki zake......la hasha.......hawa walikuwa ni school mates wake kipindi cha primary......miaka kumi na iliyopita.......sasa wakamkuta hapa shobo ikaanza.......nahisi hawa mademu ni luba......so life ngumu wakaona leo waponee geto kwangu......maana hata wife si kwamba alikuwa na story nao.....ila ni wao walikuwa na yao.
Kiswahili hicho boss plus nipo sahihi kupita maelezo kuwaita hayo majina