Kwan uwezi kuandika kua umepanga room Adi uandike self contained????
Self containted imezungumziwa ili kumpa picha msomaji juu ya usumbufu uliokuwepo. Chumba kimoja choo cha ndani, unaingia chooni kushusha haja kubwa wageni sita sijui wangapi wapo sebuleni, umeenda kuoga na taulo au pensi umetoka, unatakiwa kubadili nguo chumbani hapohapo walipo wageni, huo wote ni usumbufu.
Mkuu utakuwa umechukulia tofauti kidogo, chumba kimoja self ni kitu cha kawaida sana kama sio makazi ya mtu mwenye hali ya kawaida ambae ameanza maisha au anaebana matumizi kutokana na sababu fulani.
Nadhani wife ako nae ni mtu wa tabia hizo... pale wewe haupo
Ila sisi wa mbeya ni wakarimu kaka angu....sijui lakini pole kwa yaliokukuta
Mke wako anapata nauli ya kupanda ndege wakati unaishi kwenye chumba kimoja!!!!!
Fast jet hiyo jamani mbona wabahiri hadi mnaharibu maana ya kuishi.......unataka uzeeke haujapanda hata boat.........by the way its a matter of convenience......nilitaka mtoto wa watu awahi kufika ili asichoke.......its not that expensive.....hata wewe waweza mudu sema wachungulia sana hiyo pochi..........chumba kimoja ndio style napenda coz am a bedrum guy .....just me n my baby ......sio kuwa najibana ......after all its not kwamba am going to live here for ever its just for few years nihamie kwangu............but the room is cosy ...comfy and spacey......so i enjoy life in here.
Nahisi utakuwa wa kanda ya ziwa kwa kina koku..
Wife ni mstaarabu sana si kwamba na mtetea.....ila ni kwasababu namjua.........
Pia si kweli kwamba hawa mi marafiki zake......la hasha.......hawa walikuwa ni school mates wake kipindi cha primary......miaka kumi na iliyopita.......sasa wakamkuta hapa shobo ikaanza.......nahisi hawa mademu ni luba......so life ngumu wakaona leo waponee geto kwangu......maana hata wife si kwamba alikuwa na story nao.....ila ni wao walikuwa na yao.
Sijui kiki au mtazamo tu. Kuna uzi wa sweet revenge. Ukisoma kaandika huyu huyu mala fiancee mala mke, simuelewi. Mkuu kuna wachambuzi yakinifu humu. Be aware. Ushauri tu. Ukiwa muongo usiwe msahaurifu. Ni hayo tu.
Iringa hatuna majisifu tutasema tu Gheto sio "Gheto self contained". Pia tunajali tunawapenda na kuwaheshimu wageni aina zote. Kamwe hatuwezi kuwasengenya wageni, wala kuwaita manungayembe!Hapana ndugu......miaka mia mimi mzawa wa Dar! Asili yangu ni Mbeya na iringa