Shida yako kaka hutaki kujikubali uhalisia Wa maisha yako, yani unataka usomeke kama upo matawi wakat life yako bado tait, Kwa stor hii wewe unamgogoro na nafsi yako na wewe ndo cio mstaarabu. Ktk maelezo yako yoote hakuna mahali panaonesha mchumba~mke wako eitha aliboreka au kukereka na hao wageni . siku nyingine wife wako akijiwa na shost zake mpishe ndo tunavofanya wanaume