Hebu jamani, mstaarabike muda mwingine...

Hebu jamani, mstaarabike muda mwingine...

Hapo umenena vema...tena hao mabinti wangemkomesha kwa kupanda kitandani kabisaaa...

Yaani hukai kwenye sijui mkeka cha kujiumiza nn!! Unakaa kitandani ksa raha zako ili siku nyingine ajiongeze, aibuu hii mie hata jf nisingeileta
 
chumba hicho hicho,sebule hiyohiyo, jiko hapohapo.. sipati picha hao wageni walivyovuruga vuruga kitanda

Wageni walikuwa wastaarabu walikaa kwenye mkeka alafu mleta mada anawalaumu.
 
Haahaaa!! Usiogope bwana, kwani sheria ishaanza kutumika? Kibosile gani huyo anakuficha hivyo!!

Inaanza tarehe 1....jamaa anabana hadi penati kiasi kwamba mda wakushika simu nakuchat nakosa
 
Huu uzi unaonesha ni jinsi gani ulivyo mchoyo,mara nyingi marafiki huwa na tabia za kufanana so huenda na shemejii nae akienda mageton kwa hutia nanga hvyo hvyo.
 
Ndo maana sntoacha ganja!...yani hapo ilikuwa unatoa zako mmea,unachambua mbegu afu unanyonga!kabla hata hujaipiga denda wangekuwa washaaga zamani!
 
Wageni walikuwa wastaarabu walikaa kwenye mkeka alafu mleta mada anawalaumu.

Yaani hukai kwenye sijui mkeka cha kujiumiza nn!! Unakaa kitandani ksa raha zako ili siku nyingine ajiongeze, aibuu hii mie hata jf nisingeileta

Unajua ndugu zangu......kuna kauli unaweza toa hadi watu wakashtukia kuwa ndio unaanza kupevuka bado unashombo ya maziwa......
Sasa hapo ni wapi ambapo haujaelewa kwenye huo mkasa........nilichokuwa nakimaanisha katika simulizi hii ni tatizo la watu kufanya vituko katika hali isiyo ya kistaarabu...........hawa wadada si kwamba wapo close na wife maana hata namba zao hakuwa nazo alichukua on that day......kiufupi ni alicheza nao utotoni enzi za primary tuh.........ila sekondari hadi chuo hakuwa nao karibu sasa huoni kuwa walivamia kambi?!
The issue hapa ni umekutana na rafiki yako wa longi unampa hi tu then unaendelea na ratiba zako sio kuita na wenzako halafu unaweka kambi kana kwamba mlikuwa na miadi. Msosi sio inshu ........ila inshu ni kuniharibia ratiba na wife maana tulikuwa tunayetu tunataka kudo siku tatu si mchezo........ila sidhani kama utaelewa maana ndio unakua.....so haujui fedhea ya kuvurugiwa privacy.
 
Unajua ndugu zangu......kuna kauli unaweza toa hadi watu wakashtukia kuwa ndio unaanza kupevuka bado unashombo ya maziwa......
Sasa hapo ni wapi ambapo haujaelewa kwenye huo mkasa........nilichokuwa nakimaanisha katika simulizi hii ni tatizo la watu kufanya vituko katika hali isiyo ya kistaarabu...........hawa wadada si kwamba wapo close na wife maana hata namba zao hakuwa nazo alichukua on that day......kiufupi ni alicheza nao utotoni enzi za primary sekondary hadi chuo hakuwa nao karibu sasa huoni kuwa walivamia kambi?!
The issue hapa ni umekutana na rafiki yako wa longi unampa hi tu then unaendelea na ratiba zako sio kuita na wenzako halafu unaweka kambi kana kwamba mlikuwa na miadi. Msosi sio inshu ........ila inshu ni kuniharibia ratiba na wife maana tulikuwa tunayetu tunataka kudo siku tatu si mchezo........ila sidhani kama utaelewa maana ndio unakua.....so haujui fedhea ya kuvurugiwa privacy.

Mweeeeh!! Kweli waolewa na waolewe.
 
Asante kwa wakubwa wenzangu ambao mlielewa haya yaliyonikuta.......naona kuna madogo wanazingu hata hawaelewi adha iliyonipata wao mradi wameponda........ila haina shida ipo siku watajifunza wataelewa kuwa kuna watu ustaarabu ni ziro na hawajielewi.............
 
unaonekana ni mchoyo, mbinafsi, Mpenda sifa, pia na roho mbaya kwa mbaaali.... ila kama ni Wa kule kwa kina koku sishangai
 
unaonekana ni mchoyo, mbinafsi, Mpenda sifa, pia na roho mbaya kwa mbaaali.... ila kama ni Wa kule kwa kina koku sishangai

Someday ukishakuwa utajifunza kuwa sio kila wakati ni wakushare na kila mtu........kuna muda unakuwa hutaki hata kusikia sauti ya jogoo akiwika......unataka kuwa pekee yako tu na mpenzi wako....... according to the way umeandika inaonekana bado upo katika himaya ya wazazi.......!
 
Mleta mada ameeleza vizuri sana, ila kwa vile Watanzania tunapenda kupotezeana mda ndiyo maana kuna watu wanamponda. Kuvurugiwa ratiba bila sababu maalumu inafedhehesha kwa kweli. Hao kwa tabia zilivyojieleza lazima watakuwa na band ya muziki wa umbea.
 
Usitukane. Walimu kama Magupombefuli. Wa Benki hujalewa nini hapo
 
Back
Top Bottom