Sasa mbona picha zenyewe umezitupia alfajiri? Ni baada ya mama yeyoo kukunyima kitumbua?, ila naona bidada wa kwanza kushoto ana kitambi.......... Mama yake atakuwa anauza sute/kwete/komoni et cetera.
Hawa walikuwa katika harakati za kichama inaelekea ni kati ya Singida au Tabora. Waliahidiwa posho, lakini katika picha wanaonyesha kunyong'onyea baada ya kuambiwa posho haitalipwa hadi wakiudi Lumumba Dar es Salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.