Hebu itupie neno picha hii!

Hebu itupie neno picha hii!

Kumbe kuna Juliana katika hii picha, embu niambieni ni yupi kati ya hao wadada wawili?
 
11.+MWAMPAMBA,+SHONZA,+ASENGA+NA+....jpg


Zidum fikra za mwalimu!! Ccm hoi? Hai? Hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 

!
!
unaweza kuona madhara ya kula ugali au wali mwingi kuliko mboga....ona huyu wa kwanza kushoto ana kitambi kabisa, huyu wa pili mrefu kashupaa kama anakula saruji, haka ka tatu kamekomaa ka nini sijui na huyu wa mwisho kapaukaaaaa
 
Hiyo Kali ya Mwaka huu japo unaishia. Yaani wewe bubu ni chiboko.

Hawa walikuwa katika harakati za kichama inaelekea ni kati ya Singida au Tabora. Waliahidiwa posho, lakini katika picha wanaonyesha kunyong'onyea baada ya kuambiwa posho haitalipwa hadi wakiudi Lumumba Dar es Salaam.
 
Tumesha wazoea wenye siasa za mitego hamna jipya zaidi ya midomo michafu malizeni yenu kwenu tiamaji tiamaji mna vamia yasio wahusu kweli nimeamini nyie wapuuzi
 
Jamani hem tuweke utani pembeni, naombeni majina ya hawa vijana, seriously jamani.
 
Nimejaribu kupitia comments za wadau hapo juu nimegundua kuwa sehemu kubwa karibu 98% ya watu walio toa comments wamechoshwa na sie sio mie
 
!
!
unaweza kuona madhara ya kula ugali au wali mwingi kuliko mboga....ona huyu wa kwanza kushoto ana kitambi kabisa, huyu wa pili mrefu kashupaa kama anakula saruji, haka ka tatu kamekomaa ka nini sijui na huyu wa mwisho kapaukaaaaa

Ha ha ha! You made my day... ila huyo wa pili kutoka kushoto amesimama kishambashamba sijui kwa nini!
 
Walikuwa wameahidiwa posho na ma sio sie mie na hawaja pewa ndio maan wamenyong'onyea hivyo kumbe sio sie mie sera zao hazitekelezeki hata kwa makada wao MAJANGA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom