Hebu Bofya uyaone haya mapyaaa ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu Bofya uyaone haya mapyaaa !

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Mar 2, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Members,
  Limekaa moyoni kwa masaa hatimae nafsi imenishinda.
  Jana usiku mida ya kama saa 3 hivi nilikua nimekaa nje ya kaduka kamoja hivi, namsubiria dereva wa Bodaboda niliemzoe kukodi pikipiki yake.
  Jirani ya hicho kiduka kuna ka'duka kadogodogo pia.
  Nikamuona Mdada mwenye haiba ya maana inshort ana personality ya mjini.
  Nikamsikia Mdada huyo akimwambia muuza duka "wa leo safi ? Sio kama ule ? "
  Muuza duka akamjibu ,
  "Yaani huu wa leo ni wa ukweli hasa"
  Mdada tena,
  "Nifungie wa buku mbili"
  Mda si muda nikaona Mdada anapewa kitu na kukiweka mkobani ,
  Mdada akamuuliza tena muuza duka,
  "Niangazie basi boda ya mtu unaemjua muaminifu anipeleke wengine vibaka"
  Muda huo na ndiyo ile boda niliokua nikiisubiri inafika.
  Yule muuza duka anamwambia Mdada ,
  "tena afadhali jamaa yangu niliekua namfikiria ndy huyo amefika. Kwakua mi sikua na haraka nikamruhusu yule boda wangu am'rush mdada then aje ani'pik .
  Tukabaki mie namuuza duka kwa haiba ya yule Mdada na kwa udogo wa kale kaduka nikashawishika nimuulize yule Mdada ni mteja wake wa kitu gani. Muuzaduka akanijibu,
  "Aisey blaza huyu Mdada ni mteja wangu mkubwa wa Mwaipaya (Ugoro) kila baada ya siku 3 ananunua wa buku mbili tena kaweka na oder kabisa"
  Mie nikaskuti yule mdada mbona hafanani na uteja wa Ugoro!
  Nikamuuliza
  "Mbona yule Mdada wapi na wapi na Ugoro ?
  Akanijibu,
  "Blazaa unafikiri ni wa kula ule ? Hapana ule Ugoro wanauweka kule chini, yaani akiuweka tu anapata hamu ya mwanaume na baadae hadi anamaliza peke yake, hahitaji tena Mwanaume"
  Yaani Ugoro unampa hamu, na huohuo unammalizia hamu.
  Nilim'bishia yule muuza duka, lakini aliapia kwa viapo kibao!
  Nikaondoka nimeamini kwa upande wa shingo. Members wenzangu nanyi hii maneno mshaifahamu ?
  Kuna ukweli hapa?
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Kama huja-cook story..hiii inatisha..ama wanaume tunaogopwa? Au tumekuwa wengi kwa hiyo competation imekuwa kubwa!
   
 3. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Duh hii ni kali sijapata kusikia.
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Du hii mpya na kali kuliko
   
 5. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jamani!!!
   
 6. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  nini tena?
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  khaaa hii kari.
   
 8. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  Bora nyeto za wanaume, sasa hiyo style kwa wanawake ni hatari. Hivi ugoro si unaweza kuleta kansa?

  Sipati picha, ingekuwa enzi za 'kuberi' si wangekuwa wananunua vipakti? Shida gani hizo wakati wanaume wapo? Tobaaaa.
   
 9. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  MaLarge.
  MP.
   
 10. j

  julyy Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huku arusha kawaida mbona
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mh. Platozoo,
  nikwambiayo hakuna nilichokipika , nipike inisaidie nini mtu-mzima mie? Labda cha nyongeza niliambiwa na yule muuza duka, kwamba hiyo inawasaidia wanaosex kwa Ugoro kujiepusha na balaa la virusi .
   
 12. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Mhmm!! Hii kali mkuu. Mie kuna moja nilikutana nayo siku mmoja wakati nilipoenda kumtengenezea computer mdada mmoja mwenye asili ya kipemba. Kama unavyojua wanawake wenye asili ya kipemba huwa hawafanyi kazi, kazi ya ni kukaa tu na kupiga domo na mashoga zake. Sasa wakati mimi naendelea na shughuli yangu ya kuikarabati computer yake ghafla nilisikia dada huyo akianza kuongelea maswala ya mirungi ambao wenyewe wanaliita gomba.
  Kwa haraka haraka nilihisi kama vile nimesikia vibaya hivyo nikaamua kutega masikio kwa makini ili nithibitishe nilichokisikia ndipo nikasikia wakianza kuzungumzia aina mbali mbali za mirungi sijui eti kuna mirungi yenye unga, sijui eti kuna yenye maji n.k. Na baada ya muda akapiga simu na kuweka order ya mirungi ya sh. 30,000/= Nilishangaa sana kusikia maneno hayo kwa sababu sikuwahi kusikia wala kuona mwanamke akitumia mirungi. Swali nililobaki nalo, ni kwa nini wanawake wanatumia mirungi?? haswa wa uswahilini? na ina faida gani kwao???
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Julyy !
  Fafanua kawaida kuutia mdomoni ? Au kawaida kusundwa kunako? Nanihii
  Yaani Ugoro kuchukua nafasi yetu sie Wanaume?
   
 14. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  duh!najaribu kupata picha!
  ugoro ukiingia puani utapiga chafya mpaka kamasi litoke...
  sa najaribu kwenye kipochi manyoya inakuaje??
  hebu nisiumize kichwa aise...
  ntarudi kusoma nikiona fulani kachangia...
   
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kwa Agenda hii tukipata member wa Kenya au aliekaa huko kwa kitambo atatusaidia.
   
 16. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Dah! Makubwa haya basi..
   
 17. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ugoro ni Tobacco na Tanin. Katika matenezo yake wanatumia magadi.

  Sasa zaidi ya kumwasha sana na hatimae kui anaesthetise vulva na vaginal canal najaribu kutafuta scientific explanation. Let me think......... Mbolea wanayo tumia wakulima ni jamii ya nitrates na phosphate.

  Nadhani ni kweli. Athar inapatikana sababu ugoro pia ni rich in nitrates. Yaweza kumtohoa mwanamke na asiwe na hamu ya midume sababu ya thickning ya epithilial lining ya vulva na vaginal canal. Lakini madada msijaribu. Lazima mwanzoni itakuwa inawasha na kuunguza sana ingawaje ukizoea utapata utamu.
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Doctors,
  asante kwa uhabarisho wa deeply hii ndy Jamii Forum ! JF ZAIDI YA UIJUAVYO.
   
 19. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45  Huenda inawapa stimu ya ngono kama ilivyo kwa me. Inawezekana ukiingia nae gem ukaomba poo!
   
 20. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #20
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Mhmm!! haya bwana
   
Loading...