duh!najaribu kupata picha!
ugoro ukiingia puani utapiga chafya mpaka kamasi litoke...
sa najaribu kwenye kipochi manyoya inakuaje??
hebu nisiumize kichwa aise...
ntarudi kusoma nikiona fulani kachangia...
Nilipomaliza tu kuusoma uzi huu wasiwasi wangu ulikuwa huu, kwamba issue kama hizi mara nyingine zikiwekwa hadharani kuna watu wenye vichwa vya ajabu watashawishika kujaribu....!! Wa kwanza huyu hapa!!Duh! imust test!