kwani kuna tofauti gani hapo?
nilichelewa kukujibu nilikua namuuliza mzee1 wa asili ya pemba,anasema maana ya mwabesekewa ni hamjambo?au muwazima huko home?mimi siijui hiyo luga ila nimeishi nao nakufanyakazi nao kama marafiki ni watu wakarimu sana.Hilo neno lenye CAPITAL LATER ijawahi kusikia likitamkwa na Wapemba! Je wewe waweza kutuambia nini maana yake?
Bwanaweee ntombeleo. Ebwanaee kunja nguozo ntombeleo.
Huyo ni mama wa kipemba alisikika akimwambia mumewe akunje nguo mbele kuna mto asije kuroa.
Kwani weye mbwa ya nyani..??
Mmmh, kweli mwezi ukiandama vifafa huongezeka.
kwani kuna tofauti gani hapo?