Heaven on desert amerudi

Heaven on desert amerudi

Status
Not open for further replies.

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Kwa marafiki zangu wote wa JF,ambao kwa namna moja ama nyingine,mlinikosa yote ni kwa sababu kazi nying kuzitafuta shiling,coz usipofanya kazi kwa bidii,maisha mazuri utaishia kuyaona kwenye picha za Diamond tu..ok nimerudi kwa muda..niulize,tuzungumze na tuelimishane pia.

karibu..

h.o.d mwanza tour.jpg
attachment.php
 
mvungieni mshkaji bhana, mbona uhuru wa kupost anachotaka humu jf anao as long as amtukani mtu!!

fanya yako heaven on desert hawa jamaa wana wivu tu.
 
We mshamba Kweli kuna watu tunamaisha huyo diamond atasubiri sana lakn nisikulaumu pengine kwako ww diamond ndio kila kitu kwako so huna namna zaid ya kumtukauza

Ulimbukeni jambo baya sana
 
Kwa marafiki zangu wote wa JF,ambao kwa namna moja ama nyingine,mlinikosa yote ni kwa sababu kazi nying kuzitafuta shiling,coz usipofanya kazi kwa bidii,maisha mazuri utaishia kuyaona kwenye picha za Diamond tu..ok nimerudi kwa muda..niulize,tuzungumze na tuelimishane pia.

karibu..

View attachment 145957
attachment.php

umerudi? kwani ulikuwa wapi?
 
Huyu jamaa nahis up stairs hayuko sawasawa...how comz mtt wa kiume kutwa kumcfia mwanaume mwenzio...Wema anamcfia domo coz of da pipe she gets na ww ndgu unamcfia kwa hlo????.....Jtume mtt wa kiume ucpnde mteremko
 
Hahhaa haaahaa JF raha sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
oooh siku hizi haujipaishi kule jukwaa la macelebrities
 
ila kwakujipa fagi ujambo ..kweli mambo ya#JIKUBALI

umepost post yenye post name yako afu umeipost mwenyewe..:rip:

wangeturuhusu humu JF kujipa like mkuu ungekua na likes1000000000:tape:
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom