...akili yangu yataka kukwambia hapana, lakini moyo wanambia upo sahihi kabisa.
Kuna kipindi nilikuwa najifariji na wimbo wa Tupac - 'There You Go!'
...mnh, hiyo kamwe hebu iweke kwanza pembeni. Reservations muhimu, ...otherwise utakuwa hajajifunza alipokosea.
Mapenzi na Ukweli ni somo lililoniumiza vya kutosha maishani.
I hope and am really praying maishani nisijechezewa tena kama nilivyopata chezewa. Sijui reaction yangu itakuwaje kwakweli...hata kufikiria hilo huwa naogopa!....I will love wholeheartedly anyway!
pheeewwwww!...mapenzi haya!
kOVU UKILISUGUA SANA HUGEUKA NA KUWA KIDONDA. Don give up the fight stand up for your right....najuta kumsoma huyu bwana (i took it personal)...nadhani nilikuwa nime delay some grief...nimekumbuka kila aina ya usaliti... hili ni kovu...hata kama limepoa, alama imebakia (haifutiki.) Lizzy kalale,...lol!
Thank the LORD 4 THE ABUNDANCE OF EVERYTHING.....................God is trying to tell u something but the question is are you listening?
Do not worry about how many relationships have flopped but consider the pain of marrying someone who is going to hurt you for the rest of your days,,,,,,,,,,,,,,,,,,better face the pain 2day and learn how to cope with the loss rather than having been forced to endure rejection with someone whom shares your bed on daily basis........................and there are many of these despicable characters out there.......
Usiwe na tabia ya kuwaombea ma-ex..............bad luck but wish them a happier ending like in Hollywood movies...............................usipofanya hivyo inaashiria ya kuwa umewawekea kinyongo ambacho kitakuumiza wewe badala ya mlengwa ambaye ataendelea na shughuli zake bila ya kujua majonzi yako........................
Asante mkuu, hapo kwenye bluu pamenifariji sana!
I can join the rest to say pole, but what i want you to say to uaself confidently infront of the mirror,is "there is one special laddy 4u, whom God 'l make her mywife'say those words mybrother and have faith on that.'a setback is a step for comeback' do not forget that. I pry that ALMIGHTY GOD to give strength to watch foward for ua wife and not suffer 4 a lady who was nt created to be ua wife. Amen
Let her Rot in hell bana,...potelea mbali kinyongo changu,...I HATE HER!
Siwezi semea mtu roho yake, ....uchungu wa kuumizwa labda watofautiana baina ya mtu na mtu
lakini mimi najua machungu yake, Siwezi sahau "the way she made me feel!"
Si umeona MASAKI kakesha usiku kucha!
Pole mkuu,
nakushauri hivi
1 kwa vile wanaume wengi ni wazito kueleza lililo moyoni (baada ya kuumizwa) kwa wanaume wenzao wengi hukimbilia kwa w'ke ambao w'ke hao hutumia nafasi ya 'huruma' kuanzisha uhusiano mpya wkt mwingi haudumu
2 w'me wengi hukimbilia kuziba pengo kwa kutafuta m badala . Ni kosa,sawa na kufunga kidonda baada tu ya kuumia kabla hujachunguza vzr na kukisafisha
3 kubali maumivu mpaka yapoe kisha angalia wapi ulikosea
4 msamehe haraka maana baya+baya madhara yake yatakua makubwa na kwa muda mrefu
5 acha ulevi(km mlevi)kwa kipindi hiki kumbuka mapenzi yanapoisha maisha yanaendelea.na mimi yamenikuta bado nina kidonda mkuu tupo wengi
was she happy with your relationship? and how did you know??
ah we ndugu.si bora mambo yameisha namna hiyo!una heri sana mshukuru mungu.pata picha uko na mimba ya miezi tisa,unagombana na mmeo na anajua uko mjamzito hajali na anafanya kila vurugu hatimaye mtt anakufa na haishii hapo anakuibia na pesa tena nyingi.isitoshe unatoka kwenye matatizo hayo anakufukuza na nyumbani huna pa kwenda coz pesa zote amekuibia.mshukurru mungu rafiki.yangeweza kukukuta mabaya zaidi ya hayo.lkn hao ndio binadamu na wanaishi na wengine wanachangia hoja hapahapa jf.take care?
Masaki.....................I hope umepata la kupata toka kwa wanajamii humu chumbani. Mwenyezi MUNGU akupe nguvu za kusonga mbele. Lililotokea lichukulie kama ni ngazi towards lililo jema na funzo katika maisha yako ya mahusiano. Ubarikiwe sana kaka yangu.
Mbu, pole!
Nakwambia MJ1 anatokea tena mkaka nakwambia anaongea kwa huruma, na kukuhakikishia yeye ndio dawa ya matatizo yako, unajitosa mzimamzima badae unakuja ona anabadilika na kutenda yaleyale, mwee sijui itakuwaje huko mbelen maana miakainavokwenda ndio hali ya mahusiano ya watu yanazidi dorora
Dah Masaki nimesoma mpaka nimelia nakosa cha kuandika kabisa zaidi ya kusema POLE SANA na muombe Mungu akusaidie usikate tamaa maisha tunayoishi huwa yanachangamoto zake so endelea kuomba na kusali sana.
Shukran mkuu.
La msingi "kumbuka" katika kipindi hiki cha mpito u mdhaifu.
kuna 'wawindaji haramu' wanaowinda wadhaifu kama wewe...
Angalia unauweka wapi moyo na mawazo yako.
Nawaunga mkono wanaokushauri ongeza Ibada,
kwani Mw'Mungu yu karibu nawe zaidi katika kipindi hiki.
Usipokuwa makini Katika kipindi hiki cha maombolezi
utajikuta unafanya makosa makubwa sana yatayokugharimu sana maishani.
I have been there, am talking through my experiences.
Mind you,....'baby come back' pia yaweza kutokea,...
akili kichwani mwako hapo. Lazima uwe na maamuzi thabiti
nini unataka maishani mwako.
Is she "worth" the pain she's causing you? Truth Hurts...
Jifikirie!
Never say never Masaki huwezi jua uliloandikiwa, tushawaona walioapa miungu yote siku ya siku waliinamisha vichwa vyao chiniMbu, hapo kwenye bluu NEVER, it may only happen OVER MY DEAD BODY!
Ayachukulie kama majaribu tu ya dunia, na jiweke busy na shughuli unazopenda, usirush kwenye mahusiano mengine unaweza angukia pabaya, jipe muda na mambo yote yatakuwa muruaPole sana Mkuu lakini sitaweza kumhukumu huyo mwanamke kama wengine walivyofanya kwa vile sijasikia version yake ya story. Na kwa vile hii ni mara ya pili nimeshindwa ku make conclusion. Otherwise, pole sana na move on. Usijione kama wewe ni victim pekee wa mapenzi. Wengi sana wameshafikiwa na haya. Utakuwa na mengi mazuri kwenye maisha yako, so stick to them and move on.