He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

Anyeonghaseyooooooooooooooooooooooooooooooooo!

Nimerudi kutoka BAN! Afu mtu kama hunipendi Lara 1, kwanini ujitese kusoma nachoandika! Leave me alone haters, sihitaji upendo wa mtu yeyote, mimi napenda kuwa mimi so its enough! Sitaki makwazo mwezi wa kheri huuu!

BACK TO TOPIC!

Kuna Zombi langu moja, lilikuwa rafiki yake my bro, wakaribu, afu mimi sidate washkaji wa kaka zangu coz automatically ni washkaji zangu, afu wakinipondea design flani bro atanyanyasika! So family friends ni off limits! Nilifanya exception moja nilijutaaaaaa! Sitorudia tena! Yaliyoniku then ni a story for another day! Ila ilijuwa usiposikiliza la mkuu kaka yako unaambuli kupigwa FREE P isio na tbs. All in all huyu Zombi alikuwa off limits.

Na alikuwa anisalimii chuo, enzi hizo 18yrs nangaaaa, utanijua! Bado nadai! Nikaona huyu kaka anadharau afu kafupi, but he is goodlooking! Mchaga mwenzangu, white, handaome, x seminarian, cool nitajaza jamvi hili! Tatizo ni huo ufupi na enzi hizo alikuwa kula kulala! Free P was inevitable!

Tukamaliza chuo, mi ndo namsalimia tu, nisipomsalimia salamu inagomba. Tulivomaliza nikamuona hana future wala nini, nani amgee kazi mjini hapa! Kumbe Mungu si LARA 1. Alipata bonge la kazi, bro ndo aliniambia. Ila sikupatiliza! Kiranga changu ndo nikawa nimetoka na ile exception ya FREE P, nilijutraaaaaaa! Sikuwahi kupewa 50,0000 maisha yanguuuuuu! Msione hii policy nimeivalia njuga najutraaa mapaka kesho! Siku hizi namkopa simlipi kujirefundna kuimpair losses za zamani.

Ghafla kanitafuta FB siku hio, salamu, salamu, nikashangaaaa! Nikasema atakuwa hana kazi huyu! Mara kuperuzi nikaona kaweka thank God for the 2nd car! Yalaaaaaaaah! Navopenda vya bure mie! Mmmmmmh! Salamu zikakolea, akanipa namba, tukawa tunasalimiana! Ndo kunieleza ana bonge la kazi, kahamia kwake, usafiri, Masters (IM just addicted to men with Masters! Hahahaaaa! Afu ya Economics ya chuo cha maana!) My future could never be brighter! Everything i was looking for in one man, handsome man! Hadi wazazi kijiji kimoja! Daaaah! Jackpot! Tatizo ndo ule u Emolo!

Afu mwanaume ana msimamo! Hataki kuchezewa wala kuchunwa! Akaniwahi mapemaaaa! Mimi nataka kukuoa! Tobaaaaaaaa! I was 21 almost 22! My future couldnt be any brighter! Nikajaribu kumzingua lets date tuone inakuwaje, nimchune tu! Maybe find out more! Hahaaaaaa! Akagoma No! Tukidate manakw umekubali au kuna 70% chansi unakubali nikuoe! Eeeeeh! Nikaona sheeeeda! Nikawa sitoi jibu nifaidi!

Na nilifaidi si uongo! Mwisho akastukia chezo langu, akanimwaga kimya kimya! Sasa ikawa kama yuko frustrated 2 minutes ananipenda, 2 minutes ana nichenjia we mwanamke unanichuna, 2 minutes hataki hata kuniona achia kunisikia, 2 minutes he is dying to see me! Nikaona tabu ya nini nikahama namba! Tukapotezana mazimaaaa!

Sasa kilichonistusha majuzi juzi kaanza tena face book huko huko, tunapeana Hi! Tushakuwa wazee saivi! Akaniambia ana mchumba anataka kumuoa! Nikamtakia kila lakheri! Wivu sina japo roho yaniumaaa! Mmmmmmh! Mara huyo mchumba kanitafuta anataka tuonane, nikasema Tobaaaaaaa! Tukaonanaa! Mtumeeee!

Anataka kujua kwanini nilimuacha? Mmmmmmh! Makubwaaa! Anavodai he is the sweetest guy eveeeeeerrrrr! Hajawahi kuona tabu yeyote ila WHY nilimuacha? She is way too CURIOUS! Ukisikia curiousity killed the cat ndo hii! Nikatamani nitamke BECAUSE HE IS TOO SHORT BUT SWEET, CARING, AND I MADE A MISTAKE, MAYBE I DIDNT HE IS STILL SHORT! Mmmmmh! Nikala cobis tu! Nikabaki naguna guna tu! Maneno kushneeeey yameniisha!

Mwisho bi dada akafunguka UFUPI WAKE HAUKUWA UNAKUPA SHIDA? PLEASE BE HONEST! Hahaaaaaaaaaaaaa! (Its not a laughing matter n i am ashamed of myself) Nijaona hapa chacha inabidi nitumie mbinu za kinuclear! Hali tete! Ikabidi niuvae uzalendo for old time sake niokoe jahazi!

Nikamwambia mimi nilivoachana nae i was young, naive, made a lot of mistakes, a lot of wrong choices n bad decisions, i just didnt know what to do! I blame Age! But now ndugu yangu tumezeeka! We should be responsible for our decisions! Huo ufupi at that age made a lot of sense to a young, naive, ambitious girl who was fighting all odds to rise above the hood, be someone, see the world, lots of dreams, lots of possibilities n determination.

But now the age we are, we are wise tupende tusipende, we know better kwamba mtu hajiumbi, angejiumba asingependa kuwa mfupi, n anajitahidi kwa character n success kufidia palipo pungua, short or not bado ni human, n a man, a good man who deserves to be loved. Dont make my mistakes cause u wont be lucky kusingizia umri, if i say i dont regret kumuacha i will be lieing! I am just living with my mistakes. Do the right thing! Good men are hard to come across these days! Basi akaondoka mpya, nahisi alipitia kujaribu gauni la harusi! Hahaaaa!

Well i lied! I just wanted her to feel better about her self! I dont believe any of the sentiments i blabed! But if it makes her sleep at night why not! FYI Mtola is not short or anything close to it! He is 6ft! Mmmmmmmh! So msije kuhisi ni yeye! Na Zombi is not that shot either msichana wa kawaida akivaa flats anamfikia sikioni, akivaa hill utata!

Afu ukiona una comment sanaa post zangu sikujibu ujue uko in MY IGNORE LIST! So sioni unachoandika, unajichosha bureeee! (Hii ni kwa wale vizabizabina wazoefu, wageni au watu tusiokuwa na neno mimi na nyie hili haliwahusu!)

THE END!
Hahaaaa..lara,...ufupi wa mtu unategemeana na urefu wa aliyesimama nae!....mmmh,dada zangu wa kichaga are so selective thou!
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
Habar za asbh mtani jirani?

Mtani mbona umetoa cheko refu hivyooooo...

Miye mzima wa afya isipokuwa huu uemolo wanitia wazimu tu hapa
 
inaonekana umepitia mengi mkuu...kuna binti nilikua napiga ana tabia kama za kwako siku tulivyotibuana akantolea mbovu et ohooo hauwezi kunitunza tuachane...SIKU IYO NILIKUWA NIME PANIC JIBU NILILO MPA NI HILI..."kama wazazi wako wameshindwa kukutunza me ntaweza?"

hili jibu lilimfanya ashindwe toka kitandani week nzima...DAAH HASIRA MBAYA ASEEE I M VERY SOORY MWANADADA WHERE U RE...

Haaah haah haah uliua bendi
 
tangu utotoni naanza kibaba na mama hadi utuuzima huu sijawah kujifunza/kupenda andunjezi....
tena hadi uzeen niepushiwe andunjezi kabisa....
wanisamehe andunjez kwa kutokuaga na mzuka nao hata akawa na hela ya kununua kibanda cha ng'ombe cha mmasai

Pamoja na kuwa mie si andunje ila naamini wewe ni ugly maana most of time ugly people always have drama, wazuri hujiamini both ways wanaume na wanawake ila wabaya huwa ni drama over drama
 
Nakuambiaa hivii anaekuoaaa humjuiii funga bakulii lakoo


Dada yangu unapoteza muda hawa ndo huishia kuzaa watoto sita kila mmoja na baba yake ataolewa na nani? Mara nyingi wanawake wenye nyodo huwa wabaya umesahau shuleni vile vibaya nyodo nyingi na maringo mengi? Wazuri hujiamini huyo binti na mwenzie Myahudi wote ugly wale
 
Hahahaaaa! Hio kawaida UNAIONA WEWE! Lupita Nyongo walikuwa wanamuona CHAUSIKU aka CHEUSI MANGALA, Alek Wek walikua wanamuona ngongoti cheusi mangala nae! Ila saivi waambiwa ni WORLDS MOST BEAUTIFUL PEOPLE! Upo hapo! Hilo la mvuto na ukawadia ni la MWANAUME HUSIKA KUAMUA! Ndo maana wanasema RINGIA BAHATI, USIRINGIE UDHURI! Maana beauty is in the eyes of an observer! Observer perception ndo ina vary lakini reality ni constant.


Alek Wek ni mzuri lakini Lupita ugly
 
Utoto tuu ndugu yangu.sikuhz nimeacha japo sio type yangu bado bt silii napotezea tuu.yaan nilikuwa naona kama kanidharau sana


Wanawake wenye nyodo kama wewe mara nyingi huwa wabaya au wa wastani wanawake wazuri hawana nyodo za kijinga hivi uko likely kuwa ugly au not attractive na wa kawaida sana ila nyodo nyingiiii. Dunia ina mambo
 
Wanawake wenye nyodo kama wewe mara nyingi huwa wabaya au wa wastani wanawake wazuri hawana nyodo za kijinga hivi uko likely kuwa ugly au not attractive na wa kawaida sana ila nyodo nyingiiii. Dunia ina mambo

Hahahaaahh whateverrr you just guess haunijuii na ata ukinijua na ukaniona super attractive utakubalii??but fact haitokuja kubadilikaa,I'm allergic to Eskimos!!
 
Pamoja na kuwa mie si andunje ila naamini wewe ni ugly maana most of time ugly people always have drama, wazuri hujiamini both ways wanaume na wanawake ila wabaya huwa ni drama over drama

hivi eeeh...yaani kwakweli kama utabiri unauweza...mi ni limbaya kweli kweliiii mpaka nimeacha kujiangalia kwenye kioo...watoto wadogo wakiniona wanalia bila kupenda

Na gusura hugu guzito haimaanishi nipende andunje....NEVER
 
Pamoja na kuwa mie si andunje ila naamini wewe ni ugly maana most of time ugly people always have drama, wazuri hujiamini both ways wanaume na wanawake ila wabaya huwa ni drama over drama

Naunga mkono hoja
Most of women never learn they still leaving"kwa mazoea"
Checklist zinawadanganya sana n no offence but kwa comment zake I think #vaislay ni mmoja wapo
They know that no one is perfect but they never blv they can make sm1 their perfect partner
Things like is he reach,is hr handsome is he tall does he has six pack drives their minds na sishangai watu kama haea to reach 35+ as single parents because always beautiful woman is gud for bed but a woman with beautiful mind is gud for life
thus when they start thinking like men they will understand men's' life perception
 
Back
Top Bottom