He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

HAHHAHAAAAAA! Wenzio sikio la kufa hatusikii dawa! Shosti una bahati! Umempata Emolo katulia, anakujali mweeeee! Pata picha wenzio tupate Emolo suguuuu! Emolo hashikiki, haambiliki afu emolo si ubaweza kudata wajameni! Bora Tall akikupasua kichwa unawaringishia mashosti mtaani huku wafa kimya kimya!
Cc Muke ya myahudi, Vaislay, masai dada, Khantwe, ICHANA na badbeybei

Ts a shame wanajiita wanawake wanafanya vitu vya teenagers
Bado mpaka Leo wanatafuta wanaume Wa kuringishia mashosti wao duuu
 
Last edited by a moderator:
inaonekana umepitia mengi mkuu...kuna binti nilikua napiga ana tabia kama za kwako siku tulivyotibuana akantolea mbovu et ohooo hauwezi kunitunza tuachane...SIKU IYO NILIKUWA NIME PANIC JIBU NILILO MPA NI HILI..."kama wazazi wako wameshindwa kukutunza me ntaweza?"

hili jibu lilimfanya ashindwe toka kitandani week nzima...DAAH HASIRA MBAYA ASEEE I M VERY SOORY MWANADADA WHERE U RE...

Duuuu aiseeee
Shikamooo bulaza
 
Naunga mkono hoja
Most of women never learn they still leaving"kwa mazoea"
Checklist zinawadanganya sana n no offence but kwa comment zake I think #vaislay ni mmoja wapo
They know that no one is perfect but they never blv they can make sm1 their perfect partner
Things like is he reach,is hr handsome is he tall does he has six pack drives their minds na sishangai watu kama haea to reach 35+ as single parents because always beautiful woman is gud for bed but a woman with beautiful mind is gud for life
thus when they start thinking like men they will understand men's' life perception

ooohoooo hiviii kumbe...basi sawaaa...
wacha vaislay abaki single parent forever,cha muhimu ni kuwa na furaha na maisha yangu na sio kusukumwa sukumwa tu na maisha..hallaaa!
 
ooohoooo hiviii kumbe...basi sawaaa...
wacha vaislay abaki single parent forever,cha muhimu ni kuwa na furaha na maisha yangu na sio kusukumwa sukumwa tu na maisha..hallaaa!

Hapo nakuunga mkono malkia
 
Nilichojifunza wife materials wanakua wakawaida tu, madem wazuri wengi hamna kitu na wengi hawaolewi coz ni maumivu tu! tazama tu ndoa nyingi zinazofungwa wanawake ni wakawida sana.
 
Nilichojifunza wife materials wanakua wakawaida tu, madem wazuri wengi hamna kitu na wengi hawaolewi coz ni maumivu tu! tazama tu ndoa nyingi zinazofungwa wanawake ni wakawida sana.

Because wazuri wengi they never Lear the difference btn being a woman and just big girl so bado usista duu mwingi na still wanategemea uzuri uwape mume
Bado wataendelea kuhudhuria sphere he za harusi za wenzao mpaka wafikie "menopouse" waache waendelee na mi-checklist yao tu
 
Hayaaaa hayaaaaqq amsha amsha usiku huu itahamia jukwaa la CELEBRITY nawavuta simba sharubu kwa kuanzisha MADA IHUSUYO NEW PROJECT YA MANGE KIMAMBI! TUONANE PALE CELEBRITY FORUM SAA 3 KWA KIGODORO MANAKE LAZIMA PACHIMBIKE!

HATERS WA MANGE KIMAMBI NAWATUMIA KABISAAA KADI ZA MWALIKO Dinazarde queen of sheba Mrembo by Nature miss neddy

Kile kigodoro cha baby shower ya Shamim kinarudi tenaaaa! Safari hii nimejipanga zaidi ya last time! Msikose kuja kuponda! Manake nyie kila anachofanya Mange kwenu kibaya!

tawire mganga...eti umesemaje vile haha lara1 mfungo huu kumbuka
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaahh whateverrr you just guess haunijuii na ata ukinijua na ukaniona super attractive utakubalii??but fact haitokuja kubadilikaa,I'm allergic to Eskimos!!

Huna mvuto wowote mti mwema hujulikana kwa matunda yake ni sawa na darasani wenye akili huwa hawajisifu average C ujivuni mwingi mara Physics nimeichana mara hiki the same way ugly women kelele nyingi ni sawa na wanawake wenye matambo makubwa huwa wapole wale vimbaumbau kelele sana sababu ya kutojiamini na kuonyesha umwamba wakati hawana
 
Because wazuri wengi they never Lear the difference btn being a woman and just big girl so bado usista duu mwingi na still wanategemea uzuri uwape mume
Bado wataendelea kuhudhuria sphere he za harusi za wenzao mpaka wafikie "menopouse" waache waendelee na mi-checklist yao tu

kabisaa gwijimimi Nani anayetaka maumivu ya kichwa?! wanawake wazuri ni sheedah, wanao oa wengi wanaoa wanawake wakawaida tu wenye kujitambua, wanawake wengi wazuri hawana ndoa wanaishia kuwa viburudisho tu kama sio michepuko, thats reality
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaahh whateverrr you just guess haunijuii na ata ukinijua na ukaniona super attractive utakubalii??but fact haitokuja kubadilikaa,I'm allergic to Eskimos!!

Hukatazwi kuwa na uchaguzi maana kila mtu ana utashi wake na anachopendelea lakini sio highlights kila mara kuwakandia mara nyingi wanawake wa namna hii kama ninyi ni ugly, wala sihitaji kukuona maana najua tayari ni ugly wale wasiokandia kama Ichana, Dinazarde, Munkari, Miss Bantu na wengine wanaosema kila mtu na choice yake naamini ni wazuri hata kwa sura na maumbo maana ni full kujiamini sio hawa maugly kelele nyingi
 
Huna mvuto wowote mti mwema hujulikana kwa matunda yake ni sawa na darasani wenye akili huwa hawajisifu average C ujivuni mwingi mara Physics nimeichana mara hiki the same way ugly women kelele nyingi ni sawa na wanawake wenye matambo makubwa huwa wapole wale vimbaumbau kelele sana sababu ya kutojiamini na kuonyesha umwamba wakati hawana

Heheheeh andunjes bwana!!,ndiyo reasoning yako imeishia hapo sawasawa na kimo chako..tufanye nimekubali sna mvuto we inakuuma nini kwan niliekufanya uwe andunje Mimi?ninao mvuto au sna haikuhuuu wapo ninao wavutia ila zaidi nafurah sanaa nisipowavutia andunjees cz uwa wakini approach nauguaaa...thank uuuuuu pita mbalii
 
Because wazuri wengi they never Lear the difference btn being a woman and just big girl so bado usista duu mwingi na still wanategemea uzuri uwape mume
Bado wataendelea kuhudhuria sphere he za harusi za wenzao mpaka wafikie "menopouse" waache waendelee na mi-checklist yao tu

Wazuri wanaolewa sana na harusi zao nyingi tu inategemea unahudhuria harusi ya nani. Ni sawa na kusema wanawake wasomi sana hawaolewi tukumbuke wakati mwingine wanaume nao ni waoga anaogopa kuoa mke msomi sana iwapo elimu yake ni ndogo pia anaogopa kuoa mwanamke mzuri sana kwa kutojiamini. Ila wanawake wazuri wanaolewa sana tu ili mradi awe katulia na si kwamba wabaya na wale wa wastani wametulia bali nao hulambwa na wabaya wenzao. Tukumbuke uzuri wa mke ni tabia zaidi
 
Lara1 nikisoma nyuzi zako nacheka sana asee
 
kabisaa gwijimimi Nani anayetaka maumivu ya kichwa?! wanawake wazuri ni sheedah, wanao oa wengi wanaoa wanawake wakawaida tu wenye kujitambua, wanawake wengi wazuri hawana ndoa wanaishia kuwa viburudisho tu kama sio michepuko, thats reality

Wapo wazuri wengi wametulia na nipitapo guest huona waliochepuka wake za watu sio wazuri ni wale wa kawaida. Mjomba wangu aliwahi kuniambia "mpwa usije ogopa oa mwanamke mzuri eti unaogopa atatongozwa sana na mwisho atagegedwa ukweli hiyo ni tabia ya mtu mwanamke mzuri akiwa katulia na wanaume humuogopa akiwa na tabia za kimalaya ndo kila kukicha hufuatwafuatwa na isitoshe ukioa mwanamke mbaya kwa kuogopa kugegedewa atakuja gegedwa na wabaya wenzake na kakuzalia watoto wabaya"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom