He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

Kuongelea kitu si lazima uwe unahuska very single minded hakuna povu ila fact uko ugly na kwa kufuata msemo wako iwapo wee mzuri kipi kinakufanya ujibu hoja na kutokwa povu? Twende na msemo wako mie adunje nawe ugly hapo vipi? Wanawake ugly utawajua tu. Uko likely kuwa ugly hii ni fact

Kuna ukweli lakini
 
ooohoooo hiviii kumbe...basi sawaaa...
wacha vaislay abaki single parent forever,cha muhimu ni kuwa na furaha na maisha yangu na sio kusukumwa sukumwa tu na maisha..hallaaa!

Uzuri wanaume wana upper hand ya kuchagua waoe nani na wanawake wana upper hand ya kuchagua walale na nani lakini kwenye kuolewa ni msiba maana hawezi kumuaumulia aliye mgawia pachuchi kwamba amuoe maana si lazima aliyeonja pachuchi ndio muoaji
 
Kwelii kabisa usemavyo yaan na hakuna mwanaume mbayaa maana mwanaume hasifiwi sura anasifiwa kazii,na mwanamke hapangiii nitaolewa siku fulani sijui na nanii,mwanaume ndio hupangaa kua ataoaa,haikatazwii kuchagua lakin kuchagua sanaa mwisho huangukia pabovu zaidiii

Na wakija bahatika kuolewa idadi ya wanaume walio tembea nao wanajaza bus nzima ingawa mara nyingi huishia kuwa wake wa tatu au vimada maana hata hadhi ya mke wa pili huwa hawana
 
Na wakija bahatika kuolewa idadi ya wanaume walio tembea nao wanajaza bus nzima ingawa mara nyingi huishia kuwa wake wa tatu au vimada maana hata hadhi ya mke wa pili huwa hawana

Hahhhhhhhhaaaa loooo bus nne zinajaaa na ka daladala ka moja
 
Uzuri wanaume wana upper hand ya kuchagua waoe nani na wanawake wana upper hand ya kuchagua walale na nani lakini kwenye kuolewa ni msiba maana hawezi kumuaumulia aliye mgawia pachuchi kwamba amuoe maana si lazima aliyeonja pachuchi ndio muoaji

Kwenye kuolewa ni msiba maana mnaoamua ni nyie sio sisiiii sisi tunasubiri maamuz yenu wanaumee,maana mwanamke haoi anaolewaa
 
EMBU SOMA COMMENT YAKO YA KWANZA KAMA UMEJIBU NILOCHOKIANDIKA.?

We si ulikuwa unanifanyia CHARACTER ASSESMENT na kujifanya jaji wa kujua sanaaaa kugroup watu? Sasa ukigrupiwa na wewe UTULIE KAMA UNANYOLEWA NA TOPAZ!

Utanifurahisha kwa lipi labda? MWENYEWE NISHAWAAMBIA NAANDIKA NACHOJISIKIA SIO KUWAFURAHISHA NYIE! Kwa hio HATUFURAHISHANI,! Hahaaaaaaaaaa! (Nacheka kama mazuri vile!)

Na huo mstari wa mwisho DONT BE SO SENTIMENTAL! Being a hater is not that bad! I THINK I NEED NEW HATERS BECAUSE MOST OF MY OLD HATERS HAVE BECOME OBSOLETE, HYPOCRYTICAL AND HAVE BEGAN TO LIKE ME!

Though ukigraduate from dislike to a HATER usiwe HATER MSENGEREMA, BE A TRUE HATER WITH CLASS AND STANDARDS KAMA grafani11. A true hater! Hawezi kucomment uzi wangu hata iweje come january come december! Na mimi siwezi kucomment kwake, wala hawezi kuniquote, mention wala kulike! Namimi ni the same.Mtu akimchamba lazima NITOE LIKES za kutosha! Hahaaaa! Mda mwingine NA LIKE his post just to disturb the peace! (Sometimes you need to check on your haters! Lol!) HE HATES ME I HATE HIM BACK NA HAYUPO IN MY IGNORE LIST! HE IS TOO EXPENSIVE TO IGNORE! Sio unakuwa Hater mara unalike, unajifosisha ku comment, kuniquote wee wakati uko IGNORE LIST sioni unacho andika! AM I THAT IMPORTANT TO YOU? Hahahaaaaa! Mda mwingine nasikitika tu! Ila nashukuru it makes me wonder WHAT WILL BE THE END!?
Kuhusu Taarifaaa......
Sijawahi kumchukia mtu kama unavyojaribu kuni-classify. Jaribu kutembelea nyuzi zangu zote huwa nachangia kama zilivyo na ikitokea kutofautiana, huwa natofautiana na mada ya muhusika na siyo muhusika mwenyewe.

Hata Bungeni ni kawaida tu, watu waliitana DHAIFU na bado siku moja walionekana wakipeana mikono, juzi kati mtu kaitwa TUMBILI lakini haitashangaza siku chache kuwaona wakinywa supu pamoja kwa furaha...
lara 1 sina chuki na wewe labda kama wewe unayo dhidi yangu....
 
Last edited by a moderator:
Natamani nije nikuone kwa macho lala 1, nimecheka sana kipimo cha urefu, eti mwanamke akivaa flat anamfikia maskioni
 
Kuhusu Taarifaaa......
Sijawahi kumchukia mtu kama unavyojaribu kuni-classify. Jaribu kutembelea nyuzi zangu zote huwa nachangia kama zilivyo na ikitokea kutofautiana, huwa natofautiana na mada ya muhusika na siyo muhusika mwenyewe.

Hata Bungeni ni kawaida tu, watu waliitana DHAIFU na bado siku moja walionekana wakipeana mikono, juzi kati mtu kaitwa TUMBILI lakini haitashangaza siku chache kuwaona wakinywa supu pamoja kwa furaha...
lara 1 sina chuki na wewe labda kama wewe unayo dhidi yangu....

Nilitaka tu uje kwenye hii thread ucomment! Hahahaaaaa! Seriuously i thought you hated me! Its a relief! Huuuuuuuuuuuu!
 
hahahaha lara 1 unatakiwa ukamsaidie shigongo maana story zako heheheheh Kan'tangaze
7-1 :A S wink:
 
lara 1, naomba nifahamishe, kwani yeye ni mfupi kwenda juu au kwenda chini..... by the way, ufupi wa kwenda juu unaathiri vipi mahusiano?
 
Last edited by a moderator:
rafiki vipi tena jamani? kunani tena?
Kuhusu Taarifaaa......
Sijawahi kumchukia mtu kama unavyojaribu kuni-classify. Jaribu kutembelea nyuzi zangu zote huwa nachangia kama zilivyo na ikitokea kutofautiana, huwa natofautiana na mada ya muhusika na siyo muhusika mwenyewe.

Hata Bungeni ni kawaida tu, watu waliitana DHAIFU na bado siku moja walionekana wakipeana mikono, juzi kati mtu kaitwa TUMBILI lakini haitashangaza siku chache kuwaona wakinywa supu pamoja kwa furaha...
lara 1 sina chuki na wewe labda kama wewe unayo dhidi yangu....
 
she is the best to me,Lara1!!??anavyopangilia sentensi zake,anavyoweka english yake,yaan naenjoy sana...thanx Lara1
 
rafiki vipi tena jamani? kunani tena?
Kuna uzi mmoja tuliwahi kutofautiana kihoja na dada yangu lara 1, nadhani yeye bado alikua anakumbuka uzi huo wakati mimi nilishasahau. Baada ya kusoma uzi wake mmoja humu nikaamua kuweka taarifa sawa tu. lara 1 ni dada yangu mpenzi na wala haitatokea kama anavyohisi....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom