muke ya muyahudi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 399
- 179
Huu msimamo wako wa leo tata si kidogo!
Haah its the other side of me you were not aware of
Huu msimamo wako wa leo tata si kidogo!
Muke ya mfarisayo weeeeeee! 6.2 feet si jambo dogo! Najuuta! Mmmmmh! Hongeraaaaa! Wapataje raha! Kwenye mambo yetu shoo anaisimamia ipasavyo! Halooooooooooooooo! Urefu una raha yake jamani! Ukivaa hills kwa raha zako! Najuuuuta!
Women learn how to love ogopa sana ukifall zaid utataka mwenyewe trust me
Tema mate chinii na utaolewaa na mfupiii
hahahaha sio lazma...em nikupe mfano wanaume 2 wanakuapproach,mfupi ana hela kajiweka vizuri kimaisha while mrefu huyo hana hata mwelekeo bado anatafta kazi tuseme...kwa akili za kike utaenda kwa naniiii......??hehehh never say never
Hayaaaa hayaaaaqq amsha amsha usiku huu itahamia jukwaa la CELEBRITY nawavuta simba sharubu kwa kuanzisha MADA IHUSUYO NEW PROJECT YA MANGE KIMAMBI! TUONANE PALE CELEBRITY FORUM SAA 3 KWA KIGODORO MANAKE LAZIMA PACHIMBIKE!
HATERS WA MANGE KIMAMBI NAWATUMIA KABISAAA KADI ZA MWALIKO Dinazarde queen of sheba Mrembo by Nature miss neddy
Kile kigodoro cha baby shower ya Shamim kinarudi tenaaaa! Safari hii nimejipanga zaidi ya last time! Msikose kuja kuponda! Manake nyie kila anachofanya Mange kwenu kibaya!
tangu utotoni naanza kibaba na mama hadi utuuzima huu sijawah kujifunza/kupenda andunjezi....
tena hadi uzeen niepushiwe andunjezi kabisa....
wanisamehe andunjez kwa kutokuaga na mzuka nao hata akawa na hela ya kununua kibanda cha ng'ombe cha mmasai
princess sayuni umeamua kutupa makavu lol
usiishi kama upepo..kuwa na kanuni zako zitakazo kulinda na kukupa uelekeo
mapenzi yana kanuni shoga angu??...naturally kila mwanamke anapenda mrefu,ila kuwadiss wafupi wakati hujajua hata utaolewa wapy mhhhh
Hapana mkuu kuna watu ni selective sana lakini ukikutana nao hata hawavutii kivile kawaida
Hayaaaa hayaaaaqq amsha amsha usiku huu itahamia jukwaa la CELEBRITY nawavuta simba sharubu kwa kuanzisha MADA IHUSUYO NEW PROJECT YA MANGE KIMAMBI! TUONANE PALE CELEBRITY FORUM SAA 3 KWA KIGODORO MANAKE LAZIMA PACHIMBIKE!
HATERS WA MANGE KIMAMBI NAWATUMIA KABISAAA KADI ZA MWALIKO Dinazarde queen of sheba Mrembo by Nature miss neddy
Kile kigodoro cha baby shower ya Shamim kinarudi tenaaaa! Safari hii nimejipanga zaidi ya last time! Msikose kuja kuponda! Manake nyie kila anachofanya Mange kwenu kibaya!
Hahahah....wasijue hao warefu wanapendwa na wengi so mwenye kisu kikali ndo anakula nyama...mwenzangu na mimi aliyerithi sura na shepu ya baba utakaa benchi hadi uzeeke lol
aaah jamani...yani my dear ukitangaziwa ndoa na andunje utawahi fasta kisa ndoa umechoka kukaa mtaan?
pipo wi difa...!!!
nah dear...ila nilichojifunza there's more to a man than just his height...
That's my privacy na kila mtu anazake...sababu zangu haziwez fanana na zako..
andunjez piten kushoootooo...
Hapana mkuu kuna watu ni selective sana lakini ukikutana nao hata hawavutii kivile kawaida
Anyeonghaseyooooooooooooooooooooooooooooooooo!
Nimerudi kutoka BAN! Afu mtu kama hunipendi Lara 1, kwanini ujitese kusoma nachoandika! Leave me alone haters, sihitaji upendo wa mtu yeyote, mimi napenda kuwa mimi so its enough! Sitaki makwazo mwezi wa kheri huuu!
BACK TO TOPIC!
Kuna Zombi langu moja, lilikuwa rafiki yake my bro, wakaribu, afu mimi sidate washkaji wa kaka zangu coz automatically ni washkaji zangu, afu wakinipondea design flani bro atanyanyasika! So family friends ni off limits! Nilifanya exception moja nilijutaaaaaa! Sitorudia tena! Yaliyoniku then ni a story for another day! Ila ilijuwa usiposikiliza la mkuu kaka yako unaambuli kupigwa FREE P isio na tbs. All in all huyu Zombi alikuwa off limits.
Na alikuwa anisalimii chuo, enzi hizo 18yrs nangaaaa, utanijua! Bado nadai! Nikaona huyu kaka anadharau afu kafupi, but he is goodlooking! Mchaga mwenzangu, white, handaome, x seminarian, cool nitajaza jamvi hili! Tatizo ni huo ufupi na enzi hizo alikuwa kula kulala! Free P was inevitable!
Tukamaliza chuo, mi ndo namsalimia tu, nisipomsalimia salamu inagomba. Tulivomaliza nikamuona hana future wala nini, nani amgee kazi mjini hapa! Kumbe Mungu si LARA 1. Alipata bonge la kazi, bro ndo aliniambia. Ila sikupatiliza! Kiranga changu ndo nikawa nimetoka na ile exception ya FREE P, nilijutraaaaaaa! Sikuwahi kupewa 50,0000 maisha yanguuuuuu! Msione hii policy nimeivalia njuga najutraaa mapaka kesho! Siku hizi namkopa simlipi kujirefundna kuimpair losses za zamani.
Ghafla kanitafuta FB siku hio, salamu, salamu, nikashangaaaa! Nikasema atakuwa hana kazi huyu! Mara kuperuzi nikaona kaweka thank God for the 2nd car! Yalaaaaaaaah! Navopenda vya bure mie! Mmmmmmh! Salamu zikakolea, akanipa namba, tukawa tunasalimiana! Ndo kunieleza ana bonge la kazi, kahamia kwake, usafiri, Masters (IM just addicted to men with Masters! Hahahaaaa! Afu ya Economics ya chuo cha maana!) My future could never be brighter! Everything i was looking for in one man, handsome man! Hadi wazazi kijiji kimoja! Daaaah! Jackpot! Tatizo ndo ule u Emolo!
Afu mwanaume ana msimamo! Hataki kuchezewa wala kuchunwa! Akaniwahi mapemaaaa! Mimi nataka kukuoa! Tobaaaaaaaa! I was 21 almost 22! My future couldnt be any brighter! Nikajaribu kumzingua lets date tuone inakuwaje, nimchune tu! Maybe find out more! Hahaaaaaa! Akagoma No! Tukidate manakw umekubali au kuna 70% chansi unakubali nikuoe! Eeeeeh! Nikaona sheeeeda! Nikawa sitoi jibu nifaidi!
Na nilifaidi si uongo! Mwisho akastukia chezo langu, akanimwaga kimya kimya! Sasa ikawa kama yuko frustrated 2 minutes ananipenda, 2 minutes ana nichenjia we mwanamke unanichuna, 2 minutes hataki hata kuniona achia kunisikia, 2 minutes he is dying to see me! Nikaona tabu ya nini nikahama namba! Tukapotezana mazimaaaa!
Sasa kilichonistusha majuzi juzi kaanza tena face book huko huko, tunapeana Hi! Tushakuwa wazee saivi! Akaniambia ana mchumba anataka kumuoa! Nikamtakia kila lakheri! Wivu sina japo roho yaniumaaa! Mmmmmmh! Mara huyo mchumba kanitafuta anataka tuonane, nikasema Tobaaaaaaa! Tukaonanaa! Mtumeeee!
Anataka kujua kwanini nilimuacha? Mmmmmmh! Makubwaaa! Anavodai he is the sweetest guy eveeeeeerrrrr! Hajawahi kuona tabu yeyote ila WHY nilimuacha? She is way too CURIOUS! Ukisikia curiousity killed the cat ndo hii! Nikatamani nitamke BECAUSE HE IS TOO SHORT BUT SWEET, CARING, AND I MADE A MISTAKE, MAYBE I DIDNT HE IS STILL SHORT! Mmmmmh! Nikala cobis tu! Nikabaki naguna guna tu! Maneno kushneeeey yameniisha!
Mwisho bi dada akafunguka UFUPI WAKE HAUKUWA UNAKUPA SHIDA? PLEASE BE HONEST! Hahaaaaaaaaaaaaa! (Its not a laughing matter n i am ashamed of myself) Nijaona hapa chacha inabidi nitumie mbinu za kinuclear! Hali tete! Ikabidi niuvae uzalendo for old time sake niokoe jahazi!
Nikamwambia mimi nilivoachana nae i was young, naive, made a lot of mistakes, a lot of wrong choices n bad decisions, i just didnt know what to do! I blame Age! But now ndugu yangu tumezeeka! We should be responsible for our decisions! Huo ufupi at that age made a lot of sense to a young, naive, ambitious girl who was fighting all odds to rise above the hood, be someone, see the world, lots of dreams, lots of possibilities n determination.
But now the age we are, we are wise tupende tusipende, we know better kwamba mtu hajiumbi, angejiumba asingependa kuwa mfupi, n anajitahidi kwa character n success kufidia palipo pungua, short or not bado ni human, n a man, a good man who deserves to be loved. Dont make my mistakes cause u wont be lucky kusingizia umri, if i say i dont regret kumuacha i will be lieing! I am just living with my mistakes. Do the right thing! Good men are hard to come across these days! Basi akaondoka mpya, nahisi alipitia kujaribu gauni la harusi! Hahaaaa!
Well i lied! I just wanted her to feel better about her self! I dont believe any of the sentiments i blabed! But if it makes her sleep at night why not! FYI Mtola is not short or anything close to it! He is 6ft! Mmmmmmmh! So msije kuhisi ni yeye! Na Zombi is not that shot either msichana wa kawaida akivaa flats anamfikia sikioni, akivaa hill utata!
Afu ukiona una comment sanaa post zangu sikujibu ujue uko in MY IGNORE LIST! So sioni unachoandika, unajichosha bureeee! (Hii ni kwa wale vizabizabina wazoefu, wageni au watu tusiokuwa na neno mimi na nyie hili haliwahusu!)
THE END!