He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

Hapana mkuu kuna watu ni selective sana lakini ukikutana nao hata hawavutii kivile kawaida
Hahahaaaa! Hio kawaida UNAIONA WEWE! Lupita Nyongo walikuwa wanamuona CHAUSIKU aka CHEUSI MANGALA, Alek Wek walikua wanamuona ngongoti cheusi mangala nae! Ila saivi waambiwa ni WORLDS MOST BEAUTIFUL PEOPLE! Upo hapo! Hilo la mvuto na ukawadia ni la MWANAUME HUSIKA KUAMUA! Ndo maana wanasema RINGIA BAHATI, USIRINGIE UDHURI! Maana beauty is in the eyes of an observer! Observer perception ndo ina vary lakini reality ni constant.
 
Uko team Mange au team ushuzi? Samahanini lakini hili ndo jina mlilopewa kule makao makuu! Nafata tu itifaki! Dont take it personal!

Hahahhahah...mpaka nimepaliwa na soda mie...

Mi sina team akifanya vizuri nampa credits akiharibu namsiriba ajirekebiahe litigious saafi
 
Hahahaaaa! Hio kawaida UNAIONA WEWE! Lupita Nyongo walikuwa wanamuona CHAUSIKU aka CHEUSI MANGALA, Alek Wek walikua wanamuona ngongoti cheusi mangala nae! Ila saivi waambiwa ni WORLDS MOST BEAUTIFUL PEOPLE! Upo hapo! Hilo la mvuto na ukawadia ni la MWANAUME HUSIKA KUAMUA! Ndo maana wanasema RINGIA BAHATI, USIRINGIE UDHURI! Maana beauty is in the eyes of an observer! Observer perception ndo ina vary lakini reality ni constant.

To me its normal sana mtu aweje mrefu kama goliath awe cjui nani anafanyeje kwangu kawaida sana i have my own criteria kwenye vitu vyangu hayo ya bahati kila.mtu ana yake kamwe watu hawawezi fanana kila kitu ndo.mana we difer in everything thinking the way we perceive issues anachokipenda yule sicho nikipendacho
 
Hahahaaaaaaaaa! IM SO PROUD OF YOU! That is a true definition of LOVE! Aaaaaaaaaw! Natamani nisikie stori zenu mpaka asubuhi!

Mahaba niteketeze emols wako juuuuuu!!!!! Nyie pondeni jamani hamjatulizwa mkatulia!!,nyie mnaongea tu I was a big haters of shorts but now sijutiiii kabisa!!!!!!!! endeleen na hizo complex zenu mnapishana na baraka zenu, ombeni Mungu awape chaguo sahihi whatever the case!!
 
Mheshimiwa Dinna kasema utolewe J3, siku ya saba saba! Ndo nighairi kuu release leo!

Hahhhhhhhaaaaaaaaaa loooo mh.mwenzangu ila swaumu tusiharibianeeee atiii hahhhhhhaa maana umepaniaaaa kwelii
 
Mahaba niteketeze emols wako juuuuuu!!!!! Nyie pondeni jamani hamjatulizwa mkatulia!!,nyie mnaongea tu I was a big haters of shorts but now sijutiiii kabisa!!!!!!!! endeleen na hizo complex zenu mnapishana na baraka zenu, ombeni Mungu awape chaguo sahihi whatever the case!!

HAHHAHAAAAAA! Wenzio sikio la kufa hatusikii dawa! Shosti una bahati! Umempata Emolo katulia, anakujali mweeeee! Pata picha wenzio tupate Emolo suguuuu! Emolo hashikiki, haambiliki afu emolo si ubaweza kudata wajameni! Bora Tall akikupasua kichwa unawaringishia mashosti mtaani huku wafa kimya kimya!
Cc Muke ya myahudi, Vaislay, masai dada, Khantwe, ICHANA na badbeybei
 
Last edited by a moderator:
To me its normal sana mtu aweje mrefu kama goliath awe cjui nani anafanyeje kwangu kawaida sana i have my own criteria kwenye vitu vyangu hayo ya bahati kila.mtu ana yake kamwe watu hawawezi fanana kila kitu ndo.mana we difer in everything thinking the way we perceive issues anachokipenda yule sicho nikipendacho

Hizo CRITERIA PLEASE! Just out of CURIOUSITY! If you dont mind? We may learn a thing or 2 maana nondo unazotoa leo zina vina atiii!
 
HAHHAHAAAAAA! Wenzio sikio la kufa hatusikii dawa! Shosti una bahati! Umempata Emolo katulia, anakujali mweeeee! Pata picha wenzio tupate Emolo suguuuu! Emolo hashikiki, haambiliki afu emolo si ubaweza kudata wajameni! Bora Tall akikupasua kichwa unawaringishia mashosti mtaani huku wafa kimya kimya!
Cc Muke ya myahudi, Vaislay, masai dada, Khantwe, ICHANA na badbeybei

haswaaaaaaaa....super tall huuureeee
 
Mi dozi imeshaanza kunikolea lol
 
Hahahahaha!!! Haya bana kufeni na tai zenu,mie ushaur wangu ndo huo maana nitafunguka mno halafu nitaharibu!!!! Ila unajua usikokupenda ndo unaangukia??
 
Last edited by a moderator:
haswaaaaaaaa....super tall huuureeee

Emolos juuuuuuuuuu !!! Halafu wewe Vaislay usitukane wakunga na uzazi ungalipo!! muke ya muyahudi anawapoteza mwenzenu kamiliki full Dinazarde kesha kutabiria angalia tusijekimbiana humu,omba tu best hubby awe from God whatever the case utainjoi life!!!
 
hahahaaaaaa nitakuletea kadi uje uhakiki... Dinazarde huyu hanipi shida...utabiri fek,kama mchungaji aliyetabiri wasanii 20 watakufa june na wasife...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom