HAHHAHAAAAAA! Wenzio sikio la kufa hatusikii dawa! Shosti una bahati! Umempata Emolo katulia, anakujali mweeeee! Pata picha wenzio tupate Emolo suguuuu! Emolo hashikiki, haambiliki afu emolo si ubaweza kudata wajameni! Bora Tall akikupasua kichwa unawaringishia mashosti mtaani huku wafa kimya kimya!
Cc Muke ya myahudi, Vaislay, masai dada, Khantwe, ICHANA na badbeybei
Joeun Haru Dweseyo!
Mwwnzangu ni bahati tuu manake Hawa ma tall dudes nao wana viminato flan mhh balaa,mi kibahati tuu manake watu walishanitabiria kutoolewa Kwa swags hzo,ningemkosa ingebidi haswaa nivute mpaka karibia menopause ndo nisalim amri,omba Mungu unaeza kumpata wapo
Masters ya ECONOMICS , EPIDEMIOLOGY au LAW vinanimaliza kabisaaaaaaaaaa! Afu Emolo alikuwa na ya ECONOMICS! Daaaaaaaaah!
Hii ya Epidemiology alikuwaga nayo mtu flani hivi alitoka nayo London School Of Tropical Medicines, Mganda, alikuja kwenye mradiflani wa malaria ambao ndugu yangu flani alikuwa ndo anausimamia! The dude had the charm! Ndo akaniambia anayo hio mimi na my sis ambae alikuja kuwa Dr. (Md), tulitoa mijichoo na alivo hb! Alitu inspire mno mno na kututia hamu ya hio Epidemiology! Sema nothin happened akaondokaga! My sis alifanya juu chini kati kati akapata nae scholarship ya kwenda London School kuichukua! Mbishi yuleeeee! Kama shipa! Siku hizi kila akijitambulisha lazima aitaje na alikoipata!
Mannaseo bangapseumnida! An nyeong ha siut seum ni ka? Hangkumal hal juli an? Neun jal saeng gingeoya!
Anyeong hi jumuspsio!
haki ya nani vile huu uchokoziUnaonekana Zamani ulitumika sana dah!sipati picha kwa sasa ulivyo engine ipo chini
Eeeeeh HADI BABA YAKO MZAZI ALINIYUMIA SI MLIKUWA MNA SHARE NA MNAJUANA? SEMA NA HAYO MBONA UNAYA MINYIA.? Kabbla hujaenda kuolewa na MWARABU NA MWENZIO NA MPEMBA!Stori zako zinaonyesha umetumika sana...inaelekea hata papuchi imechoka kiasi kwamba ikipigwa utasikia inalalamika "nakoPWA nakoPWA nakoPWA nakoPWA nakoPWAA..."
Emolos juuuuuuuuuu !!! Halafu wewe Vaislay usitukane wakunga na uzazi ungalipo!! muke ya muyahudi anawapoteza mwenzenu kamiliki full Dinazarde kesha kutabiria angalia tusijekimbiana humu,omba tu best hubby awe from God whatever the case utainjoi life!!!
lara 1 ndio nini hivyo kutunanga sisi viemolo...!!!
Hahahahaha!!! Haya bana kufeni na tai zenu,mie ushaur wangu ndo huo maana nitafunguka mno halafu nitaharibu!!!! Ila unajua usikokupenda ndo unaangukia??